Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

Kuna watu ni wababaishaji sana na lau wanakutana na watu wasioenda shule au kuijua kidogo historia na mafundishonya dini yao basi watababaika sana na maneno ya huyu kijana PNC. Nakumbuka jina lako kwenye makala ya The. Bold. Lengine nalo kumbuka ulileta ubabaishaji kama huu kisha ukajibiwa na kutulia hapa tena umeleta wa aina nyingine haya subiri ufunzwe nukta moja mpaka nyingine.

Katika vitu visuvyo na shaka ni kua ALLAH ndie mola wa haqi na mwenye kupaswa kuabudiwa sijajua ni kweli hujaona maandiko au unafanya kusudi. Nasema hivi kwa sababu unaonekana unapitia pitia baadhi ya maandiko ya Quran lakini la kushangaza unayafumbia macho yaliyo dhidi yako moja kwa moja kisha unakuja kuuliza. Ok acha tukijibu
Ni kwamba ALLAH ndie yuleyule Mungu wa wayahudi kizazi cha Yaqubu na haya yanathibitisha na Quran 2:132-133

132."Na Ibrahim akawausia wanawe, na pia Yaaqub: Enyi wanangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii; basi msife ila nanyi mmekuwa Waislamu, wanyenyekevu.
133.Je! Mlikuwapo yalipo mfikia Yaaqub mauti, akawaambia wanawe: Mtamuabudu nani baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is- hak, Mungu Mmoja tu, na sisi tunasilimu kwake"

Kwa uthibitisho huu swali lako la kwanza litakua limeyeyushwa. Si kitu tena.

Kuna maswali yako hayana msingi na ili yawe na msingi inabidi uyajenge kutokana na maandiko.

Katika kiarabu neno ilaha (إله) lina maana ya chochote kinacho abudiwa. Hivyo neno Al (ال) ni sawa na The katika kingereza na si "a" kama unavyodai wewe. Hivyo maana ya jumla ni "The worshiped one" ikiwa na maana mwenye kuabudiwa.
Umeleta case ya Muhamamad sala na salamu zimfikie amekuja kuuleta uislam na kwamba kabla yake haukuwepo na kusema kwamba ndomana hata baba yake hakua muislam.
Majibu ni kama ifuatavyo

Uislam haujaanzia kwa Muhammad sala na salam zimfikie bali ulikuwepo na tangu awali. Na hili utalijuam ikiwa utaijua maana ya usilam. Uislam ni kujisalimisha kwa Mola mmoja. Kwa maana ya kwamba kumuabudu mola huyo pekee pasi na kumshirikisha na wengine wenye kuabudiwa kinyume chake. Kwa maa a hii ya uislam, uislam upo tangua Adam, Nuhu na wengine waliokuja baada yao. Kwa waarabu Uislam huo ulianzia kutoka kwa Ismail mwana wa Ibrahimu. Kutoka na kurefuka muda miaka mingi kupita mafunzo ya kumuabudu Mola mmoja pekee kwa waarabu yalipotea na badala yake wakawa wanamuabudu hali wakimshirikisha na wenye kuabudiwa wengine ikiwemo Miti, masanamu, mawe n.k kwa mwenye kufanya hivyo uislam hautabakia kwake tena kwani amevunja sharti la kumuabudu ALLAH pekee. Na hilo ndili lililotokea kwa waarabu hivyo mpaka anakuja kuzaliwa baba yake Muhammad mzee Abdullah hali ilikua hivyo.

