Wengi sana wamenielewa hata Wewe pia!huenda wengine watakua wamekuelewa vizuri zaidi gentleman 🐒
Huyu na hajakuelewa!Gentleman,
ukweli huelezwa kokote bila kificho na bila kujali mihemko au makasiriko ya mdau yeyote yule ndani au nje ya JF 🐒
Wewe unafaidika na nini wengine kuwekwa mahabusu bila hatia kwa muda mrefu.Ili akachochee upya ghasia uharibifu na maafa tena? Mi nadhani anawajibika kwa 100% katika kupanga, kuratibu na kuchochea ghasia, uharibifu na maafa ya 2025, ambapo sote ni mashahidi na waathirika wa matukio yale ya kigaidi aliyoyatangaza hadharani kua atakinukisha.
Lakini pia hastahili kua nje ya jela hata kwa sekunde moja, licha ya mamluki na wafuasi wake kupotoshana na kudanganyana eti atakua huru hivi karibuni. Wamedanganyana kuhusu uchaguzi wa Zambia wakaumbuka, na sasa wanadanganyana kwenye hili.
Hata hivyo,
kwaajili ya usalama wake mwenyewe dhidi ya wananchi wenye hadira nae kwa kuwasababishia hasara, ulemavu na maafa kwenye familia zao, ni muhimu huyo kibaraka akaendelea kuwekwa kizuizini na kukabiliana na mashtaka mapya yenye ushahidi mpya.
Una maoni gani?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Muhuni Kikwete aliwahi kusema enzi akiwa madarakani " ni bora nitoe majimbo 100 kwenda upinzani kulikoni Lissu kurudi Bungeni"nanii acha upotoshaji jukwaani plz na itapendeza zaidi 🐒
Sawa, anatoka TAL gerezani na tutakuwa nae sokoni, majukwaani, kwenye ibada hata wasiompenda kama Wewe watamuona, Maana Nchi hii ni yetu sote!acha porojo gentleman,
toa mawazo yako mapya na fikra mbadala bora zaidi ya hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi 🐒
Hata Wewe utaelewa zaidi,ukishaacha kuwewesepa na kutoa Hoja dhaifu, right?next time ataelewa zaidi 🐒
Qmmmktuliza mihemko useless jukwaani ponjoro 🐒
Fala ni yule form four failure wa kizimkazi!.Huyo fala hatoki kwenda popote
Ili akachochee upya ghasia uharibifu na maafa tena? Mi nadhani anawajibika kwa 100% katika kupanga, kuratibu na kuchochea ghasia, uharibifu na maafa ya 2025, ambapo sote ni mashahidi na waathirika wa matukio yale ya kigaidi aliyoyatangaza hadharani kua atakinukisha.
Lakini pia hastahili kua nje ya jela hata kwa sekunde moja, licha ya mamluki na wafuasi wake kupotoshana na kudanganyana eti atakua huru hivi karibuni. