masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Ana hasira sana sijui amefanyaje huko kwaoDoes it make sense kwa Muhammad kuapa kwa nyota badala ya Muumba, aliyeumba nyota na mwanadamu?
Vv
Ana hasira sana sijui amefanyaje huko kwaoDoes it make sense kwa Muhammad kuapa kwa nyota badala ya Muumba, aliyeumba nyota na mwanadamu?
Vv
Sio poa katika uislamu kiigizo chetu ni mtume kama mtume akufanya hilo jambo hao waliofanya wanapaswa kuacha mara moja , kuhusu nyota na mwezi hizi sio ishara za shetani , hizi ni ishara za Mungu mwenyewe kwasababu ndie alieziumbaIla sanamu ya mwezi na nyota unaona ni poa tuu kuwekwa ktk nyumba ya ibaada.
Muhammad nawaapia wanadamu hapa wala hamwapii Mungu. Na Mungu ndiye kamwbie aapie kupitia nyita na mweziDoes it make sense kwa Muhammad kuapa kwa nyota badala ya Muumba, aliyeumba nyota na mwanadamu?
Vv
Katika masuala ya imani, huwa tunaapa kwa nani?Muhammad nawaapia wanadamu hapa wala hamwapii Mungu. Na Mungu ndiye kamwbie aapie kupitia nyita na mwezi
We vipi?
Kwani inaleta sense pale Yesu anaposali kumwomba Mungu wakati yeye mwenyewe ndiye Mungu?
Muhammad anawaapia wanadamu hapa wala hamwapii Mungu. Na Mungu ndiye kamwambia aapie kupitia nyota na mweziDoes it make sense kwa Muhammad kuapa kwa nyota badala ya Muumba, aliyeumba nyota na mwanadamu?
Vv
Katika masuala ya kusali si huwa tunasali kumwomba Mungu au nani?Katika masuala ya imani, huwa tunaapa kwa nani?
Vv
Naomba usome tena swali na unijibu.Katika masuala ya kusali si huwa tunasali kumwomba Mungu au nani?
Kwanini He na so SheHivi kuna aliyeelewa hili jibu..au inamaanisha utukufu wa Mungu ili ukamilike unatakiwa utamkwe katika wingi??
Hoja yako ni nini mkuu , japo mada imefika mbali ?Muhammad nawaapia wanadamu hapa wala hamwapii Mungu. Na Mungu ndiye kamwbie aapie kupitia nyita na mwezi
We vipi?
Kwani inaleta sense pale Yesu anaposali kumwomba Mungu wakati yeye mwenyewe ndiye Mungu?
Fuatilia muuliza swali aliyeniuliza Muhammad alipaswa kumwapia Mungu na siyo nyota.Hoja yako ni nini mkuu , japo mada imefika mbali ?
Wapi Mohamadi kaapa na nyota ?Fuatilia muuliza swali aliyeniuliza Muhammad alipaswa kumwapia Mungu na siyo nyota.
Muulize muuliza swaliWapi Mohamadi kaapa na nyota ?
Bila shaka akirudi anaweza yaona maswali yangu tuvute subiraMuulize muuliza swali
ManinaNi alama ya mungu mwezi
Hivi hiyo Alama NI SANAMU?? Na ili uabudu sanamu linatakiwa liwe upande gani??Think twice. Ni alama ya kishetani. Hata Katoliki wanazo sana. Dini ya kweli ni ile isiyokuwa na alama, maana Mungu wa Moses hakuwahi kuhimiza wachonge sanamu wala kitu chochote chenye mfano wa Mungu. Hizo alama zinamuwakilisha shetani na siyo Mungu.
Naamini bwana Lukac umeshapata jibu sahihi. Ukimywa unaashiria hivyo.Surat Zumar 39:2,
Hakika Sisi tumekuteremshia Kitabu hike kwa Haki. Basi muabudu Mwenyezi Mungu ukimsafia Dini Yeye tu.
Shukran kwa swali lako zuri. Nimelipenda kwa hakika.