Ukaja kuunganisha nukta zako kwa kusema ndo maana jeshi la yule mfalme alietaka kuondoa kaaba likaangamizwa na mwenye kaaba.
Maelezo yapo kama ifuatavyo.
Katika vitu vinavyojulisha uislam ni dini ya kale ni uwepo wa nyumba ile tukufu Al kaaba kabla ya kuzaliwa Muhammad sala na salam zimfikie. Kiasili nyumba ile imejengwa na Ibrahim kwa kushirikiana na mwanae Ismail kwa maelekezo kutoka kwa ALLAH. Hili linathibishwa na Quran 2:127 "Na kumbukeni Ibrahim na Ismail walipo inyanyua misingi ya ile Nyumba wakaomba: Ewe Mola Mlezi wetu! Tutakabalie! Hakika Wewe ndiye Msikizi Mjuzi."
Na malengo yametajwa kwenye 2:125
"Na kumbukeni tulipo ifanya ile Nyumba (ya Alkaaba) iwe pahala pa kukusanyikia watu na pahala pa amani. Na alipo kuwa akisimama Ibrahim pafanyeni pawe pa kusalia. Na tuliagana na Ibrahim na Ismail: Itakaseni Nyumba yangu kwa ajili ya wanao izunguka kwa kut'ufu na wanao jitenga huko kwa ibada, na wanao inama na kusujudu."

Kwa kua yeye ndie mmiliki wa nyumba hiyi ndo maana akaihami. Wala kuwepo kwa masanamu hakukufanya umiliki wake usiendelee. Na kama nilivyosema hapo awali kutokana na muda kurefuka miaka mingi kupita mafunzo sahihi yalikua yakipotea sik mpaka sik na hata kufika katika hali ya kumuabudu ALLAH ili hali wakimshirikisha na wengine waliokua wakiwaabudu yakiwemo hayo masanamu.

Sioni msingi wa maswali yako kuhusu kufunga kwa. Kuona mwezi na kufungua kwa kuuona. Kama hautaelewa maelezo yangu hayo uliza tena nikufunze
Umejitahid kujib lakini bado nina swali kusema Islam ilikuwepo kabla ya Mohamad hiyo ni uongo mkubwa kuliko yote labda uniambie kitabu kingine chochote zaidi ya quran kinachozungumzia uislam kabla ya Mohamad maana dini zote kabla ya uislam zimezungumziwa hata za kipagan kama Buddha.
Pili historia kwenye uislam /quran ni hadithi za kusadikika kiasi kwamba hata wanahistoria hawawezi kuitumia mfano quran inamzungumzia Mariam mamake Yesu ikimfananisha na Mariam ndugu yake Musa na Harun waloishi miaka zaidi ya 1500 kabla.
Kifupi huwezi kwa kutumia quran kuniambia Isa bin Mariam na mamake waliishi miaka ipi kihistoria na waliishi maeneo gani. Quran kusema kuwa kaaba ilijengwa na Ibrahim na Ishmael inaleta walakini maana maandiko ya kabla ya quran, biblia inasema wazi Ishmael na mamake walifukuzwa kwa Ibrahim mapema sana .Kuthibitisha hayo hata Ibrahim amezikwa eneo moja na Sara mkewe.Kifupi historia ya Ishmael kuwa na Ibrahim haiendelei kutajwa baadae.Na kwa uthibitisho zaidi ni kuwa hata kwenye historia ya vizazi vya Ibrahim mpaka wakati wa Yesu wanatajwa wa kizazi kilichotokana na Isaka na siyo Ishmael.
Na zaidi ya hayo umbali kutoka Kanani/Israel mpaka arabuni kwa uzee alokuwa nao Ibrahim na kwa aina ya usafir wa nyakati zake unatia shaka kuwa Quran inaongelea labda Ibrahim mwingine.
Zaidi ya hayo Ibrahim alikuwa nchi ya kanaan na ndo nchi alopewa siyo arabun,swali ilikuwaje akajenge Kaaba arabuni?
Kingine hicho unachozungumzia kuwa kilijengwa na Ibrahim /Kaaba ni kimondo ,walosoma jiografia wanaelewa vizuri sasa kimondo kinajengwa au hudondoka?
Naomba nijibu kwa evidence ili tuweze kuelewa.
 
Na hapo ndio inathibitisha uislamu,sio dini ya shetani,kama mnavyondangana kwenye vijiwe vya mbege,uislamu unampiga vita shetani ki theory na ki practical.
😀😀😀😀😀 Kwanini shetani akapigwe Makkah?... Hivi bado hajafa tu miaka yote hiyo?...
 
