Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,956
Mkuu, na wewe tuambie hiyo katooni katika Avatar yako ina maana gani ??!!,
Irekebishe hiyo salaam ndiyo nitaitikia...Itikia basi Mkuu!
Kweli vyuma vimekaza mtu unashindwa kukomaa na mambo yako unaanza kuwaza alama ya mwezi na nyota msikitini kwako wewe itakusaidia nini ilhali hata siyo dini yako hiyo
Amani iwe kwako!Irekebishe hiyo salaam ndiyo nitaitikia...
Na kwako piaAmani iwe kwako!
Ninachokiona ni kwamba wengi tunacomment kwa kuweka mapenzi ya imani zetu mbele ila tungekuwa tunatumia reasoning skills tungeelewana vizuri!!Mimi nasema hivi:
Hata wewe sasa hivi unaongea kwa niaba ya mwingine.Ingekuwa ni wewe unayeongea,kwa vile hatukuoni,ungeandika "mimi nasema....", halafu ukasema unachotaka kusema.
Nashukuru kiongozi kwa kuniita zezeta najua ni jazba tu imekupanda ..ila yachunguze vizuri maandiko yenu utajifunza kitu.Unachekesha wewe usiyeelewa maandiko. Z....e.....z.....e.....t.....a
No wayHaimaanishi jambo lolote,wamejiwekea wenyewe tu kama mapambo kwenye baadhi ya misikiti
Wewe umeshayachunguza maandiko yenu na umejifunza? Umejifunza kwamba Yesu hakuzaliwa kwenye zizi la ng'ombe?Nashukuru kiongozi kwa kuniita zezeta najua ni jazba tu imekupanda ..ila yachunguze vizuri maandiko yenu utajifunza kitu.
Aliye Kafundisha mujibu Hivyo nani?Na kwako pia
YesuAliye Kafundisha mujibu Hivyo nani?
sio wa nazareth, wa kariakooYesu
Hivi yule aliyesema AMANI IWE KWENU katika Yohana 20:19 ni Yesu wa Kariakoo kumbe.....[emoji53] [emoji53] [emoji53]sio wa nazareth, wa kariakoo
ni wa nazarethHivi yule aliyesema AMANI IWE KWENU katika Yohana 20:19 ni Yesu wa Kariakoo kumbe.....[emoji53] [emoji53] [emoji53]
Sasa mbona ulidhihaki ukasema ni wa Kariakoo?ni wa nazareth
Yesu wa Nazareth alizaliwa kwenye zizi la ngombe, unajuaSasa mbona ulidhihaki ukasema ni wa Kariakoo?
Siyo kweli!Yesu wa Nazareth alizaliwa kwenye zizi la ngombe, unajua
kwaniniSiyo kweli!