Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

Yaan ukisikia watu wanaoamini pasipo kureson n hawa jamaaa!!... Nimepitia post zao nyingi hamna anaeelewa...nyota na mwezi kwenye misikiti yao inamaanisha nn ...wengine Mara ottoman empire wengine Mara mapambo.... Sasa kuna tofauti gan na wanao abudu mungu jua....misikiti karibia yote inahizo alama Leo MTU anakurupuka anasema hazimaanishi chochote kweli!!? Tena yuko seriously !!!...Mwingine anasema mapambo bas yangekua ya aina mbalimbali....

Sasa mtu wa hivi asiyeijua dini yake vizuri ,hajui anachokiabudu kama n Allah au Mungu au Nyota na mwezi....MTU wa ivi umwambie akiua anaenda pepon ataachaje kuvaa Bomu!!..kwan anaamin kwa kuambiwa hajui anaamin nn!!...
Sorry kwa waliokwazika mawazo yangu tu .....hasa nikifocus ugaidi haya ndio ninayoyaona
Nyinyi mlishajigundua Siku nyingi kuwa mnaabudu mislaba (sanmu) mmehspotea,hivyo mnatafuta sababu zionekene dini zote ni magumashi,hiyo imekula kwenu
 
Kumbe uislam umechakachuliwa namna hii. Sasa wale wanaoshupaa kila siku hapa kuwa uislam upo vile vile kama alivyouleta mtume ina maana hii story yako hawaijui au?

Na hii argument yako inamaanisha allah kashindwa kuulinda uislam wake usiongezewe alama za kituruki..hahahah
We nawee!!! Uislam upo katika quran sio majengo. Mwisho mtahoji mbona misikiti haina shape sawa na ule wa makka aloacha mtume kisha mtachukulia kuwa ndio hoja ya uchakachuaji....wasomi nyie mna kazi kweli sijui elimu mnaitia kwapani kwenye masuala kama haya
 
Nyinyi mlishajigundua Siku nyingi kuwa mnaabudu mislaba (sanmu) mmehspotea,hivyo mnatafuta sababu zionekene dini zote ni magumashi,hiyo imekula kwenu
Usishangae huyo atakuja kuuliza mbona rangi za misikiti tofauti? Au atasema mbona misikiti haina gorofa.... Ndo akili za wale wanaonda kanisani wakitolewa mapepo kwa kupigwa ngoma au padre akifanya moonwalk pepo linakimbia...utacheka ukiona wanavosanifiwa
 
Think twice. Ni alama ya kishetani. Hata Katoliki wanazo sana. Dini ya kweli ni ile isiyokuwa na alama, maana Mungu wa Moses hakuwahi kuhimiza wachonge sanamu wala kitu chochote chenye mfano wa Mungu. Hizo alama zinamuwakilisha shetani na siyo Mungu.
Stupid
 
And sorry
 
Yaan ukisikia watu wanaoamini pasipo kureson n hawa jamaaa!!... Nimepitia post zao nyingi hamna anaeelewa...nyota na mwezi kwenye misikiti yao inamaanisha nn ...wengine Mara ottoman empire wengine Mara mapambo.... Sasa kuna tofauti gan na wanao abudu mungu jua....misikiti karibia yote inahizo alama Leo MTU anakurupuka anasema hazimaanishi chochote kweli!!? Tena yuko seriously !!!...Mwingine anasema mapambo bas yangekua ya aina mbalimbali....