Wewe ndio unayedanganywa kwenye vijiwe vya kahawa... Vipi huyo shetani bado hajafa tu huko Makkah au kila mwaka anazaliwa mwingine?...
Usiwe na akili za kilevi,mlevi kila kitu akiona kinyume chake.Shetani ni kiumbe chenye uhai,kinazaliwa,kinaishi,kinakufa,kila chenye uhai,kinakuwa na uzaaji na kuongezeka.Kama kusoma hukusoma shule,hata katika maisha hujajifunza kama
Kila chenye uhai,kina sifa ya kuzaana(reproduction).
Tumia akili,usijitie aibu,ikiwa jambo dogo la kujuwa kila chenye uhai,kinazaana,na kuongezeka,itakuwa na uwelewa kuhusu dini,jambo ambalo unatakiwa usome.Ni sawa na kusema toka,muwauwe wezi,hawajakwisha tu?Utaonekana mjinga,wakati wezi kila siku wanazaliwa,kama wanavyozaliwa,wasio na uelewa,kama wewe.
 
Lile ni jiwe jeusi,hapo ndio inapoonyesha uislamu,ni dini isiyo na ubaguzi wa rangi,hata rangi nyeusi,inathaminiwa.Sio hiyo dini yenu,mnapokuwa na msiba mnavaa nguo nyeusi,kuonyesha rangi nyeusi ni msiba.Na pia kumfananisha shetani na rangi nyeusi.
Unabaki kwenye dini,inayokudhalilisha rangi yako ya ngozi nyeusi,na wewe unajidhalilisha,wakati wa msiba wavaa nguo nyeusi.Kuonyesha rangi nyeusi ni msiba,huzuni na matatizo.Wakati kwa waislamu,rangi nyeusi imepewa hadhi,mpaka ya kubusiwa,na kupewa heshima.
At least umenisaidia kuwajulisha waislam wenzio kuwa Kaaba ni jiwe jeusi na siyo kitu kilijengwa na Ibrahim na Ishmael maana jiwe hutokea naturally na halijengwi ila huweza kutumika kwa kujengea.
Pili kuvaa Nguo nyeusi hakuhusiani chochote na dini ya Ukristo, hata wewe unaweza kuthibitisha kuwa hakuna special dressing code ya misiba. Swali langu wala haliuhusiana na rangi kuna mdau alihoji kubusu ni kuabudu nikamuuliza kama wanavyobusu Kaaba huwa wanaliabudu.
 
Wenyewe wanadai wanakwenda kumpiga shetani mawe... Sijui hajafa tu hadi leo!...
Hii inathibitisha Vita na shetani siyo ya mwilini kumrushia mawe, maana kwa jinsi teknologia ilivyoongezeka wangempiga bomu wakamaliza kazi kuliko kufanya kazi ya kumpiga mamia ya miaka.
 
Jiwe jeusi halipigwi mawe.Usidanganywe kwenye vijiwr vya mbege.
Vijiwe. kidogo kidogo vinapigwa kwenye vinara vilivyo na rangi ya kijivu(saruji).Ni kuashiria tendo alilotenda Nabii Ibrahimu,kumfukuza Shetani,wakati anamkataza,asifanye alichoamrishwa na Mungu,afanye.
Jiwe jeusi liko ndani ya msikiti,halipigwi mawe,wala haliabudiwi,ni heshima ya rangi nyeusi.
Ni wapi uliambiwa jiwe jeusi ni heshima ya mtu mweusi? Kwa maana hiyo mweupe kadharauliwa?
 
Kuwa na akili,uislamu ni dini ya mafundisho kwa vitendo,unampinga shetani,na unampinga kwa vitendo.Mambo mengi ya kimasomo,yamechukuliwa kutoka uislamu,kunakuwa na 'theory' na' pratical',ndio unaona tunasoma kimaandishi na kivitendo.
Na hapo ndio inathibitisha uislamu,sio dini ya shetani,kama mnavyondangana kwenye vijiwe vya mbege,uislamu unampiga vita shetani ki theory na ki practical.
Kwa hiyo shetani anapigwa waziwazi na mnamwona kaumia?
Maana tunaposoma theory kwenye practical tunaona matokeo wazi kabisa.
Kwa hiyo unamaanisha shetani anakaa uarabuni mnakoenda kuhiji?
 
