Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,665
Kwani wewe kuna kitu gani chakufanya uamini kuwa Yesu alizaliwa kwenye zizi la ng'ombe?kwanini
Kwani wewe kuna kitu gani chakufanya uamini kuwa Yesu alizaliwa kwenye zizi la ng'ombe?kwanini
imeandikwa kwa bibleKwani wewe kuna kitu gani chakufanya uamini kuwa Yesu alizaliwa kwenye zizi la ng'ombe?
Imeandikwaje?imeandikwa kwa bible
Yesu
Huyu anayeongea upupu huu ni nani? Ni aya gani huko ulikoichokoa? Maana huchelewi kubandika maandiko ya kipuuzi kutoka uchochoroni....Wekaga Ushahidi basi Yesu ni kigezo chako! Huyu baba yake fatuuû amekufundisha hivi [emoji117] View attachment 961628 au umepatia wahyi na wewe [emoji348] [emoji348] hamchelewagi kumkosoa allah na baba yake fatuma [emoji4]
Katika ma zezeta ww unaongoza. Kwani nani kaanzisha hiyo salamu kati ya mimi na wewe?Wekaga Ushahidi basi Yesu ni kigezo chako! Huyu baba yake fatuuû amekufundisha hivi [emoji117] View attachment 961628 au umepatia wahyi na wewe [emoji348] [emoji348] hamchelewagi kumkosoa allah na baba yake fatuma [emoji4]
Mimi nimeagizwa na Yesu NIWATAKIE AMANI BILA UBAGUZI! SABABU NISIPO FANYA HIVYO NITAKUWA SINA TOFAUTI NA WABAGUZI!Katika ma zezeta ww unaongoza. Kwani nani kaanzisha hiyo salamu kati ya mimi na wewe?
Nasema hivi; kati ta mimi na wewe nani kaanza kumsalimia mwenzake? Jibu swali acha ubabaishaji.....Mimi nimeagizwa na Yesu NIWATAKIE AMANI BILA UBAGUZI! SABABU NISIPO FANYA HIVYO NITAKUWA SINA TOFAUTI NA WABAGUZI!
Weka Andiko kinyume na hilo!Huyu anayeongea upupu huu ni nani? Ni aya gani huko ulikoichokoa? Maana huchelewi kubandika maandiko ya kipuuzi kutoka uchochoroni....
Wewe umetoa wapi ulilobandika? Taja sehemu ulikotoa hilo la kwako kwanza acha ubabaishaji....Weka Andiko kinyume na hilo!
Mimi [emoji106]Nasema hivi; kati ta mimi na wewe nani kaanza kumsalimia mwenzake? Jibu swali acha ubabaishaji.....
Kwenye hilo bandiko lako ulielewa ulichobandika au ndio kukurupuka?Mimi [emoji106]
Wewe umetoa wapi ulilobandika? Taja sehemu ulikotoa hilo la kwako kwanza acha ubabaishaji....
Ndio nikakuuliza kati yako na mimi nani kaanzisha salam?Hapa [emoji117] View attachment 962023
Nimekusalimu kwa KUKUTAKIA AMANI kisilamu ndio kukulupuka?Kwenye hilo bandiko lako ulielewa ulichobandika au ndio kukurupuka?
Lile andiko ulilokurupuka kulirusha ulimaanisha nini?Nimekusalimu kwa KUKUTAKIA AMANI kisilamu ndio kukulupuka?
Aisee...kumbe wewe Mama uko vizuri sana tu kuhusu Mungu halisi Muumba mbingu na nchi?Think twice. Ni alama ya kishetani. Hata Katoliki wanazo sana. Dini ya kweli ni ile isiyokuwa na alama, maana Mungu wa Moses hakuwahi kuhimiza wachonge sanamu wala kitu chochote chenye mfano wa Mungu. Hizo alama zinamuwakilisha shetani na siyo Mungu.
Aisee so uneamua kufukua kaburi Mkuu kuhusu Waislamu jinsi walivyo nnje ya reli katika kumuabudu Mungu halisi Muumba mbingu na nchi?siyo kuchachamaa mkuu. katika kuongeza maarifa niliona alama hizi zilikuwapo toka zamani zikuhusisha ibada ya jua n mwezi.
hii ni 12th century BC. mungu jua, mwezi na venus.
![]()
hizi ni pesa 1th century BC
![]()
pesa ya Roma karne ya pili.
![]()