Sasa mtu wa hivi asiyeijua dini yake vizuri ,hajui anachokiabudu kama n Allah au Mungu au Nyota na mwezi....MTU wa ivi umwambie akiua anaenda pepon ataachaje kuvaa Bomu!!..kwan anaamin kwa kuambiwa hajui anaamin nn!!...
Sorry kwa waliokwazika mawazo yangu tu .....hasa nikifocus ugaidi haya ndio ninayoyaona
Wewe ndio utakuwa hujielewi,na utakuwa hukupitia shule,umesoma kwa kuunga unga.Yoyote aliyepitia shule,kwenye somo la geografia,katika uchoraji wa ramani kunakuwa na alama zinazowakilisha kitu fulani
1.Kuna alama za madaraja
2.Kuna alama za mito
3.Milima
4.Miinuko
5.Makanisa
6.Misikti
7.shule
8.Hospital
9.Reli
Nk
Kwa vile wewe elimu yako ni ya kuunga unga,vitu kama hivi huwezi kuvielewa.Tafuta elimu,na kuuliza sio ujinga.
 
Allah alitokea wapi?

Uislamu unajinadi kwamba Allah ndiye Mungu yuleyule aliyejishughulisha ya Wayahudi tokea nyakati za Ibrahimu katika Agano la Kale. Je, jambo hilo ni kweli?

Uislamu ulianza na Muhammad kwenye miaka 600 baada Kristo. Je, kabla yake imani za Waarabu zilikuwaje? Je, yako mambo yoyote kutoka kwenye imani hizo ambayo yaliingia kwenye Uislamu? Kwa maneno mengine, je, Uislamu hauna upagani ndani yake?

Fuatana nami kwenye makala haya marefu yanayochambua chimbuko la Uislamu ili tuweze kuona iwapo upo uhusiano wowote kati ya Uislamu na upagani uliokuwa ukitawala miongoni mwa jamii za Waarabu kabla ya kutokea kwa Muhammad?

Asili Ya Allah

Jamii za wanadamu KOTE duniani zimekuwa na kawaida ya kujiuliza ni wapi ulimwengu huu umetokea, nini maana ya maisha na wapi watu huenda baada ya kufa. Matokeo yake, kila jamii ilifikia kuamini kuwa kuna aliye na nguvu (au walio na nguvu) kuliko wanadamu wote ambao ndio wanapaswa kuabudiwa na kuombwa msaada pale matatizo yanapotokea.

Hawa wenye nguvu wakajulikana kwa majina mbalimbali kwenye jamii tofauti. Vilevile, kila jamii ilianzisha utaratibu maalum wa kuwasiliana na hawa wenye nguvu, yaani miungu.

Lakini jambo moja ni dhahiri, kwamba UKIACHA JAMII YA WAYAHUDI PEKE YAO, jamii zote za wanadamu zilizobakia duniani – iwe ni Afrika, Ulaya, Asia, n.k. - zimeanzia kwenye ibada za kipagani. Jamii hizi ziliabudu miungu mbalimbali. Na miungu hii iliwakilishwa na vitu kama vile milima, miti mikubwa, jua, mwezi, majoka makubwa, sanamu, wafalme, n.k. Kwa mfano, Warumi walikuwa na miungu kama vile artemi, jupiter, minerva, atlas, n.k. Tazama hapa. Wagiriki walikuwa na miungu kama vile chronos, dionysus, eros, ares, appolo, hermes, poseidon, n.k. Tazama hapa. Wahindi wana miungu kama vile durga, ganesha, garusha, brahma, n.k. Tazama hapa. Imani hizi za kipagani ziliweza hata kukua sana na kuenea maeneo mengi. Kwa mfano, imani ya ubudha ni imani ya kipagani lakini iliweza kuenea sehemu kubwa sana ya Asia – India, Japan, Sri Lanka, Uchina, n.k.

Kwa hiyo, jamii za Kiarabu, kama ilivyo kwa wanadamu wengine, vilevile hazikuwa tofauti. Jamii hizi nazo zilikuwa zina ibada zao za kipagani.

Waarabu walikuwa wakiabudu kile ambacho kinajulikana leo kama “star family”, au “familia ya nyota.” Tazama hapa. Inaitwa ‘familia ya nyota’ kwa sababu walichukulia miungu yao kwa tabia za kibinadamu. Mwezi ulichukuliwa kuwa ni mungu mwanamume na jua kama mke wa mwezi. Kisha hawa walizaa watoto. Kwa mfano, waliaminika kuwa walikuwa na mabinti watatu waliojulikana kwa majina ya al-lat, al-uzza na manat.