Umejitahid kujib lakini bado nina swali kusema Islam ilikuwepo kabla ya Mohamad hiyo ni uongo mkubwa kuliko yote labda uniambie kitabu kingine chochote zaidi ya quran kinachozungumzia uislam kabla ya Mohamad maana dini zote kabla ya uislam zimezungumziwa hata za kipagan kama Buddha.
Pili historia kwenye uislam /quran ni hadithi za kusadikika kiasi kwamba hata wanahistoria hawawezi kuitumia mfano quran inamzungumzia Mariam mamake Yesu ikimfananisha na Mariam ndugu yake Musa na Harun waloishi miaka zaidi ya 1500 kabla.
Kifupi huwezi kwa kutumia quran kuniambia Isa bin Mariam na mamake waliishi miaka ipi kihistoria na waliishi maeneo gani. Quran kusema kuwa kaaba ilijengwa na Ibrahim na Ishmael inaleta walakini maana maandiko ya kabla ya quran, biblia inasema wazi Ishmael na mamake walifukuzwa kwa Ibrahim mapema sana .Kuthibitisha hayo hata Ibrahim amezikwa eneo moja na Sara mkewe.Kifupi historia ya Ishmael kuwa na Ibrahim haiendelei kutajwa baadae.Na kwa uthibitisho zaidi ni kuwa hata kwenye historia ya vizazi vya Ibrahim mpaka wakati wa Yesu wanatajwa wa kizazi kilichotokana na Isaka na siyo Ishmael.
Na zaidi ya hayo umbali kutoka Kanani/Israel mpaka arabuni kwa uzee alokuwa nao Ibrahim na kwa aina ya usafir wa nyakati zake unatia shaka kuwa Quran inaongelea labda Ibrahim mwingine.
Zaidi ya hayo Ibrahim alikuwa nchi ya kanaan na ndo nchi alopewa siyo arabun,swali ilikuwaje akajenge Kaaba arabuni?
Kingine hicho unachozungumzia kuwa kilijengwa na Ibrahim /Kaaba ni kimondo ,walosoma jiografia wanaelewa vizuri sasa kimondo kinajengwa au hudondoka?
Naomba nijibu kwa evidence ili tuweze kuelewa.
Nakupa mfano wa akili yako iliyofinyu.Tanzania tulianza na sasa ya ujamaa na kujitegemea toka awamu ya kwanza.Lakini inavyojulikana,watanzania tuliishi miaka yote kabla hata awamu ya kwanza,na kabla hata ya kuja kwa wakoloni,tukiishi kwa ujamaa na kujitegemea.Kwa hiyo hatukuanza kuwa wajamaa kwa kipindi cha awamu ya kwanza tu,ila huko nyima hatukuwa na kiongozi aliyetuunganisha pamoja kwa kuishi kijamaa,ilikuwa kila jamii ikiishi na kiongozi wake akiitwa chief.Alipokuja kiongozi wa kuunganisha,jamii zote,akaendeleza maisha yale yale ya kijamaa.Kwa hiyo ujamaa ulikuwako kabla ya aliyekuja kutuunganisha pamoja.
Na ndio hivyo hivyo,uislamu ulikuwako toka binadamu wa kwanza,kuwako duniani,na ilikuwa kila jamii ikiwa na Mtume wake,akiwahubiriya kubudu Mungu mmoja,na kufuata mafunzo sahihi ya mtume aliyetumwa na huyo Mungu mmoja,mpaka alipofika Mtume Muhammad,ndio akawaunganisha dunia nzima,kuwa waislamu wa dunia nzima wawe pomoja kama unavyoona sasa.
Unapesema kuhusu Nabii Ibrahim,kuweza kufika sehemu aliyojenga nyumba ya ibada,utakuwa wa ajabu sana,hiyo nchi aliyooshi Ibrahimu ni mashariki ya kati,na kulikojengwa ni huko huko masahariki ya kati,na pia usifananishe watu wa wakati wa Nabii Ibrahimu na sasa,walikuwa na afya ya kutosha.Ikiwa waliweza kufika nchi za china na ulaya,washindwe kufika mashariki ya kati hiyo hiyo.
Nabii Ibrahimu hakuwahi kumfukuza mkewe huyu,mwafrika mwenzetu,huyu mke alikuwa mwafrika na mjakazi,inatakiwa sisi waafrika tujivuniwe,kuwa kizazi cha kiafrika ,ndio kilitoa mitume,yaani ndani ya uzazi wa mwanamke mwafrika(mweusi),pamezaliwa mitume,badala hapa tukapakazaniya na kuendeleza historia hii,tunafuata historia ya uongo ya wazungu,ili tuonekane watu weusi,hatukupewa kipaumbele katika ulimwengu wa kiroho.
 
