Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,401
- 20,661
Hawakuwa na namna nyingine. Maalim alishindwa kupindua meza mwaka 2015. Ulitegemea angefurukuta mwaka huu tena wakati hao jamaa wamempa 19% tu kura zote?HAWA KAMA WAMEKUBALI KUSHIRIKI KUUNDA SEREKALI THATS MEANS WAMESHA WAMEHALALISHA UCHAGUZI NA NI KIBALI KIBALI CHA WAZI SASA KWA COVID 19 KUINGIA KAZINI
ACT hawakuona faifa za kususia baada ya uzoefu wao wa 2015-2020. Kibaya zaidi watu waliogopa/waligoma/walipuuza kuwaunga mkono kwenye maandamano waliyoyaitisha. Option waliobaki nayo ni kujoin tu