Ndiyo maana hata quran ikasema: Have you considered Al-Lat and Al- Uzzah, and another, the third (goddess) Manat? (Sura 53:19-20).

Yaani: Mmemwona Al-Lat na Al – Uzza, na mwingine, wa tatu (mungu mke) Manat?

Na hata Muhammad alikuwa akiabudu miungu hii kabla ya kuanzisha Uislamu. Tunasoma kutoka Hisham al-Kalbi, Kitab al-Asnam (Book of Idols), uk.17 kwamba:

'We have been told that the Apostle of Allah once mentioned al-Uzza saying, "I have offered a white sheep to al-'Uzza, while I was a follower of the religion of my people."

Yaani:
Tulishaambiwa kwamba Mtume wa Allah aliwahi kumtaja al-Uzza akisema, “Nilitoa kondoo mweupe kwa al-Uzza, wakati nilipokuwa nikifuata dini ya watu wangu.” Watu wake ni Waquresh.

Jina Allah linatokana na al-llah. Al ni kama neno la Kiingereza, yaani article ‘a’; na ilah ni mungu. Kwa hiyo, al-ilah maana yake ‘a god’ au tu mungu kwa Kiswahili – maana Kiswahili hakina neno linalofanana na ‘a’.

Kwa sababu lugha huenda ikibadilika, ndipo jina hili likafupishwa na akuwa ‘allah’. Ni kama unavyoona kwenye Kiswahili utasikia mtu akisema ‘mambo ndo ivo bwana.’ Kumbe ‘ndo ivo’ ni kifupi cha ‘ndiyo hivyo’. Huenda miaka hamsini au mia ijayo watu hawatajua kuwa kumbe asili ya ‘ndo ivo’ ni maneno ‘ndiyo hivyo.’

Sasa, allah alikuwa ni nani? Allah alikuwa ni mungu mwezi, ambaye tumesema mke wake alikuwa ni jua na watoto (mabinti zao) walikuwa ni al-lat, al-uzza na manat. Hawa ndio walik uwa wakichukuliwa kuwa ni miungu wakuu miongoni mwa mamia ya miungu iliyokuwa ikiabudiwa na Waarabu kabla ya Uislamu – kipindi ambacho Waislamu hukiita ‘Jahiliyah’.

Na jina hili ‘Allah’ ni jina la kiume (masculine); na ndiyo maana binti yake mmoja akaitwa ‘al-lat’, ambalo ni jina la kike (feminine). Ni kama unavyoona Francis na Fortunatus ni wanaume lakini Francisca na Fortunata ni wanawake – japo majina haya asili yake ni ileile. Ndivyo ilivyo kwa Allah na al- Lat. Yote ni jina lilelile, tofauti tu kwamba moja ni la kiume na jingine la kike.

Mojawapo ya jamii iliyokuwa ikimwabudu sana Allah ilikuwa ni jamii ya Waquresh, ambayo ndiyo jamii alikotokea Muhammad.

Watu wasioelewa wanadhani kuwa Allah alijulikana baada ya Muhammad kutokea. Na wengine nao watasema kuwa Allah alijulikana tangu wakati wa Ibrahimu kama anavyojulikana leo. Kama hilo lingekuwa ni kweli, inabidi wajiulize ilikuwaje Allah wa Ibrahimu akapotea hadi ikawa kwamba kuna Allah wa kipagani?

Mathalani, inafahamika wazi kwamba baba yake Muhammad hakuwa mwislamu bali alikuwa mpagani.

Sitashaangaa endapo baadhi ya Waislamu watasema kuwa baba wa Muhammad alikuwa mwislamu. Hata hivyo, huyu mtu alikufa kabla hata ya Muhammad kuzaliwa. Na je, Muhammad mwenyewe anasema nini kuhusiana na baba yake?

