Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

mkuu inamaana hadi msikiti mkubwa na maarufu kama wa mecca unahitaji kutambulishwa na hizo alama?
saudi.jpg
Cc. kwamwewe
 
Usiongee usiyoyajua. Hiyo alama ilikuwa adopted wakati wa Ottoman Empire na haihusiani chochote na uislam. Uislam ni kuabudu Mungu mmoja pekee aliyeumba mbingu na ardhi hana watoto, wajomba wala wajukuu, hajazaa wala kuzaliwa.

Imekuwa common place watu kuiga hii design mpaka sasa waliowengi (hata baadhi ya waislam wenyewe) wanadhani na sign ya uislam iliopo toka kipindi cha Mtume Muhammad (Rehma na Amani zimshukie juu yake) lakini hapana. Katafute kitabu chochote cha hadith (statement ya Mtume S.A.W) unitafutie hata invented hadith inayosema nyota na mwezi na alama ya uislam halafu niletee.

Ndio maana mpaka leo bendera ya uturuki ina the same symbol ya nyote na mwezi from the Ottomans, wengi wanadhani waturuki wamecopy from Islam but its actually vice versa and many scholars don't recommend hata iwepo maana kuna watu watafikiri kama unavyofikiri wewe

I hope umeelewa
Zingekuwa hazina maana yoyote wasingeziweka. Nani atakuamini ukisema Jembe na Nyundo kwenye bendera ya CCM hazina maana yoyote???
 
Muislam wa kweli kuja jamii forum kubishana na walevi wa dini na siasa ni upumbavu mkubwa maana hutopata suluhu zaidi kufedheheshana tu, na imeelezwa makafili watawafanyieni sana vitimbi. Amini dini yako acha na mimi niamini yangu ndio maana hata hatufanani kila mtu na sura yake umezaliwa peke yako utakufa peke yako nawasilisha Wabillah Tawfiq
 
Naskia wanaabudu mungu mwezi,
Ndo maana hata wakifunga wanaangalia mwezi ndo wanafungua

Ngoja wajuvi watujuze zaidi...
Kama unamiini nabii Ibrahim(SA) ni baba wa imani na hakuwahi kumshirikisha Mwenyezi. Basi Uislam ni dini ya haki. Sala ya Muislam haikamiliki bila kumtaja kiumbe huyu ambaye hakuwahi kumshirikisha mwenyenz Mungu.
 
Nina uhakika umenielewa,hizi alama huwa wanapendezesha wachoraji ramani,wana Geografia,ili iwe ni utambulisho wa msikiti.Mbali ya msikiti kuwepo hapo,wapo wapigaji picha,ambao husambaza picha sehemu mbalimbali,kama wewe ulivyoitumia hiyo picha.Kwa asiyeelewa ni picha ya nini,kama ni msomi ni wepesi kwake kuelewa,hii ni picha ya nyumba ya ibada ya waislamu au msikiti.
Katika kuweka alama ya utambulisho,hakuhitaji ukubwa au udogo wa kitu,ndio maana ukaona kuna alama za 'Railways Crossing' (x) hata ikiwa kunapita mabehewa ya ukubwa gani.
sababu yako ina mashiko sana. Niongeze swali, je nyota na mwezi ni alama ya uislamu maana zipo kwenye bendera za nchi za kiislamu na hata shirika la huduma za dharura kwenye nchi za kiislamu huitwa red crescent?. pia unasemaje kuhusu alama kama hiyo kutumiwa na wapagani.

hii ni 12th century BC. mungu jua, mwezi na venus.
666px-Kudurru_Melishipak_Louvre_Sb23_n02.jpg

hizi ni pesa 1th century BC
001-Byzantium-2.jpg

pesa ya Roma karne ya pili.
Hadian_denarius_coin_star_crescent.jpg
 
Kumbe uislam umechakachuliwa namna hii. Sasa wale wanaoshupaa kila siku hapa kuwa uislam upo vile vile kama alivyouleta mtume ina maana hii story yako hawaijui au?

