Aachiwe huru ili aende wapi kwa mfano muhalifu huyo?

Ili akachochee upya ghasia uharibifu na maafa tena? Mi nadhani anawajibika kwa 100% katika kupanga, kuratibu na kuchochea ghasia, uharibifu na maafa ya 2025, ambapo sote ni mashahidi na waathirika wa matukio yale ya kigaidi aliyoyatangaza hadharani kua atakinukisha.

Lakini pia hastahili kua nje ya jela hata kwa sekunde moja, licha ya mamluki na wafuasi wake kupotoshana na kudanganyana eti atakua huru hivi karibuni. Wamedanganyana kuhusu uchaguzi wa Zambia wakaumbuka, na sasa wanadanganyana kwenye hili.

Hata hivyo,
kwaajili ya usalama wake mwenyewe dhidi ya wananchi wenye hadira nae kwa kuwasababishia hasara, ulemavu na maafa kwenye familia zao, ni muhimu huyo kibaraka akaendelea kuwekwa kizuizini na kukabiliana na mashtaka mapya yenye ushahidi mpya.

Una maoni gani?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Sikubaliani na maoni yako.

Amandla...
 
Mashahidi wengi wamekaangwa vipi nawewe unataka ukatoe ushahidi?
 
Maneno Unayatupa Haya
Aibu Utaona Wewe
 
Lisu sio muhalifu,
Unataka kumpa jina baya kwa maslahi yako binafsi.?
 
Lakini Gentleman Ukipunguza Mipasho Lumumba FC Watakulipa Posho Yako
kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi hakuhitaji posho wala malipo yoyote gentleman.

Neema na Baraka za Mungu zatosha 🐒
 
Ili akachochee upya ghasia uharibifu na maafa tena? Mi nadhani anawajibika kwa 100% katika kupanga, kuratibu na kuchochea ghasia, uharibifu na maafa ya 2025, ambapo sote ni mashahidi na waathirika wa matukio yale ya kigaidi aliyoyatangaza hadharani kua atakinukisha.

Lakini pia hastahili kua nje ya jela hata kwa sekunde moja, licha ya mamluki na wafuasi wake kupotoshana na kudanganyana eti atakua huru hivi karibuni. Wamedanganyana kuhusu uchaguzi wa Zambia wakaumbuka, na sasa wanadanganyana kwenye hili.

Hata hivyo,
kwaajili ya usalama wake mwenyewe dhidi ya wananchi wenye hadira nae kwa kuwasababishia hasara, ulemavu na maafa kwenye familia zao, ni muhimu huyo kibaraka akaendelea kuwekwa kizuizini na kukabiliana na mashtaka mapya yenye ushahidi mpya.

Una maoni gani?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Angalia kailizako utaiingiza nchi kwenye machafuko na wewe ukiwa umechangia,mchango wa wa 29,October unakusubiri siku ya Mahkama.
 
Wewe na nabii Tito mnatofautiana kidogo sana. Sema watu hawajakushtukia. Ukiulizwa ni mhaligu kwa kosa gani huwezi kujibu.
 
Utachafuka wewe gentleman, be careful 🐒
 
Wewe na nabii Tito mnatofautiana kidogo sana. Sema watu hawajakushtukia. Ukiulizwa ni mhaligu kwa kosa gani huwezi kujibu.
ni kama wewe na fisadi heche mnafanana sana uropokaji na mihemko useless huku mkiwa always pointless 🐒
 
Back
Top Bottom