Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

Kama kumwabudu Mungu mmoja ni uislam, basi huo wa wakina Ibrahim sio uislam kwa maana ya dini yako unayoabudu leo ila ni maana ya neno na siyo dini ya Islam maana uislam wa dini umeanza kwenye karne ya sita. Ni kama Wakristo wa Kiarab kutumia neno Allah kumaanisha Mungu wanamaanisha Mungu anayeabudiwa na Wakristo na siyo Mungu wa Waislam.
Pili nilikuambia kabla kuwa maandiko yanaonesha dhahiri kuwa Ishmael alifukuzwa mapema sana na hakuendelea kuishi na babake na kuthibitisha nikakuambia kuwa kaburi la Sara mkewe Ibrahim lipo eneo moja na la Ibrahim hiyo inaonesha aliendelea kuishi na mkewe Sara tofauti na maelezo yako.
Kuthibitisha zaidi hilo hata vizazi vya Ibrahim vinatajwa vinavyotokana na Isaka na siyo Ishmael,
Kingine ni kuwa Kaaba haikujengwa ni jiwe jeusi kwa hiyo kama unakataa ni kimondo at least tutakubaliana ni jiwe, swali jiwe huwa linajengwa au hutokea naturally?
Hapa napata shaka hata huyo Ibrahim mnaemzungumzia yumkini ni mtu mwingine kabisa.
ibrahim huyu ni nabii wa ALLAH ambaye alioteshwa kumchinja mwanaye ismail
 
mnabisha hata ukweli nyie mnabisha yani mnashidwa kutumia akili hii dunia umezuka tu bila kua na mwenyewe ? ALLAH NDIE MWENYE DUNIA NA KILA UNACHOKIONA NA USICHOKIONA
SURAT ASH-SHAMS 1-3
1. Naapa kwa usiku ufunikapo, 2 kwa mchana uingiapo, 3. na kwa aliye umba kiume na kike..

Hivi mtu anaye apa kwa mwengine anakuwa Mungu au binadamu? Je, nani kaumba hapo. Maana Allah anaapa katika aliye umba, na kuumba ni sifa ya Mungu. Kumbe Allah ambaye sie Yehova hakuumba.

Zaidi ya hapo, Allah anaapa kwa usiku. Kumbe usiku una mamlaka zaidi ya Allah. Allah anaapa kwa mchana, kumbe mchana una mamlaka zaidi ya Allah.

Mbona katika SURAT ASH-SHAMS Allah anaapa kwa (1) Usiku (2) Mchana (3) kwa aliye umba kiume na kike?

Je, ni nani huyu aliye umba Kiume na Kike ambaye Allah wa Islam anaapa kwake? Endelea kusoma...kutoka Biblia Takatifu….

Yeremia 27: 5 Mimi nimeiumba dunia hii, wanadamu na wanyama walio juu ya uso wa nchi, kwa uweza wangu mkuu, na kwa mkono wangu ulionyoshwa; nami nawapa watu kama inipendezavyo.

Sasa tunamsoma Yehovah ambaye ni Mungu wa Biblia kuwa yeye ndie aliye umba kila kitu, pamoja na Kiume na Kike ambacho Allah wa Islam anaapa kwake. Kwahiyo, Jehovah aliumba kiume na kike, na Allah wa Islam anaapa kwake, sasa jaza mwenyewe nani ni Mungu?

Je, Mungu anaweza kuapa kwa Mwengine? Endelea kupata elimu …

Waebrania 6:13 Mungu alipompa Abrahamu ahadi, aliapa kwa jina lake mwenyewe, maana hakuna aliye mkuu kuliko Mungu ambaye kwa huyo angeweza kuapa.

Jehova anasema hakuna Mkubwa wangu wa kuapa kwake, lakini Allah katika Kuran anasema kuwa yeye anaapa kwa aliye umba kiume na kike.
 
Quran na Ibrahim na Uyahudi kipi kilitangulia kingine? Mbona hata kwa historia tu Ibrahim ndio baba wa Wayahudi?
sio baba yao ibrahim watoto wake ni ismail na ishaq tu qur,an ilikuepo mbinguni ALLAH kaihifadhi katika kitu kinaitwa lauhu mahfudh ilkua inasubiri muda wa kushuka tu .
 
ibrahim huyu ni nabii wa ALLAH ambaye alioteshwa kumchinja mwanaye ismail
kwa hyo aliyetaka kuchinjwa ni Ishmael sio Isaka 😀 😀 😀 mkuu hebu kazia na maji kidogo naona leo njaa imekuwahi mapema japo umetoka kula saa 11 asubuhi
 
SURAT ASH-SHAMS 1-3
1. Naapa kwa usiku ufunikapo, 2 kwa mchana uingiapo, 3. na kwa aliye umba kiume na kike..

Hivi mtu anaye apa kwa mwengine anakuwa Mungu au binadamu? Je, nani kaumba hapo. Maana Allah anaapa katika aliye umba, na kuumba ni sifa ya Mungu. Kumbe Allah ambaye sie Yehova hakuumba.