Na hii argument tako inamaanisha allah kashindwa kuulinda uislam wake usiongezewe alama za kituruki..hahahah
Acha kejeli kwenye Imani za watu amekufafanulia vizuri na hiyo ni imani yao kama wewe unaona ya kwako ni bora endelea na ya kwako unavyofanya sio vyema
 
Think twice. Ni alama ya kishetani. Hata Katoliki wanazo sana. Dini ya kweli ni ile isiyokuwa na alama, maana Mungu wa Moses hakuwahi kuhimiza wachonge sanamu wala kitu chochote chenye mfano wa Mungu. Hizo alama zinamuwakilisha shetani na siyo Mungu.
Kama dini gani isiyokuwa na alama?...
 
Think twice. Ni alama ya kishetani. Hata Katoliki wanazo sana. Dini ya kweli ni ile isiyokuwa na alama, maana Mungu wa Moses hakuwahi kuhimiza wachonge sanamu wala kitu chochote chenye mfano wa Mungu. Hizo alama zinamuwakilisha shetani na siyo Mungu.
Reeeespect
 
There is no basis in sharee’ah for taking the crescent or star as a symbol of the Muslims. This was not known at the time of the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him), or at the time of the Khulafa’ al-Raashidoon (the first four leaders of Islam after the death of the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him), or during the time of the Umawis (Umayyad dynasty). It emerged some time after that, and historians differ as to when this symbol was first adopted and who was the first to adopt it. Some say it was the Persians, others say it was the Greeks, and that this symbol was somehow passed to the Muslims. (See Al-Taraateeb al-Idaariyah by al-Kittaani, 1/320). It was said that the reason why the Muslims adopted the crescent was that when they conquered some western countries, the churches there had crosses on top of them, the Muslims replaced the crosses with these crescents, and the practice spread in this way. Whatever the case, symbols and banners must be in accordance with the teachings of Islam, and as there is no evidence that this symbol is prescribed by Islam, it is better not to use it. Neither the crescent nor the star are symbols of the Muslims, even though some Muslims may use them as symbols.

As regards what Muslims think about the moon and the stars, they believe that they are part of the creation of Allaah, and as such can neither benefit nor harm people, and they do not have any influence over events on earth. Allaah has created them for the benefit of mankind, an example of which is seen in the aayah or verse of the Qur’aan (interpretation of the meaning):

“They ask you (O Muhammad) about the new moons. Say: These are signs to mark fixed periods of time for mankind and for the pilgrimage…” [al-Baqarah 2:189]

[The commentator] Ibn Katheer said, explaining the phrase Say: these are signs to mark fixed periods of time: “From them (the new moons) they may know the times for repaying loans, the ‘iddah (waiting period) of their women [after being divorced or widowed] and the timing of their Hajj (pilgrimage)… Allaah has made them signs to mark the times when Muslims should start to fast and break their fast [the beginning and end of Ramadaan], to count the ‘iddah of their women and to know the times for repaying loans.” (Tafseer Ibn Katheer).

[Another commentator] Al-Qurtubi (may Allaah have mercy on him) said in his commentary on this aayah [verse]: “This explains the wisdom behind the waxing and waning of the moon, which is to avoid any confusion in appointed dates, dealings, oaths, Hajj, ‘iddah, fasting, breaking fasts, length of pregnancy, rentals and other matters that concern mankind. Similar to this aayah are others (interpretation of the meanings):

‘And We have appointed the night and the day as two aayaat (signs). Then, We have made dark the sign of the night while We have made the sign of day illuminating, that you may seek bounty from your Lord, and that you may know the number of the years and the reckoning…” [al-Isra’ 17:12]

‘It is He Who made the sun a shining thing and the moon as a light and measured out its (their) stages, that you might know the number of years and the reckoning…’ [Yoonus 10:5]

Counting the new moons is easier than counting days.” (See Tafseer al-Qurtubi).

