Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

na hazi walizobeba ni nini, na zinamaanisha nn, maana wabongo tunajuana ni wagumu sn kuuliza maswal hasa ya kidini, tuwe watafiti kiasi then tutapata ujuz wa kweli..
FB_IMG_1542539519310.jpg
FB_IMG_1542539515060.jpg
 
acha maswali ya kipumbavu ,hujui kama mathayo,marko ,petro wote walikua wanafunzi wa yesu ,pia luka alionana na wanafunzi wa yesu so hata yeye ana posibility ya kupata habari direct za yesu na watu wake kutoka kwa watu waliomshuhudia yesu,sio huyo publisher wako wa mwaka 2004,akup habari za mama maria wa miaka 2000 iliyopita
Upumbavu umeuanza wewe, ungejibu swali nlokuuliza ningekuona smart. Sasa niambie wapi Bibilia imeandikwa mwaka gani na nani na umejuaje wewe kama waandishi wa bibilia wamemuona yesu?

Nijuavyo mimi Bibilia imeandikwa miaka mingi baada ya yesu kuondoka duniani, sasa inanilazimu nikuulize nani amekwambia kama hao waandishi wamemuona?

Kuwa smart na usiwe mj.inga
 
mbona ibada ya ramadhani inaanza baada ya hiyo hiklo pambo kuonekana angani,na inasih baada ya hilo pambo kuonekana tena

Rejea(fungeni kwa kuuona mwezi na fungueni kwa kuuona mwezi
Unajua maana ya muandamo kwanza?kwani mwezi hatuuoni kila siku? mbona hatufungi basi? Wacha uabunuwasi wewe, jambo dogo kama hili unashindwa kulielewa kweli? haya basi ngoja nkufundishe a e i o u..... Kwa mfano mwezi wa ramadhani unatarajiwa kuanza tarehe mosi December, huu november huenda ukaisha 29 au 30, sasa ili kujua kama Ramadhan december imeingia, tuuutizame mwezi, tukiuona mwezi tarehe 29 basi siku ya pili inaanza ramadhan kama hatujauona 29, basi 30 lazima iwe mwisho wa november....ungeiendeleza hio habari ungejiona juha kweli lakini umeona bora uikatishe kati 😀 ....... Au unao uthibitisho kuonesha kama tunaabudu Mwezi na nyota?
 
Upumbavu umeuanza wewe, ungejibu swali nlokuuliza ningekuona smart. Sasa niambie wapi Bibilia imeandikwa mwaka gani na nani na umejuaje wewe kama waandishi wa bibilia wamemuona yesu?

Nijuavyo mimi Bibilia imeandikwa miaka mingi baada ya yesu kuondoka duniani, sasa inanilazimu nikuulize nani amekwambia kama hao waandishi wamemuona?

Kuwa smart na usiwe mj.inga
Jamaa keshakujibu hapo mbona
 
Naomba kuuliza wenye uelewa mzuri wa Quran ..Ndugu zetu waislamu huwa wanaamini katika Mungu mmoja tu (Allah) na tena kwa msisitizo wanasema hana mshirika.Lakini kuna baadhi ya aya katika quran Allah mwenyewe anajiwakilisha kwa kutumia Wingi..Mfano kuna aya anasema tulimuumba,tulimpulizia pumzi,tulimteremshia kitabu na nyingine nyingi.Swali langu ni kwamba kama kweli Allah hana mshirika je hao anao wataja kama kafanya nao hivyo vitu ni akina nani? Hizi hapa ni baadhi ya Sura zinazozungumzia wingi wa Allah Az-Zumar 39:2 na Sura Anbiyaa 21-91.
Qur-aan huwezi kuisoma Kama barua ya Mapenzi ukaielewa mkuu, utapata tabu Sana...
 
Naomba kuuliza wenye uelewa mzuri wa Quran ..Ndugu zetu waislamu huwa wanaamini katika Mungu mmoja tu (Allah) na tena kwa msisitizo wanasema hana mshirika.Lakini kuna baadhi ya aya katika quran Allah mwenyewe anajiwakilisha kwa kutumia Wingi..Mfano kuna aya anasema tulimuumba,tulimpulizia pumzi,tulimteremshia kitabu na nyingine nyingi.Swali langu ni kwamba kama kweli Allah hana mshirika je hao anao wataja kama kafanya nao hivyo vitu ni akina nani? Hizi hapa ni baadhi ya Sura zinazozungumzia wingi wa Allah Az-Zumar 39:2 na Sura Anbiyaa 21-91.
Mkuu vitabu vya dini kiuandishi viko tofauti sana hadithi za kina shigongo...
 
Hiyo alama inamaana kubwa sana. Nyota na mwezi hiyo ni miungu ya waislamu popote walipo. Kama wanavyo laani kula nyama ya nguruwe, nyumayapazia ipo maana kubwa sana.
 
Mkuu vitabu vya dini kiuandishi viko tofauti sana hadithi za kina shigongo...
Unajua unaponijibu hivyo kuhusu wakina shigongo sijui..unaonesha madhaifu makubwa sana juu ya uelewa wako wa quran..sasa hapo nielewe nn?
 