Zaidi ya hapo, Allah anaapa kwa usiku. Kumbe usiku una mamlaka zaidi ya Allah. Allah anaapa kwa mchana, kumbe mchana una mamlaka zaidi ya Allah.

Mbona katika SURAT ASH-SHAMS Allah anaapa kwa (1) Usiku (2) Mchana (3) kwa aliye umba kiume na kike?

Je, ni nani huyu aliye umba Kiume na Kike ambaye Allah wa Islam anaapa kwake? Endelea kusoma...kutoka Biblia Takatifu….

Yeremia 27: 5 Mimi nimeiumba dunia hii, wanadamu na wanyama walio juu ya uso wa nchi, kwa uweza wangu mkuu, na kwa mkono wangu ulionyoshwa; nami nawapa watu kama inipendezavyo.

Sasa tunamsoma Yehovah ambaye ni Mungu wa Biblia kuwa yeye ndie aliye umba kila kitu, pamoja na Kiume na Kike ambacho Allah wa Islam anaapa kwake. Kwahiyo, Jehovah aliumba kiume na kike, na Allah wa Islam anaapa kwake, sasa jaza mwenyewe nani ni Mungu?

Je, Mungu anaweza kuapa kwa Mwengine? Endelea kupata elimu …

Waebrania 6:13 Mungu alipompa Abrahamu ahadi, aliapa kwa jina lake mwenyewe, maana hakuna aliye mkuu kuliko Mungu ambaye kwa huyo angeweza kuapa.

Jehova anasema hakuna Mkubwa wangu wa kuapa kwake, lakini Allah katika Kuran anasema kuwa yeye anaapa kwa aliye umba kiume na kike.
ALLAH yeye anaweza kukiapia chochote katika kiumbe chake kwa sababu yeye ndie mmiliki na hapagwi na yoyote.
 
kwa hyo aliyetaka kuchinjwa ni Ishmael sio Isaka 😀 😀 😀 mkuu hebu kazia na maji kidogo naona leo njaa imekuwahi mapema japo umetoka kula saa 11 asubuhi
ismail ndie alitaka kuchijwa
 
Mkuu mimi sijaumbwa na allah mimi nimeumbwa kwa udongo tena na MUNGU MWENYE UWEZO WOTE JEHOVAH sio allah ambaye yeye anadai anaumba watu kwa damu Quran 96:1-2 Soma kwa jina la Mola wako Mlezi aliye umba,

2. Amemuumba binaadamu kwa tone la damu, umeona hapo allah anawaumba watu kwa tone la damu 😀 😀 😀 kweli allah msanii
hata ukipinga huwezi badilisha chochote sababu ALLAH atabaki kua yeye ndie khaliq muumbaji
 
Allah ni mungu wa kipagani wa waarab kabla hata ya Mohamed. Utasemaje mungu wa kipagani kakuumba?Tafuta historia ujue Allah ni nani na hata kuzunguka kaaba ilikuwa ibada ya kipagani.
kupinga wewe si wa kwanza pia ukitaka kujua uislam ndio dini ya kweli angalia ulaya na america watu wanavyoingia katika uislam
 
Quran 9:29 Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii

UMEONA HAPO ALLAH ANAWAAMRISHA MUMPIGANIE ETI.KWA AJILI YAKE
kwanini wewe unafanya kazi au unasoma , kwanini usikae utapata rizki ?
 
Kila kitu kimeumbwa na mwenyezi Mungu.nyota na mwezi ni alama ya uhai na mwangaza wa Mungu
 
ALLAH yeye anaweza kukiapia chochote katika kiumbe chake kwa sababu yeye ndie mmiliki na hapagwi na yoyote.
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 naona ushaanza kuumbuka kwa hiyo anaweza apa hata kwa mbo 😀 😀 😀 kweli allah ni pepo
 
ALLAH akuongoze mana umepotea na uko gizani

Acha upoyoyo na porojo.

Unafikili nina umri gani, nina hela kiasi gani , na kazi ninayofanya, nchi nilizotembea !?
Lugha za kimataifa ninazotumia Kwa ufasaha ni zaidi ya 5 ukiondoa Kiswahili na lugha Mama. Kwa hiyo Mimi siyo kuwa niko gizani bali naelewa vizuri sana upoyoyo na porojo rukuki na uchwara wa dini zote uzijuazo na usizozijua ambazo Mimi nazifahamu.

Nakuzidi wewe kilaza na Wajinga Wenzako wanaojitoa mhanga kila siku.
Halafu wewe unaniambia Mimi kuwa niko gizani na kupotea!?

Nimekwambia, dini zote ni unafiki mtupu na uchwara na Pumba.fu sana.

I was born free, I'm free and I must live free from any obstacles such as religions including; christian, islam, Judaism, budha, hindu, freemason, or local religions or any secret society (s) you many know or not.

I am not a member and I will never ever be a member of any of the above crazy religions yours included.

My parents and my country taught me values, norms and respect, hard work and respect for others without any alignments to any created things including your crazy religions.
 
Back
Top Bottom