Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,558
- 31,962
Nimekuwa nikisikia hivyo na sikuwa nafuatilia sana hilo jambo. Mara nyingi nmekuwa nikisia... Bonyeza Nyota itakuwa ya kwako.
Je umewahi shawishika kubonyeza nyota? Ikawa yako? Je umeona kuna faida yoyote katika hilo? Mimi binafsi hayo matangazo hayajawahi nishawishi kuanza kubonyeza nyota. Na sijaona faida kwa wale ambao walishabonyeza.
Sijajua kama ni kweli from there ilikuwa yake. Au yao. Tafakari, chukua hatua, haki ya kupewa Elimu. Usibonyeze nyota kama huoni faida