Ni wapi uliambiwa jiwe jeusi ni heshima ya mtu mweusi? Kwa maana hiyo mweupe kadharauliwa?
Umeshakaririshwa na wazungu kama asili ya mtu ni Mzungu.Katika uislamu,Qur'an imeandika,mtu kaumbwa kwa kutumia udongo mweusi,unapoudhalilisha rangi nyeusi,umejidhalilisha binadamu yoyote,awaye,kama mweupe au mweusi.
 
Shida ni kuwalazimisha Waislamu kuwa wanaamini kitu Fulani wakati hakipo kwenye imani yao! shida nini nini? Dini ni imani ya MTU hawezi kuikataa anachoabudu,sasa yeye anakueleza hivyo vitu sio Mungu tunayemuabudu! wewe unalazimisha, basi wewe ndiwe Shetani,maana unalazimisha,lazima anaabudiwa Mungu Mwezi
Ila ndio ukweli mi muislam na siabudu mwez wala nyota na ktk kuran sijaona sehem inayosema Mungu ninaemuabudu ni mwezi au nyota,kuran yote inamlaani shetan,ajabu mtu asie wa imani yangu analazimisha kuwa mi naabudu mwezi sijui naabudu shetani mi nachoka kabisa,
 
Kwa hiyo shetani anapigwa waziwazi na mnamwona kaumia?
Maana tunaposoma theory kwenye practical tunaona matokeo wazi kabisa.
Kwa hiyo unamaanisha shetani anakaa uarabuni mnakoenda kuhiji?
Si kila practical inaonekana,kama umepitia masomo ya sayansi utanielewa,ziko prqtical ambazo huzioni ila unakuwa na hisia ,kama imefanyika au haikufanyika.Kwa mfano iko gas,inayokufanya ucheke,au ikukooze(harufu inayokufanya ukohoe)huioni ni harufu tu,lakini matokeo utayahisi.Hakuna harufu ya kitu,ikaonekana,lakini katika practical tunafanya,kutambua harufu.
 
Kwanini wanaangalia Mwezi wakati wakifunga.?

Je hawana njia nyingine?

Kuna uhusiano gani hapo Uislamu na mwezi?
Fungeni kwa kuuona mwez au fungueni kwa kuuona mwezi au kamilisheni siku,hivyo kama mwezi haukuonekana kinachofuata ni kuhesabu siku 30!
 
Si kila practical inaonekana,kama umepitia masomo ya sayansi utanielewa,ziko prqtical ambazo huzioni ila unakuwa na hisia ,kama imefanyika au haikufanyika.Kwa mfano iko gas,inayokufanya ucheke,au ikukooze(harufu inayokufanya ukohoe)huioni ni harufu tu,lakini matokeo utayahisi.Hakuna harufu ya kitu,ikaonekana,lakini katika practical tunafanya,kutambua harufu.
Sasa practical ya kupiga shetani nayo ipo kwenye kundi la harufu au hisia?Unamaanisha huwa mnapiga hewa ?
 
