Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

ALLAH ndie mola wa watu wote na vilivyomo mbinguni na ardhini na yeye ndie mmilki wa kila kitu
allah hawezi kujitetea ndio maana anasema mumtakase asubuhi na mchana KWANI KAFANYA DHAMBI GANI?
 
Kama ndivyo, Islam ni dini ya mashetani/majini .Na kwa kuwa majini yanauwezo wa kujigeuza maumbile huoni ndiyo yalomtokea Mohamed pangoni na kumtisha?
Maana hicho kiumbe kilichomtisha hakikujitambulisha kwake.
Na pili Ibrahim alikuwa dini ya kiyahudi na hakuwahi kuwa muislam maana hata quran inasema Mohamad ndo wa kwanza kuwa muislam ktk watu.
qur'an inaeleza yakua nabii ibrahim hakua yahudi wala hakua mnaswara ma alikua ni hanifah muslimah na hakua miongoni mwa washirikina hao mayahudi na manaswarah.
 
allah hawezi kujitetea ndio maana anasema mumtakase asubuhi na mchana KWANI KAFANYA DHAMBI GANI?
lau kama sisi wota tuta acha kumuabudu ALLAH sisi wote dunia nzima hatutapunguza hata chembe ya ufalme wake na kadhalika tukimuabudu hatumzidishii chochote sababu yeye ALLAH si muitaji sisi viumbe ndio waitaji kwake ALLAH.
 
kama sio.muhitaji mbona anasema tumtetee?
 
Nijuavyo imani ya uislamu isivyopenda mzaa kwenye mambo inayo yaamini sikutegemea majibu mepesi kama ninayoyasoma humu..
mara hoo ni adopted from waliowatawala ,,, mara hoo ni alama tu walioichagua kulingana na tarehe zao kama zilivyo kwenye vitabu vyao.
mara hoo ni kama wayahudi walivyo kuwa na nyota ya daudi na wengine msalaba ndio maana na sisi tukaamua kuwa na mwezi na nyota.
Hayo sio majibu KUNTU tunayoyataka yusiojua bali tunadhani kama unavyoona tukidhani tafadharini wekeni majibu ya maana yenye rejea sio longo longo. kama vipi tuacheni na tunavyo amini.
sikia hao walio sema hivyo hawajutabui sababu uislam hau adopte kitu kwa watu sababu hii dini haendi kwa akili za watu ila inaenda kwa qur'an na sunnah ya mtume .
 
Think twice. Ni alama ya kishetani. Hata Katoliki wanazo sana. Dini ya kweli ni ile isiyokuwa na alama, maana Mungu wa Moses hakuwahi kuhimiza wachonge sanamu wala kitu chochote chenye mfano wa Mungu. Hizo alama zinamuwakilisha shetani na siyo Mungu.

Waza vizuri.

Tena hizo dini unazoiita za ukweli nazo zina majanga.

Mfano, kuna watumishi hawana sehemu zao za siri wamezitoa kafara, wengine wametoa binadamu wenzao wengine mapepo na majini na majoka ndiyo yako kwenye madhabahu zao wengine wanatumia dawa za kupaka mikono.

RC church, Unajua maana ya kuzika wafu karibu na kanisa lao!?
Wengine wanazikwa ndani ya kanisa, wengine mlango wa kuingilia kanisani. Mfano ni kule Vatican city.
Tanzania, Pale Bukoba cathedral, Arusha pale Olasite n.k.

Ok, hizo alama za misikitni nayo ina maana sana asiye anzisha kitu au jambo hajui maana hata akijua siyo kama aliyeanzisha.
Dini ya kiislamu , imeanzia Middle East je, Unajua maana ya hizo alama Katika jamii hiyo ya kiarabu!?

Ndiyo maana, Wengi humu JF na hadi viongozi wa dini hiyo ya kiislamu wa hapa Afrika hawajui chochote.

Nimewahi Soma, comparative religious studies, utashangaa Sana hayo mambo.

Dini nyingi za kigeni zote ni uchwara na ni Pumba.fu sana.

Freemason, mfano wanapoingia kwenye jengo lao ni lazima uvue shati -uwe kufua wazi . Je unajua maana ya mtu kuingia mahala pa ibada au kikao chochote tena cha opposite sex watu /mtu huyo akiwa kifua wazi!?

Dini zote ni unafiki mtupu, ni uchwara. Sasa, hizi za kigeni ndiyo Pumba.fu sana.

Dini zilianza hazikuwa na majanga ila wanaoziendeleza ndiyo wamezifanya kuwa uchwara.

Naomba nishie hapa.
 
Watu hawawezi kujibu hoja kwa hoja jazba tupu humu
mnabisha hata ukweli nyie mnabisha yani mnashidwa kutumia akili hii dunia umezuka tu bila kua na mwenyewe ? ALLAH NDIE MWENYE DUNIA NA KILA UNACHOKIONA NA USICHOKIONA
 
Waza vizuri.

Tena hizo dini unazoiita za ukweli nazo zina majanga.

Mfano, kuna watumishi hawana sehemu zao za siri wamezitoa kafara, wengine wametoa binadamu wenzao wengine mapepo na majini na majoka ndiyo yako kwenye madhabahu zao wengine wanatumia dawa za kupaka mikono.

RC church, Unajua maana ya kuzika wafu karibu na kanisa lao!?
Wengine wanazikwa ndani ya kanisa, wengine mlango wa kuingilia kanisani. Mfano ni kule Vatican city.
Tanzania, Pale Bukoba cathedral, Arusha pale Olasite n.k.

Ok, hizo alama za misikitni nayo ina maana sana asiye anzisha kitu au jambo hajui maana hata akijua siyo kama aliyeanzisha.