Tunasoma hivi:

Anas reported: Verily, a person said: Messenger of Allah, where is my father? He said: (He) is in the Fire. When he turned away, he (the Holy Prophet) called him and said:Verily my father and your father are in the Fire. (Sahih Muslim, Book 001, Number 0398).

Yaani:
Imeripotiwa na Anas: Hakika, mtu mmoja alisema: Mjumbe wa Allah, baba yangu yuko wapi? Akasema: Yuko motoni. Alipogeka kuondoka, (Mtume mtakatifu) akamwita na kusema: Hakika baba yangu na baba yako wako Motoni.

Na swali ambalo tungependa wajiulize ni kuwa, kwa nini baba yake Muhammad, ambaye alikuwa mpagani aliitwa ‘Abdullah’?

Na kwa kuwa ‘Abdullah’ maana yake ni ‘mtumwa wa Allah’, hii ni ishara ya wazi kwamba wapagani wa kipindi cha jahiliyah walikuwa wakimwabudu Allah hadi kufikia kuwapa watoto wao majina kwa heshima ya Allah – kama ambavyo Wayahudi nao walikuwa wakiwapa watoto wao majina kwa heshima ya Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo.

Kwa mfano:
Yoshua – Yahwe ni wokovu;
Yothamu – Yahwe ni mkamilifu;
Yehoahazi – Yahwe ameshikilia;
Hezekia – Yahwe ametia nguvu;
Elisha – Mungu ni wokovu, n.k.

Jibu liko wazi. Allah alikuwa ni mungu wa kipagani aliyeabudiwa kabla ya Uislamu kuja. Na mungu huyu alikuwa ni ‘mungu mwezi’, yaani ‘al-ilah’. Jina lake jingine aliitwa ‘hubal.’ Mungu huyu wa kipagani aliabudiwa kote mashariki ya kati; wala si kwa Waarabu peke yake.

Hili ni jambo ambalo limeshathibitishwa tena na tena na wanaakiolojia – ambao hufukua masalia ya vitu vya kale – hawa wameshafukua vitu vingi sana ambavyo vinaonyesha jinsi kuabudu mwezi na jua na nyota kulivyokuwa kumeshamiri sana katika eneo la mashariki ya kati.

Na ndiyo maana baba yake Muhammad, yaani Abdullah, alikoswakoswa kuchinjwa na babu wa Muhammad, yaani Abdul Muttalib. Abdul Muttalib alitaka kumchinja mwanawe huyo kama sadaka kwa Allah. Lakini mjomba wake Abdullah akamwokoa na hatimaye walichinjwa ngamia 100 badala yake. Na ifahamike kwamba machinjo hayo yalifanyikia kwenye kaaba (hili tutaliangalia huko mbeleni).

Tunaambiwa kwamba:
An arrow showed that it was 'Abdullah to be sacrificed. 'Abdul-Muttalib then took the boy to Al-Ka'bah with a razor to slaughter the boy. Quraish, his uncles from Makhzum tribe and his brother Abu Talib, however, tried to dissuade him. They suggested that he summon a she-diviner. She ordered that the divination arrows should be drawn with respect to 'Abdullah as well as ten camels. … the number of the camels (finally) amounted to one hundred. (Ibn Hisham 1/151-155; Rahmat-ul-lil'alameen 2/89, 90).

Maana yake:

Mshale ulionyesha kwamba Abdullah ndiye aliyetakiwa kutolewa kafara. Kwa hiyo, Abdul Muttalib alimchukua yule kijana hadi kwenye Al-Kaaba pamoja na wembe kwa ajili ya kumchinja. Qura aish, mjomba wake kutoka kabila la Makhzum na kaka yake Abu Talib, hata hivyo, walijaribu kugeuza mawazo yake. Walipendekeza kwamba amwite mwaguzi wa kike. Huyo aliagiza mishale ya uaguzi ichorwe baina ya Abdullah na ngamia kumi … hatimaye idadi ya ngamia ikafikia mia moja.