Umejitahid kujib lakini bado nina swali kusema Islam ilikuwepo kabla ya Mohamad hiyo ni uongo mkubwa kuliko yote labda uniambie kitabu kingine chochote zaidi ya quran kinachozungumzia uislam kabla ya Mohamad maana dini zote kabla ya uislam zimezungumziwa hata za kipagan kama Buddha.
Pili historia kwenye uislam /quran ni hadithi za kusadikika kiasi kwamba hata wanahistoria hawawezi kuitumia mfano quran inamzungumzia Mariam mamake Yesu ikimfananisha na Mariam ndugu yake Musa na Harun waloishi miaka zaidi ya 1500 kabla.
Kifupi huwezi kwa kutumia quran kuniambia Isa bin Mariam na mamake waliishi miaka ipi kihistoria na waliishi maeneo gani. Quran kusema kuwa kaaba ilijengwa na Ibrahim na Ishmael inaleta walakini maana maandiko ya kabla ya quran, biblia inasema wazi Ishmael na mamake walifukuzwa kwa Ibrahim mapema sana .Kuthibitisha hayo hata Ibrahim amezikwa eneo moja na Sara mkewe.Kifupi historia ya Ishmael kuwa na Ibrahim haiendelei kutajwa baadae.Na kwa uthibitisho zaidi ni kuwa hata kwenye historia ya vizazi vya Ibrahim mpaka wakati wa Yesu wanatajwa wa kizazi kilichotokana na Isaka na siyo Ishmael.
Na zaidi ya hayo umbali kutoka Kanani/Israel mpaka arabuni kwa uzee alokuwa nao Ibrahim na kwa aina ya usafir wa nyakati zake unatia shaka kuwa Quran inaongelea labda Ibrahim mwingine.
Zaidi ya hayo Ibrahim alikuwa nchi ya kanaan na ndo nchi alopewa siyo arabun,swali ilikuwaje akajenge Kaaba arabuni?
Kingine hicho unachozungumzia kuwa kilijengwa na Ibrahim /Kaaba ni kimondo ,walosoma jiografia wanaelewa vizuri sasa kimondo kinajengwa au hudondoka?
Naomba nijibu kwa evidence ili tuweze kuelewa.
Kwanza nashkuru mpaka mtu ana appriciate majibu jua ameelewa ila anataka kuondolewa shaka zaidi katika uelewa wake.
Ili ujue uislam upo kabla ya Muhamma lazima ujue uislam ni nn?
Uislam ni dini inayomtaka mtu kumuabudu mola mmoja kwa mujibu wa mafunzo ya nabii husika. Yani manabiu wote waliopita kabla ya Muhamma d walifundisha kumuabudu Mola mmoja hivyo kila alimfata nabii wa kipindi chake huyo alikua muislam. Kipindi cha Ibrahim wale waliomkubali na kua nae katika ibada ya kumuabudu Mola mmoja hao ndio waislam na manabii wengine waliofata baada yake vivyo hivyo.
Hapa nataka na wewe unithibitishie uwepo wa ukristo kabla ya kuja yesu, au kifupi uniambie Ibrahim alikua dini gani?
Nahisi utakua unatatizo katika kuifatilia historia. Hujajua vipi Ibrahim alifika katika ardhi ya Makka. Kutokana na wivu wa mke wake wa awali uliokuja baada ya Ibrahim kupata mtoto(Ismail) na mke wake wa pili ikamlazimu amhamishe mke wake wa pili mpaka eneo la mbali ili wivu ule usiendelee. Na ndipo alimfikisha ardhibya Makkah na maelezo yake marefu yapo kwenye hadithi za Mtume sala na salam zimfikie.
Kuhusu Mariam kuitwa ukht Haarun haijawa na maana ya kwamba ni dada wa musa au harun toka nitoke. Katika uislam kuna udugu wa aina mbili wa kwanza ni wa damu na wa pili ni wa usilam. Hivyo katika udugu wa uislam Harun na Mariam ni ndugu katika Imaan. Kutokana na uchamungubwa Mariam watu wake wakampa jina hilo la dada wa Harun wakiwa na maana Harun wa Musa ambae nae pia ni Mchamungu bali ni nabii kabisa kwahyo usichange khabar bana.
Kuhusu Kaaba kujenga na Ibarahim sion haja ya kurudia maelezo.
Nacho shangaa kwako ni kusema kile ni kimondo hali hauna ushahidi wa madai hayo.
Ni kuna maswali nimeweka chini ya post ile uliopenda na kusema nimejitahidi naomba unisaidie kujibu
 