Ndiyo maana, Wengi humu JF na hadi viongozi wa dini hiyo ya kiislamu wa hapa Afrika hawajui chochote.

Nimewahi Soma, comparative religious studies, utashangaa Sana hayo mambo.

Dini nyingi za kigeni zote ni uchwara na ni Pumba.fu sana.

Freemason, mfano wanapoingia kwenye jengo lao ni lazima uvue shati -uwe kufua wazi . Je unajua maana ya mtu kuingia mahala pa ibada au kikao chochote tena cha opposite sex watu /mtu huyo akiwa kifua wazi!?

Dini zote ni unafiki mtupu, ni uchwara. Sasa, hizi za kigeni ndiyo Pumba.fu sana.

Naomba nishie hapa.
ALLAH akuongoze mana umepotea na uko gizani
 
Kwanza nashkuru mpaka mtu ana appriciate majibu jua ameelewa ila anataka kuondolewa shaka zaidi katika uelewa wake.
Ili ujue uislam upo kabla ya Muhamma lazima ujue uislam ni nn?
Uislam ni dini inayomtaka mtu kumuabudu mola mmoja kwa mujibu wa mafunzo ya nabii husika. Yani manabiu wote waliopita kabla ya Muhamma d walifundisha kumuabudu Mola mmoja hivyo kila alimfata nabii wa kipindi chake huyo alikua muislam. Kipindi cha Ibrahim wale waliomkubali na kua nae katika ibada ya kumuabudu Mola mmoja hao ndio waislam na manabii wengine waliofata baada yake vivyo hivyo.
Hapa nataka na wewe unithibitishie uwepo wa ukristo kabla ya kuja yesu, au kifupi uniambie Ibrahim alikua dini gani?
Nahisi utakua unatatizo katika kuifatilia historia. Hujajua vipi Ibrahim alifika katika ardhi ya Makka. Kutokana na wivu wa mke wake wa awali uliokuja baada ya Ibrahim kupata mtoto(Ismail) na mke wake wa pili ikamlazimu amhamishe mke wake wa pili mpaka eneo la mbali ili wivu ule usiendelee. Na ndipo alimfikisha ardhibya Makkah na maelezo yake marefu yapo kwenye hadithi za Mtume sala na salam zimfikie.
Kuhusu Mariam kuitwa ukht Haarun haijawa na maana ya kwamba ni dada wa musa au harun toka nitoke. Katika uislam kuna udugu wa aina mbili wa kwanza ni wa damu na wa pili ni wa usilam. Hivyo katika udugu wa uislam Harun na Mariam ni ndugu katika Imaan. Kutokana na uchamungubwa Mariam watu wake wakampa jina hilo la dada wa Harun wakiwa na maana Harun wa Musa ambae nae pia ni Mchamungu bali ni nabii kabisa kwahyo usichange khabar bana.
Kuhusu Kaaba kujenga na Ibarahim sion haja ya kurudia maelezo.
Nacho shangaa kwako ni kusema kile ni kimondo hali hauna ushahidi wa madai hayo.
Ni kuna maswali nimeweka chini ya post ile uliopenda na kusema nimejitahidi naomba unisaidie kujibu
Kama kumwabudu Mungu mmoja ni uislam, basi huo wa wakina Ibrahim sio uislam kwa maana ya dini yako unayoabudu leo ila ni maana ya neno na siyo dini ya Islam maana uislam wa dini umeanza kwenye karne ya sita. Ni kama Wakristo wa Kiarab kutumia neno Allah kumaanisha Mungu wanamaanisha Mungu anayeabudiwa na Wakristo na siyo Mungu wa Waislam.
Pili nilikuambia kabla kuwa maandiko yanaonesha dhahiri kuwa Ishmael alifukuzwa mapema sana na hakuendelea kuishi na babake na kuthibitisha nikakuambia kuwa kaburi la Sara mkewe Ibrahim lipo eneo moja na la Ibrahim hiyo inaonesha aliendelea kuishi na mkewe Sara tofauti na maelezo yako.
Kuthibitisha zaidi hilo hata vizazi vya Ibrahim vinatajwa vinavyotokana na Isaka na siyo Ishmael,
Kingine ni kuwa Kaaba haikujengwa ni jiwe jeusi kwa hiyo kama unakataa ni kimondo at least tutakubaliana ni jiwe, swali jiwe huwa linajengwa au hutokea naturally?
Hapa napata shaka hata huyo Ibrahim mnaemzungumzia yumkini ni mtu mwingine kabisa.
 
qur'an inaeleza yakua nabii ibrahim hakua yahudi wala hakua mnaswara ma alikua ni hanifah muslimah na hakua miongoni mwa washirikina hao mayahudi na manaswarah.
Quran na Ibrahim na Uyahudi kipi kilitangulia kingine? Mbona hata kwa historia tu Ibrahim ndio baba wa Wayahudi?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
7

wapi kasema umtete
Quran 9:29 Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii

UMEONA HAPO ALLAH ANAWAAMRISHA MUMPIGANIE ETI.KWA AJILI YAKE
 
nani kakuumba wewe na family yako au ukoo wako na nani anakuletea usiku na mchana ?
Mkuu mimi sijaumbwa na allah mimi nimeumbwa kwa udongo tena na MUNGU MWENYE UWEZO WOTE JEHOVAH sio allah ambaye yeye anadai anaumba watu kwa damu Quran 96:1-2 Soma kwa jina la Mola wako Mlezi aliye umba,

2. Amemuumba binaadamu kwa tone la damu, umeona hapo allah anawaumba watu kwa tone la damu 😀 😀 😀 kweli allah msanii
 
Back
Top Bottom