Naomba kuuliza wenye uelewa mzuri wa Quran ..Ndugu zetu waislamu huwa wanaamini katika Mungu mmoja tu (Allah) na tena kwa msisitizo wanasema hana mshirika.Lakini kuna baadhi ya aya katika quran Allah mwenyewe anajiwakilisha kwa kutumia Wingi..Mfano kuna aya anasema tulimuumba,tulimpulizia pumzi,tulimteremshia kitabu na nyingine nyingi.Swali langu ni kwamba kama kweli Allah hana mshirika je hao anao wataja kama kafanya nao hivyo vitu ni akina nani? Hizi hapa ni baadhi ya Sura zinazozungumzia wingi wa Allah Az-Zumar 39:2 na Sura Anbiyaa 21-91.

Surat Zumar 39:2,
Hakika Sisi tumekuteremshia Kitabu hike kwa Haki. Basi muabudu Mwenyezi Mungu ukimsafia Dini Yeye tu.

Shukran kwa swali lako zuri. Nimelipenda kwa hakika.

Surat Al -Ambiyaa (21: 16/19)
Na hatukuziumba mbingu na Ardhi na vilivyomo Bains Yao kwa mchezo.
Na ni vyake tu Mwenyezi Mungu vilivyomo mbinguni na katika Ardhi. Na walioko kwake hawafanyi kiburi wakaacha kumuabudu na wala hawachoki.

(Qur'an 21:25)
"Na hatukumtuma kabla yako mtume yeyote Ila tulimfunulia ya kwamba Hapana mungu Ila MIMI. Basi niabuduni MIMI tu".

Biblia Mwanzo (1 - 10)
"Na tufanye MTU kwa mfano WETU. ……..Kisha Mungu akamuumba MTU kwa mfano WAKE.

Naomba uchunguze vizuri kwa kila underline niliyoiweka ili uwe mwanzo wa kupata majibu kwa swali lako zuri. Naamini swali lako linatokana na mafundisho ya "utatu" uliyolelewa nayo toka ukiwa mdogo. Siyo mafundisho sahihi hayo kwani hata Yesu alipata kusema "Naenda kwa baba yangu ambaye ni baba yenu, naenda kwa Mungu wangu ambaye ni Mungu wenu.

Kiufupi ni kuwa Mwenyezi Mungu kutumia nafsi ya Umoja au wingi ni hiari yake. Yeye ndiye mwanzilishi na muumbaji wa Lugha. Hutumia Lugha apendavyo na atakavyo kuonyesha ukuu na uweza wake uliotukuka. Wala haimaanishi anaye mshirika wala anahitaji mshirika katika utendaji wake. HAPANA! Kiswahili hayo yanaitwa MAJAZI katika Lugha. Ndiyo maana anaamua kutumia zote kwa wakati mmoja. Mwisho wa siku maana halisi ni kuwa maana kuu hurudi Kwake Yeye Mwenyewe.
Rejea kwenye underlines halafu kila penye neno lenye maana ya Umoja weka wingi. Mfano hatu…...…..sisi,
Natu………....wao, Hakika sisi tume...………..wao tu. Utaona haileti maana kiistilahi.
 
Nakumbuka Maneno ya mwalimu Nyerere wakati anataka kuivamia Uganda: Nanukuu
*Uwezo tunao!
*Sababu tunayo!
*Na nia tunayo!
Wakati huu wa Mzee wetu JPM angesema hivi.
*Uwezo ninao!
*Sababu ninayo!
*Na nia ninayo!
*Mimi nimesema! Mimi ndiye Raisi.

Ukizingatia Kauli za viongozi hao wawili ni kuwa wote wako sahihi. Killa mmoja anazungungumzia "Majestic power aliyonayo! Haimaanishi Kuna watawala wawili au watatu au Zaidi. Ni huyohuyo mmoja.

Mwenyezi Mungu kwa kuwa Yeye ndiye Mtaalamu wa Lugha anatumia njia zote mbili - Majazi.

"Na hatukumtuma kabla yako mtume yeyote Ila tulimfunulia ya kwamba Hapana mungu Ila MIMI. Basi niabuduni MIMI tu". (Qur'an 21:25)
 
Think twice. Ni alama ya kishetani. Hata Katoliki wanazo sana. Dini ya kweli ni ile isiyokuwa na alama, maana Mungu wa Moses hakuwahi kuhimiza wachonge sanamu wala kitu chochote chenye mfano wa Mungu. Hizo alama zinamuwakilisha shetani na siyo Mungu.
hakuna alama ya shetani ni wewetu unavyotafsiri, mungu kamuumba shetani bila alam yoyote. leo hii utatambuaje kabuli hili la muislam kama halina alama? ndio maana ikawekwa ili wajuwe
 
Na quran ata nkueleweshe vip huwez kuelewa as long unaitwa lukac..ila mi kile chenu nakielewa bila kueleweshwa
Unajua unaponijibu hivyo kuhusu wakina shigongo sijui..unaonesha madhaifu makubwa sana juu ya uelewa wako wa quran..sasa hapo nielewe nn?
 
Kumbe uislam umechakachuliwa namna hii. Sasa wale wanaoshupaa kila siku hapa kuwa uislam upo vile vile kama alivyouleta mtume ina maana hii story yako hawaijui au?

Na hii argument yako inamaanisha allah kashindwa kuulinda uislam wake usiongezewe alama za kituruki..hahahah
Watu mna utata kweli we ni kinyungu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Anayeapa hapo ni Muhammad. Siyo Allah. Mnajidai mnaijua Quran kumbe ni mavi matupu matakoni.....
Does it make sense kwa Muhammad kuapa kwa nyota badala ya Muumba, aliyeumba nyota na mwanadamu?

Vv
 
Back
Top Bottom