Hamuwezi kupata majibu mngejadili mafundisho mazuri ya dini zenu ili kuboresha uhusiano mzuri na kubadilishana mawazo chanya maana ukristo na uislam vyote vinaamini mungu mmoja wa ibrahimu
 
Kwanza nashkuru mpaka mtu ana appriciate majibu jua ameelewa ila anataka kuondolewa shaka zaidi katika uelewa wake.
Ili ujue uislam upo kabla ya Muhamma lazima ujue uislam ni nn?
Uislam ni dini inayomtaka mtu kumuabudu mola mmoja kwa mujibu wa mafunzo ya nabii husika. Yani manabiu wote waliopita kabla ya Muhamma d walifundisha kumuabudu Mola mmoja hivyo kila alimfata nabii wa kipindi chake huyo alikua muislam. Kipindi cha Ibrahim wale waliomkubali na kua nae katika ibada ya kumuabudu Mola mmoja hao ndio waislam na manabii wengine waliofata baada yake vivyo hivyo.
Hapa nataka na wewe unithibitishie uwepo wa ukristo kabla ya kuja yesu, au kifupi uniambie Ibrahim alikua dini gani?
Nahisi utakua unatatizo katika kuifatilia historia. Hujajua vipi Ibrahim alifika katika ardhi ya Makka. Kutokana na wivu wa mke wake wa awali uliokuja baada ya Ibrahim kupata mtoto(Ismail) na mke wake wa pili ikamlazimu amhamishe mke wake wa pili mpaka eneo la mbali ili wivu ule usiendelee. Na ndipo alimfikisha ardhibya Makkah na maelezo yake marefu yapo kwenye hadithi za Mtume sala na salam zimfikie.
Kuhusu Mariam kuitwa ukht Haarun haijawa na maana ya kwamba ni dada wa musa au harun toka nitoke. Katika uislam kuna udugu wa aina mbili wa kwanza ni wa damu na wa pili ni wa usilam. Hivyo katika udugu wa uislam Harun na Mariam ni ndugu katika Imaan. Kutokana na uchamungubwa Mariam watu wake wakampa jina hilo la dada wa Harun wakiwa na maana Harun wa Musa ambae nae pia ni Mchamungu bali ni nabii kabisa kwahyo usichange khabar bana.
Kuhusu Kaaba kujenga na Ibarahim sion haja ya kurudia maelezo.
Nacho shangaa kwako ni kusema kile ni kimondo hali hauna ushahidi wa madai hayo.
Ni kuna maswali nimeweka chini ya post ile uliopenda na kusema nimejitahidi naomba unisaidie kujibu
Ktk ukristo tunaamin kwamba mungu ni 1 na amegawanyika ktk nafsi kuu tatu Mungu baba,,Mungu mwana,,na Mungu roho mtakatifu,,,hata ktk uumbaji wa ulimwengu ukisoma ktk kitabu cha mwanzo inasema natuumbe mtu kwa mfano wetu!! Ikiwa na maana ktk uumbaji hata Yesu kristo alikuwepo kwasababu ni nafsi ya mungu alie hai kuusiana na ukristo kuwepo kabla ya yesu!!! Wakat mungu anaumba ulimwengu ktk utatu mtakatifu yan Mungu baba,,Mungu mwana,,,Mungu roho mtakatifu alitaka wa mwabudu yeye ktk roho na kweli lakin mwanadamu anapotea ama anakosea kwa kudanganywa na shetani lkn kusudi la mungu linabaki palepale kwamba mwanadamu aliumbwa ili aniabudu analeta gharika kipindi cha nuhu baada ya hapa ndo walioponyeka walikuwa wanamwabudu Mungu ndo Mungu anamwita ibrahmu kutoka uru wa ukaldayo aende nchi ya ahadi kwa hyo ukristo ulikuwepo toka kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu!!! Ukiwa unamaana kumuabudu mungu alie hai muumba wa mbingu na nchi!!! Kristo alikuja dunian kuleta upatanisho kt ya Mungu na Mwanadamu na si vinginevyo!!
 
