ntagunga
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 704
- 286
Post namba 28 imejibu vizuri swali lako, iambatanishe hapo kwenye post yako juu
Shida yenu mmekaririshwa na huwa hamtafakari au kutafuta ukweli.Hujajibu hoja bali unahororoja tu. Nakupa andiko jingine:
Katika ufafanuzi wa aya ya 19-20, katika Suratul Yusuf 12:20 kuna maneno haya-:
Unaona kuuzana kulikuwako zaidi ya miaka 4000 kabla ya kuja dini ya Kiislamu aliyokuja nayo nabii Muhammad. Kisha wakausingizia Uislamu kuwa ndio uliokuja na kuuza watu.
Kanusha kama haijaandikwa hivyo. Na kwa kadiri ya aya hizi zote tunaona ya kuwa dini ya kiislamu ilianzishwa rasmi Ramadhan siku ya Jumatatu mwezi 17 sawasawa na Tarehe 27 December mwaka 610 Baada ya Kristo (B.K), na mtu aitwaye Muhammad Bin Abdalah Bin Abd-Muttalib Bin Hashim Bin Abd Manafu Bin Kusay. Mama yake aliitwa Amina Bint Wahab.
Ukiendelea kubisha nitakuja na maandiko mengine...
Hakuna kisicho maana mkuuUsiongee usiyoyajua. Hiyo alama ilikuwa adopted wakati wa Ottoman Empire na haihusiani chochote na uislam. Uislam ni kuabudu Mungu mmoja pekee aliyeumba mbingu na ardhi hana watoto, wajomba wala wajukuu, hajazaa wala kuzaliwa.
Imekuwa common place watu kuiga hii design mpaka sasa waliowengi (hata baadhi ya waislam wenyewe) wanadhani na sign ya uislam iliopo toka kipindi cha Mtume Muhammad (Rehma na Amani zimshukie juu yake) lakini hapana. Katafute kitabu chochote cha hadith (statement ya Mtume S.A.W) unitafutie hata invented hadith inayosema nyota na mwezi na alama ya uislam halafu niletee.
Ndio maana mpaka leo bendera ya uturuki ina the same symbol ya nyote na mwezi from the Ottomans, wengi wanadhani waturuki wamecopy from Islam but its actually vice versa and many scholars don't recommend hata iwepo maana kuna watu watafikiri kama unavyofikiri wewe
I hope umeelewa
Mi nakajua hukurudi tena. Kumbe ulirudi na kufumbia macho ulichoulizwa.allah ndio kitu gani
Nijuavyo imani ya uislamu isivyopenda mzaa kwenye mambo inayo yaamini sikutegemea majibu mepesi kama ninayoyasoma humu..
Kuntu ... Kwanini basi watu wenye kujua kama wewe wapo na bado misikiti inajengwa na alama hiyo juu yake kama ni nothing kwa nini isijengwe kama nyumba ya kakwaida tu.Hizo alama first of all hazimo ndani ya msikiti ,pili baadhi tu wameweka nje ,pia hazipo kwenye sunna au Quran ,..point wanaotoa ni utambulisho kuwa sehem Fulani kuna msikiti mfano nikienda sao Paolo kwenye matembezi yng ya kuutafuta msikiti nikiona kiashirio hicho bas ntajua sehem fulan kuna msikiti ,
Tatu ni haraam kwenye nyumba yeyote kubandikwa picha au sanamu lolote mafundisho yanasema hvy kama unasema mafundishi ya mussa yanapinga masansmu basi uislamu&mussa wamefungana kimafundisho sabb according to Islam nyumba yenye sanamu au picha malaika haingii
mbona huulizi hiko kituMi nakajua hukurudi tena. Kumbe ulirudi na kufumbia macho ulichoulizwa.
We nawee!!! Uislam upo katika quran sio majengo. Mwisho mtahoji mbona misikiti haina shape sawa na ule wa makka aloacha mtume kisha mtachukulia kuwa ndio hoja ya uchakachuaji....wasomi nyie mna kazi kweli sijui elimu mnaitia kwapani kwenye masuala kama haya
Navyojua arama ya nyota ndy hatari sana lakini mwez mmhhh cjui
Ahsante kwa jibu jema lisilohusisha mihemko.Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Kwa hakika alama na ishara hizo hazina umuhimu wala maana yoyote katika kuwekwa katika Misikiti au sehemu nyingine zozote. Kwani wakati wa Mtume (Swalla-Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Maswahaba zake (Radhiya-Allaahu 'anhum) alama
kama hizo zilikuwa hazipo.
Baada ya hapo huenda Waislamu wakaamua kuwa wawe na ishara kama vile Mayahudi
na Manaswara, kwani Mayahudi wana ile ishara ya nyota ya Daudi ambayo ina pembe sita na Manaswara wana ishara ya kuwa na msalaba. Kwa kuwa sisi huwa tarehe zetu za siku na miezi yetu hufuata mwezi, basi baadhi ya Waislam wakaona kuwa waweke hiyo alama ya mwezi kama nembo, lakini kiuhakika haina maana yoyote ya kisheria.
Na Allah Anajua zaidi.