Ndiyo maana Mungu wa Biblia alikuwa akiwaonya sana wana wa Israeli juu ya tabia za kipagani za jamii zilizowazunguka kuhusiana na masuala ya kuabudu familia ya nyota au jeshi la mbinguni. Kwa mfano, anasema:

….. tena usije ukainua macho yako hata mbinguni, na ulionapo jua, na mwezi, na nyota, jeshi la mbinguni lote pia, ukashawishiwa na kuviabudu, na kuvitumikia, ambavyo Bwana, Mungu wako amewagawanyia watu wote chini ya mbingu zote. (Kumbukumbu la Torati 4:19).

Ikiwa ameonekana katikati yako, ndani ya malango yako mojawapo, upewayo na Bwana, Mungu wako, mtu mume au mke afanyaye yaliyo maovu machoni pa Bwana, Mungu wako, kwa kuvunja maagano yake,….. naye amekwenda kutumikia miungu mingine na kuiabudu, au jua, au mwezi, au vilivyo katika jeshi la mbinguni vyo vyote, nisivyoagiza mimi (Kumbukumbu la Torati 17:2-3).

Kwa maana akapajenga tena mahali pa juu alipopaharibu Hezekia baba yake; akamjengea Baali madhabahu, akafanya Ashera kama alivyofanya Ahabu mfalme wa Israeli. Akajiinama mbele ya jeshi lote la mbinguni na kulitumikia. (2 Wafalme 21:3).

Akajenga madhabahu kwa ajili ya jeshi lote la mbinguni katika behewa mbili za nyumba ya Bwana. (2 Wafalme 21:5).

Akawaondosha wale makuhuni walioabudu sanamu, ambao wafalme wa Yuda waliwaweka ili kufukiza uvumba katika mahali pa juu, ndani ya miji ya Yuda, na katika kila mahali, pande zote za Yerusalemu; na hao pia waliomfukizia uvumba Baali, na jua, na mwezi, na sayari, na jeshi lote la mbinguni. (2 Wafalme 23:5).

… nao wataitawanya mbele ya jua, na mwezi, na jeshi lote la mbinguni, walivyovipenda, na kuvitumikia, na kuandamana navyo, na kuvitafuta, na kuviabudu haitakusanywa pamoja tena, wala kuzikwa; itakuwa ni samadi juu ya uso wa nchi. (Yeremia 8:2).

…. na nyumba za Yerusalemu, na nyumba za wafalme wa Yuda, zilizotiwa unajisi, zitakuwa kama mahali pa Tofethi; naam, nyumba zote ambazo juu ya dari zake wamelifukizia uvumba jeshi lote la mbinguni, na kuwamiminia miungu mingine sadaka za kunywewa. (Yeremia 19:13).

…. na wale walisujudiao jeshi la mbinguni juu ya dari za nyumba; na hao waabuduo, waapao kwa Bwana na kuapa pia kwa Malkamu (Zefania 1:5).

...............................................
Katika mwaka 570 BK, mwaka uleule ambao Muhammad alizaliwa, alikuwapo mtawala mmoja wa dola ya Aksum ya Ethiopia ambaye alikaa Yemen. Huyu aliitwa Abrahah al- Ashram. Inaelezwa kwamba alikuwa na wivu na mji wa Makka kwa jinsi ambavyo watu wengi walikuwa wakienda kuhiji (yaani hija ya kipagani), hivyo na yeye naye akajenga kanisa kubwa kule Sanaa, Yemen akitarajia kuvuta watu wengi, jambo ambalo halikutokea.

Matokeo yake, aliamua kwenda kuvamia Makka kwa lengo la kuiharibu kaaba. Alisafiri na watu wake wengi juu ya kundi kubwa la tembo - ndiyo maana hata mwaka ule ukajulikana kama mwaka wa tembo.