Mimi ni Mkristo Mkatoliki..nauliza haya mambo mnijibu..je nyota au Mwenzi au Jua ni alama za shetani!kama ni alama za kishetani ina maana hakuziumba Mwenyenzi Mungu?kama hakuziumba Mwenyenzi Mungu ina maana muumba Wa mbingu na nchi ni shetani?kama hizo alama ni zakishetani ina maana dunia yetu mtawala mkuu ni shetani?..ni muhimu sana kutofautisha sanamu na vitu vilivyoumbwa na Mwenyenzi Mungu Mkuu.Baba Wa viumbe vyote na mambo yote tujitaidi sana kumpa Heshima kwa Hekima na busara zake za kuumba jamani.napenda sana Kumwambia Mwenyenzi Mungu Mkuu samahani kwa mambo yote tunayokuumiza.
Vitu vyote vilivyoumbwa na Mungu wa Biblia, Yeye mwenyewe alisema visiabudiwe isipokuwa Yeye pekeyake. Nyota, jua, mwezi, malaika, watu, viumbe vya majini, vya angani, si vya kuabudiwa.
 
Ktk ukristo tunaamin kwamba mungu ni 1 na amegawanyika ktk nafsi kuu tatu Mungu baba,,Mungu mwana,,na Mungu roho mtakatifu,,,hata ktk uumbaji wa ulimwengu ukisoma ktk kitabu cha mwanzo inasema natuumbe mtu kwa mfano wetu!! Ikiwa na maana ktk uumbaji hata Yesu kristo alikuwepo kwasababu ni nafsi ya mungu alie hai kuusiana na ukristo kuwepo kabla ya yesu!!! Wakat mungu anaumba ulimwengu ktk utatu mtakatifu yan Mungu baba,,Mungu mwana,,,Mungu roho mtakatifu alitaka wa mwabudu yeye ktk roho na kweli lakin mwanadamu anapotea ama anakosea kwa kudanganywa na shetani lkn kusudi la mungu linabaki palepale kwamba mwanadamu aliumbwa ili aniabudu analeta gharika kipindi cha nuhu baada ya hapa ndo walioponyeka walikuwa wanamwabudu Mungu ndo Mungu anamwita ibrahmu kutoka uru wa ukaldayo aende nchi ya ahadi kwa hyo ukristo ulikuwepo toka kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu!!! Ukiwa unamaana kumuabudu mungu alie hai muumba wa mbingu na nchi!!! Kristo alikuja dunian kuleta upatanisho kt ya Mungu na Mwanadamu na si vinginevyo!!
Thibitisha uwepo wa itikadi ya Mungu katika utatu kabla ya kuja yesu. Yani kipindi cha Nuhu na hata Ibrahimu.
Pia upatanisho baina ya Mungu na mwanadamu ulikuja kivipi? Ipi sababu ya upatanisho huo?
 
Aliyesema hayo maneno ni allh, mohamed au yule mwandishi wake kwa kuwa mohamed pamoja na kuwa mjanja lakini alikuwa hana elimu ya kuandika? Ninahitaji andiko ambalo allah amejiita yeye ni Mungu, siyo maneno ya wapambe wake.

Unajua wapambe wa allah ni wapambe tu kama wa kwenye arusi, wanaoimba "Anameremeta" kila mwenye arusi hata kama anasura kama usiku!?
hao walio andika hakuandika maneno tu kwa kutaka au kwa matamanio yao ila ni maneno ya allah ambayo ameshushiwa wahyi mtume muhammad swallahu alayhi wasallam , rejea qur'an sura ya 53 aya ya kwanza paka ya 5 ni surat an najm.
 
Back
Top Bottom