Kutoka 25:1-40 sanamu ya njiwa juu ya sanduku la aganoThink twice. Ni alama ya kishetani. Hata Katoliki wanazo sana. Dini ya kweli ni ile isiyokuwa na alama, maana Mungu wa Moses hakuwahi kuhimiza wachonge sanamu wala kitu chochote chenye mfano wa Mungu. Hizo alama zinamuwakilisha shetani na siyo Mungu.
Kama ndivyo, Islam ni dini ya mashetani/majini .Na kwa kuwa majini yanauwezo wa kujigeuza maumbile huoni ndiyo yalomtokea Mohamed pangoni na kumtisha?uislam ulikuepo kabla ya adam hajaumbwa sababu majini ndio walikua waishi ardhi hii
Vipi kuhusu kile kimondo/kaaba ambacho huwa mnakibusu kule Saudi tena mnapoteza mamilioni ya pesa kukifata? Yaan huwa sizielewi akili za baadhi ya watu. Yaan nachoka zaidi kuwa nyie shetani mnajua aliko mnaenda kumfuata mnambusu then mnarusha mawe hadi wengine wanafia huko. Akili za kuambiwa si mchanganye na zenu?Watu hawa wanastaaajabisha.
Kinyago kilichochongwa na ndugu zangu wamakonde kinapigiwa magoti na kubusiwa.
Nakumbuka walikua wakipita mitaa yetu naadhi ya masiku na kinyago kama hicho kisha wakikielekeza kila pembe ya nyumba na sehem zengine kwa imani kinatoa madhara katka nyumba.
Hizi imani zengine hizi!!!
Lile ni jiwe jeusi,hapo ndio inapoonyesha uislamu,ni dini isiyo na ubaguzi wa rangi,hata rangi nyeusi,inathaminiwa.Sio hiyo dini yenu,mnapokuwa na msiba mnavaa nguo nyeusi,kuonyesha rangi nyeusi ni msiba.Na pia kumfananisha shetani na rangi nyeusi.Vipi kuhusu kile kimondo/kaaba ambacho huwa mnakibusu kule Saudi tena mnapoteza mamilioni ya pesa kukifata? Yaan huwa sizielewi akili za baadhi ya watu. Yaan nachoka zaidi kuwa nyie shetani mnajua aliko mnaenda kumfuata mnambusu then mnarusha mawe hadi wengine wanafia huko. Akili za kuambiwa si mchanganye na zenu?
Wenyewe wanadai wanakwenda kumpiga shetani mawe... Sijui hajafa tu hadi leo!...Vipi kuhusu kile kimondo/kaaba ambacho huwa mnakibusu kule Saudi tena mnapoteza mamilioni ya pesa kukifata? Yaan huwa sizielewi akili za baadhi ya watu. Yaan nachoka zaidi kuwa nyie shetani mnajua aliko mnaenda kumfuata mnambusu then mnarusha mawe hadi wengine wanafia huko. Akili za kuambiwa si mchanganye na zenu?
Kwanini jiwe jeusi lifananishwe na shetani kisha lipigwe mawe? Funguka akili wewe...Lile ni jiwe jeusi,hapo ndio inapoonyesha uislamu,ni dini isiyo na ubaguzi wa rangi,hata rangi nyeusi,inathaminiwa.Sio hiyo dini yenu,mnapokuwa na msiba mnavaa nguo nyeusi,kuonyesha rangi nyeusi ni msiba.Na pia kumfananisha shetani na rangi nyeusi.
Unabaki kwenye dini,inayokudhalilisha rangi yako ya ngozi nyeusi,na wewe unajidhalilisha,wakati wa msiba wavaa nguo nyeusi.Kuonyesha rangi nyeusi ni msiba,huzuni na matatizo.Wakati kwa waislamu,rangi nyeusi imepewa hadhi,mpaka ya kubusiwa,na kupewa heshima.
Jiwe jeusi halipigwi mawe.Usidanganywe kwenye vijiwr vya mbege.Kwanini jiwe jeusi lifananishwe na shetani kisha lipigwe mawe? Funguka akili wewe...
Wewe ndio unayedanganywa kwenye vijiwe vya kahawa... Vipi huyo shetani bado hajafa tu huko Makkah au kila mwaka anazaliwa mwingine?...Jiwe jeusi halipigwi mawe.Usidanganywe kwenye vijiwr vya mbege.
Vijiwe. kidogo kidogo vinapigwa kwenye vinara vilivyo na rangi ya kijivu(saruji).Ni kuashiria tendo alilotenda Nabii Ibrahimu,kumfukuza Shetani,wakati anamkataza,asifanye alichoamrishwa na Mungu,afanye.
Jiwe jeusi liko ndani ya msikiti,halipigwi mawe,wala haliabudiwi,ni heshima ya rangi nyeusi.
Kuwa na akili,uislamu ni dini ya mafundisho kwa vitendo,unampinga shetani,na unampinga kwa vitendo.Mambo mengi ya kimasomo,yamechukuliwa kutoka uislamu,kunakuwa na 'theory' na' pratical',ndio unaona tunasoma kimaandishi na kivitendo.Wenyewe wanadai wanakwenda kumpiga shetani mawe... Sijui hajafa tu hadi leo!...