With regard to the stars, the scholars of Islam say that Allaah created these stars for three reasons: to adorn the heavens, to drive away the devils (shayaateen) and as signs for navigation. (Saheeh al-Bukhaari, Kitaab Bad’ al-Khalq), as Allaah says (interpretation of the meaning):

“It is He Who has set the stars for you, so that you may guide your course with their help through the darkness of the land and the sea…” [al-An’aam 6:97]

“And indeed We have adorned the nearest heaven with lamps, and We have made such lamps (as) missiles to drive away the shayaateen (devils), and have prepared for them the torment of the blazing Fire.” [al-Mulk 67:5]
 
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Kwa hakika alama na ishara hizo hazina umuhimu wala maana yoyote katika kuwekwa katika Misikiti au sehemu nyingine zozote. Kwani wakati wa Mtume (Swalla-Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Maswahaba zake (Radhiya-Allaahu 'anhum) alama
kama hizo zilikuwa hazipo.
Baada ya hapo huenda Waislamu wakaamua kuwa wawe na ishara kama vile Mayahudi
na Manaswara, kwani Mayahudi wana ile ishara ya nyota ya Daudi ambayo ina pembe sita na Manaswara wana ishara ya kuwa na msalaba. Kwa kuwa sisi huwa tarehe zetu za siku na miezi yetu hufuata mwezi, basi baadhi ya Waislam wakaona kuwa waweke hiyo alama ya mwezi kama nembo, lakini kiuhakika haina maana yoyote ya kisheria.
Na Allah Anajua zaidi.
Kama hukuelewa Maelezo haya ndo basi tena full factiousness.
 
Muislam wa kweli kuja jamii forum kubishana na walevi wa dini na siasa ni upumbavu mkubwa maana hutopata suluhu zaidi kufedheheshana tu, na imeelezwa makafili watawafanyieni sana vitimbi. Amini dini yako acha na mimi niamini yangu ndio maana hata hatufanani kila mtu na sura yake umezaliwa peke yako utakufa peke yako nawasilisha Wabillah Tawfiq
Ngoja nikuzawadie takabiriiiiii

Lakin kaa ukijua allah ni mungu wa wapagani waliokuwa wanaabudu mwez na jua ndo maana hata mtume wako mudy alianzisha mauaji ili watu wamufate

Wewe endelea kumuabudu allah aisiyekuwa na tofauti na ibilis allah is satan
 
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Kwa hakika alama na ishara hizo hazina umuhimu wala maana yoyote katika kuwekwa katika Misikiti au sehemu nyingine zozote. Kwani wakati wa Mtume (Swalla-Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Maswahaba zake (Radhiya-Allaahu 'anhum) alama
kama hizo zilikuwa hazipo.
Baada ya hapo huenda Waislamu wakaamua kuwa wawe na ishara kama vile Mayahudi
na Manaswara, kwani Mayahudi wana ile ishara ya nyota ya Daudi ambayo ina pembe sita na Manaswara wana ishara ya kuwa na msalaba. Kwa kuwa sisi huwa tarehe zetu za siku na miezi yetu hufuata mwezi, basi baadhi ya Waislam wakaona kuwa waweke hiyo alama ya mwezi kama nembo, lakini kiuhakika haina maana yoyote ya kisheria.
Na Allah Anajua zaidi.
Kweli wewe umejibu kisomi. Halafu hujapenda kujikweza! Hongera sana kwa jibu Nzuri.
 
daah kaka umekosea sana kwa kusema dini ya kweli ni ile isiuokua na alama....religion itself is a symbol....hivi unahua maana ya alama? hata kuamini mungu ambaye humuoni pia ni alama, kufumba macho, msalaba, kunyanyua mikono wakat wa kuomba n.k
Think thrice uskurupuke

Back
Top Bottom