Koo za Kiquresh ziliungana ili kujaribu kuikoa kaaba. Abdul Mutaleb (babu yake Muhammad) aliwaambia watu wakimbilie kujificha milimani wakati yeye na baadhi ya watu walibakia karibu na kaaba.

Lakini kwa sababu ya ukubwa na nguvu ya jeshi la yule Abrahah, Abdul Mutaleb alisema:

"The Owner of this House is its Defender, and I am sure He will save it from the attack of the adversaries and will not dishonor the servants of His House."

Yaani:
Mmiliki wa nyumba hii ndiye atakayekuwa Mlinzi wake, na nina uhakika ataiponya dhidi ya kushambuliwa na maadui na hawatawafedhehesha watumishi wa nyumba yake."

Mapokeo yanasema kwamba wakati Abrahah anasonga mbele kuiendea kaaba, lilitokea kundi kubwa la ndege ambao walianza kumdondoshea mawe kama mvua hadi wakamjeruhi. Hivyo, azma yake ya kuiharibu kaaba haikufanikiwa, badala yake akarudi kwake akiwa ameumizwa.

Sasa, swali ni kuwa, kama wakati ule Muhammad alikuwa bado kichanga, na hivyo Uislamu ulikuwa haujaanza; na pale kwenye kaaba inajulikana kwamba kulikuwa na mamia ya miungu ya kipagani; je, Mmiliki wa Nyumba anayetajwa na Abdul Mutaleb ni nani?

Ni wazi kwamba huyu ni mungu wa kipagani, yaani allah aliyekuwa akiabudiwa na kutumikiwa na Abdul Mutaleb, yaani mungu mwezi.

Na swali kubwa zaidi ni kuwa, Quran inasema katika sura Al-Fil (au Tembo) 105:1-5:

"Have you not seen how your Lord dealt with the owners of the Elephant? Did He not make their treacherous plan go astray? And He sent against them birds in flocks, striking them with stones of baked clay, so He rendered them like straw eaten up."

Yaani:

Kwani hukuona jinsi Mola wako Mlezi alivyo watenda wale wenye tembo? Kwani hakujaalia vitimbi vyao kuharibika? Na akawapelekea ndege makundi kwa makundi, Wakiwatupia mawe ya udongo wa Motoni, Akawafanya kama majani yaliyo liwa!

Swali ni kuwa:
Mambo haya yalitokea wakati Uislamu haupo, bali ulikuwa ni wakati wa upagani. Mtumishi wa mungu wa kipagani Abdul Mutaleb alisema kwamba Mmiliki wa Nyumba ile (kaaba) angeitetea.

Je, Mmiliki wa nyumba aliyetajwa na Abdul Mutaleb alikuwa yupi na Mola wako anayetajwa na Quran kwenye sura hii ni yupi? Au tuseme kulikuwa na miungu miwili iliyoshirikiana kumpiga mawe Abrahah na tembo wake?

Abdul Mutaleb hakumjua Allah wa Muhammad, kwa hiyo kwa namna yoyote ile hangeweza kumtaja huyo (kama kweli Allah wa Muhammad ni tofauti na wa Abdul Mutaleb).

Mazingira yote yanaonyesha kwamba mungu mwezi, aliyeabudiwa na Abdul Mutaleb ndiye aliyeilinda kaaba dhidi ya tembo wa Abrahah. Kwa hiyo, aya hii ya Quran haina uwezo wa kujinadi kwamba inamtaja mungu tofauti na huyo!!

Hitimisho

Kama wewe ni Mwislamu, je, haujiulizi inakuwaje kwamba mwezi ndio wenye usemi juu ya mambo mengi ya muhimu kwenu Waislamu?