Surat Al -Ambiyaa (21: 16/19)
Na hatukuziumba mbingu na Ardhi na vilivyomo Bains Yao kwa mchezo.
Na ni vyake tu Mwenyezi Mungu vilivyomo mbinguni na katika Ardhi. Na walioko kwake hawafanyi kiburi wakaacha kumuabudu na wala hawachoki.
(Qur'an 21:25)
"Na hatukumtuma kabla yako mtume yeyote Ila tulimfunulia ya kwamba Hapana mungu Ila MIMI. Basi niabuduni MIMI tu".
Biblia Mwanzo (1 - 10)
"Na tufanye MTU kwa mfano WETU. ……..Kisha Mungu akamuumba MTU kwa mfano WAKE.
Naomba uchunguze vizuri kwa kila underline niliyoiweka ili uwe mwanzo wa kupata majibu kwa swali lako zuri. Naamini swali lako linatokana na mafundisho ya "utatu" uliyolelewa nayo toka ukiwa mdogo. Siyo mafundisho sahihi hayo kwani hata Yesu alipata kusema "Naenda kwa baba yangu ambaye ni baba yenu, naenda kwa Mungu wangu ambaye ni Mungu wenu.
Kiufupi ni kuwa Mwenyezi Mungu kutumia nafsi ya Umoja au wingi ni hiari yake. Yeye ndiye mwanzilishi na muumbaji wa Lugha. Hutumia Lugha apendavyo na atakavyo kuonyesha ukuu na uweza wake uliotukuka. Wala haimaanishi anaye mshirika wala anahitaji mshirika katika utendaji wake. HAPANA! Kiswahili hayo yanaitwa MAJAZI katika Lugha. Ndiyo maana anaamua kutumia zote kwa wakati mmoja. Mwisho wa siku maana halisi ni kuwa maana kuu hurudi Kwake Yeye Mwenyewe.
Rejea kwenye underlines halafu kila penye neno lenye maana ya Umoja weka wingi. Mfano hatu…...…..sisi,
Natu………....wao, Hakika sisi tume...………..wao tu. Utaona haileti maana kiistilahi.
Sijaelewe jibu lako..unamaanisha kupata tabu ndio jibu?..Au kifupi hata wewe hujui kitu??
Umesema kweli mkuu sio poa kabisa pamoja na fact kwamba nyota na mwezi ni katika viumbe vya Mungu usisahau pia kuwa kuna jamii za binadamu walivifanya vitu hivyo kuwa miungu yao mungu mwezi na mungu nyota na hata mungu jua na ukifatilia kwa umakini utagundua jamii hizo ndio zilipenyeza alama za miungu zao hizo kwenye dini.Sio poa katika uislamu kiigizo chetu ni mtume kama mtume akufanya hilo jambo hao waliofanya wanapaswa kuacha mara moja , kuhusu nyota na mwezi hizi sio ishara za shetani , hizi ni ishara za Mungu mwenyewe kwasababu ndie alieziumba
Kwahiyo misikitini na makanisani(katoliki) kunaabudiwa mashetani, siyo Mungu?Think twice. Ni alama ya kishetani. Hata Katoliki wanazo sana. Dini ya kweli ni ile isiyokuwa na alama, maana Mungu wa Moses hakuwahi kuhimiza wachonge sanamu wala kitu chochote chenye mfano wa Mungu. Hizo alama zinamuwakilisha shetani na siyo Mungu.
Ni kweli na bahati nzuri misikiti Mingi hakuna izo alama , jambo ambalo halina dalili katika uislamu ni batili, lakini nyota na mwezi ni ishara za Mungu sio shetani, kwanini apewe credit shetani kwa kazi aliyoyafanya Mungu ?Umesema kweli mkuu sio poa kabisa pamoja na fact kwamba nyota na mwezi ni katika viumbe vya Mungu usisahau pia kuwa kuna jamii za binadamu walivifanya vitu hivyo kuwa miungu yao mungu mwezi na mungu nyota na hata mungu jua na ukifatilia kwa umakini utagundua jamii hizo ndio zilipenyeza alama za miungu zao hizo kwenye dini.