Aachiwe huru ili aende wapi kwa mfano muhalifu huyo?

Aachiwe huru ili aende wapi kwa mfano muhalifu huyo?

Mtu Mwenyewe ameondoa Familia yake Nchini halafu anataka achochee Machafuko ili Nchi ikiwaka Moto yeye apande ndege na kukimbilia Ulaya .

Inapaswa aendelee kukaa ndani tu
Ndio maana nasisitiza sana,
huyo muungwana hastahili kua huru hata sekunde moja, na nina hakika itakua hivyo
 

Attachments

  • 1000006486.png
    1000006486.png
    1.6 MB · Views: 5
Yes,
Mabwenyenye wanamkubali sana kwasababu ni kibaraka wao 🐒
Hao Ndio wamekutengenezea simu,pasi,vipo, magari nk ndio upo hapa kubwabwaja,hata president kasema tufunge mikanda Maana mabwenyenye,wamebana Fedha zao!
 
Ili akachochee upya ghasia uharibifu na maafa tena? Mi nadhani anawajibika kwa 100% katika kupanga, kuratibu na kuchochea ghasia, uharibifu na maafa ya 2025, ambapo sote ni mashahidi na waathirika wa matukio yale ya kigaidi aliyoyatangaza hadharani kua atakinukisha.

Lakini pia hastahili kua nje ya jela hata kwa sekunde moja, licha ya mamluki na wafuasi wake kupotoshana na kudanganyana eti atakua huru hivi karibuni. Wamedanganyana kuhusu uchaguzi wa Zambia wakaumbuka, na sasa wanadanganyana kwenye hili.

Hata hivyo,
kwaajili ya usalama wake mwenyewe dhidi ya wananchi wenye hadira nae kwa kuwasababishia hasara, ulemavu na maafa kwenye familia zao, ni muhimu huyo kibaraka akaendelea kuwekwa kizuizini na kukabiliana na mashtaka mapya yenye ushahidi mpya.

Una maoni gani?🐒

Mungu Ibariki Tanzania

Mzima lakini...nani tena kaishiwa pawa 😂 😂 😂 😂 😂 😂

Ulimwenguni kumejaa dhiki
 
Kuna mahali hauko sawa, TAL atatoka na Kwa ushahidi wa Shahidi wa serikali kasema alisema atakinukisha na kufanya uasi,alipoulizwa wapi!Akajibu Kwa serikali ya Nchi yake!Hivyo hata hiyo serikali unayoibwabwajia,unajua TAL ni Mtanzania na atabaki kuwa Mtanzania kama Wewe!
huenda wengine watakua wamekuelewa vizuri zaidi gentleman 🐒
 
Jaribu kulopoka huo ujinga mtaani kwako uone watavoku...au basi
Gentleman,
ukweli huelezwa kokote bila kificho na bila kujali mihemko au makasiriko ya mdau yeyote yule ndani au nje ya JF 🐒
 
Back
Top Bottom