Kwa nini ni lazima mwezi uonekane ndipo mfungo uanze?
Kwa nini ni lazima mwezi uonekane ndipo mfungo uishe?
Kwa nini alama kuu juu ya kila msikiti ni nusu mwezi na nyota? Ni nini asili ya vitu hivyo?
Shida ni kuwalazimisha Waislamu kuwa wanaamini kitu Fulani wakati hakipo kwenye imani yao! shida nini nini? Dini ni imani ya MTU hawezi kuikataa anachoabudu,sasa yeye anakueleza hivyo vitu sio Mungu tunayemuabudu! wewe unalazimisha, basi wewe ndiwe Shetani,maana unalazimisha,lazima anaabudiwa Mungu Mwezi
 
Think twice. Ni alama ya kishetani. Hata Katoliki wanazo sana. Dini ya kweli ni ile isiyokuwa na alama, maana Mungu wa Moses hakuwahi kuhimiza wachonge sanamu wala kitu chochote chenye mfano wa Mungu. Hizo alama zinamuwakilisha shetani na siyo Mungu.
then what???
so?
proceed
 
Lakini uliposema kuwa Mfalme wa Yemen alijenga kanisa, sio kweli Bali alijenga jengo lenye mfano wa Kaaba,ili wale wafanya biashra kutoka maeneo mbalimbli waliokuwa wanakuja Makka wahamie Yemen,yeye alifikiri ile Kaaba ndio iliifanya Makka iwe kituo kikubwa cha Biashara ukanda ule.Lakini ulikiri kuwa wakati Mfalme wa Yemen anakuja na jeshi la Tembo kuja kuvunja Kaaba ya Makka,babu yeke Mohammad alisema kuwa mwenye kumililiki nyumba hii ndie atakae ilinda na jeshi la tembo,akimaanisha Mungu' Allah'(ni Mungu huyo huyo hii ni tafsri ya kiarabu maana ya neno Mungu),sasa jiulize Jeshi la tembo kilicho wakuta.Hivi Mungu Mwezi na nyota wanaweza kufanya yaliyowapata jeshi la tembo?kama sio Mungu muumba mbingu na Ardhi! Nafikiri umeenda shule utakuwa muelewa kidogo.Kupinga imani usiyoipenda sio lazima kujitoa ufahamu,ukweli wacha ubaki ukweli tuu,hatakama wewe huupendi.
 
Kutokuamini Mungu mmoja haimanishi wewe si wa Mwenyezi Mungu,Mungu hana chuki kama binadamu,Hivyo haimaanishi watu wote waliokuwepo Makka kabla ya Mohammad kupewa utume wote walikua wnaabudu Upagani(masanamu),wapo watu walisubiri ili wamjue Mungu wa kweli
 
Wewe utakuwa huelewi ukristo,pasaka imetokana na sikukuu ya kiyahud,ya kuwachiwa kutika utumwani Misri.Wayahudi pia wanasherehekea pasaka(passover)yaani kupita katika matatizo.Wayahudi wanahesabu mzunguko wa mwezi mpaka siku ya 14,siku ya 15 ndio pasaka.Na wakristo wanasheherekea tarehe hizo hizo za pasaka kwa kusubiri mwezi wa mzunguko wa siku ya 14,ya 15 ni pasaka.Wakristo wanashereka kW kusulubiwa na kutundikw msalabani,wanayemiamini,Yesu.Japo kunatumbika njia za kitabiri kikalenda,lakini miaka yote pasaka haiangukii katika tarehe zinazofanana.Hapo ndio ujuwe kunatumika mzunguko wa fullmoon.
Bado unaendelea kusema uongo. Anyway ndo kazi ya shetani na wanae.
 
Kumbe uislam umechakachuliwa namna hii. Sasa wale wanaoshupaa kila siku hapa kuwa uislam upo vile vile kama alivyouleta mtume ina maana hii story yako hawaijui au?

Na hii argument yako inamaanisha allah kashindwa kuulinda uislam wake usiongezewe alama za kituruki..hahahah

Mkuu umeuliza swali zuri
 
Hitimisho

Kama wewe ni Mwislamu, je, haujiulizi inakuwaje kwamba mwezi ndio wenye usemi juu ya mambo mengi ya muhimu kwenu Waislamu?

Kwa nini ni lazima mwezi uonekane ndipo mfungo uanze?
Kwa nini ni lazima mwezi uonekane ndipo mfungo uishe?
Kwa nini alama kuu juu ya kila msikiti ni nusu mwezi na nyota? Ni nini asili ya vitu hivyo?

Imebidi nifikirie sana
 
Ifahamike kwamba ipo kalenda ya kiisalam kidesturi ndio ambayo wanaifuata mpka kutimia kwa mwaka lkn kalenda hy hukamilisha mwezi moja kwenda mwezi mwengne mpaka pale mwezi mmoja utakapoindama na utagundua kwamba ifikapo mwezi wa ramadhan huanza kufunga kuanzia cku mwezi utapoindama na kufungua kwa ajili ya siku kuu mwezi utakapoindama, kwahy wameweka hy kama kielezo cha kalenda yao ambayo wanaitumia
Kwanini wanaangalia Mwezi wakati wakifunga.?

Je hawana njia nyingine?

Kuna uhusiano gani hapo Uislamu na mwezi?
 
Lakini uliposema kuwa Mfalme wa Yemen alijenga kanisa, sio kweli Bali alijenga jengo lenye mfano wa Kaaba,ili wale wafanya biashra kutoka maeneo mbalimbli waliokuwa wanakuja Makka wahamie Yemen,yeye alifikiri ile Kaaba ndio iliifanya Makka iwe kituo kikubwa cha Biashara ukanda ule.Lakini ulikiri kuwa wakati Mfalme wa Yemen anakuja na jeshi la Tembo kuja kuvunja Kaaba ya Makka,babu yeke Mohammad alisema kuwa mwenye kumililiki nyumba hii ndie atakae ilinda na jeshi la tembo,akimaanisha Mungu' Allah'(ni Mungu huyo huyo hii ni tafsri ya kiarabu maana ya neno Mungu),sasa jiulize Jeshi la tembo kilicho wakuta.Hivi Mungu Mwezi na nyota wanaweza kufanya yaliyowapata jeshi la tembo?kama sio Mungu muumba mbingu na Ardhi! Nafikiri umeenda shule utakuwa muelewa kidogo.Kupinga imani usiyoipenda sio lazima kujitoa ufahamu,ukweli wacha ubaki ukweli tuu,hatakama wewe huupendi.
Kusema kuwa Mungu muumba Mbingu na ardhi ndo aliilinda Kaaba wakati huo huyo babu yake Mohamed alikuwa mpagani ambaye alitaka kumtoa kafara mwanae kwenye hiyo Kaaba unaamanisha Allah alikuwa anaabudiwa na wapagani
 
4103820712_cb6440ff56.jpg
mosque-architecture-oriental-half-moon-crescent-sun-mood-dusk-twilight-BWK9PX.jpg
Wapagani WA Makkah walikuwa na vitu Saba ambavyo vilikuwa ni vitakatifu zaidi ya vingine
Mwezi,Jua pamoja na sayari tano walizokywa wanaziona kwa macho Hivyo Sayari Tano Jua na Mwezi vikafanywa kuwa ni Mungu waku huku Mwezi ukiwa ndiyo Mkuu WA wakuu. Mungu WA miungu alikuwa ni Mwezi.
Nyota Inahusishwa kwa kuwa wakati Mkuu WA miungu Mwezi akitamalaki angani nazo hung'ara kwa kumsifu.
Ndiyo sababu hata Wapagani WA kisasa Waislam wakienda kwenye ibada ya Hija ambayo waliinukuu kwa Wapagani watangulizi wao wanalo ziezi la kuzunguka Alkaaba Mara Saba kuonyesha heshima kwa miungu yao Saba.
Uislam ni upagani ulioboreshwa
 
Back
Top Bottom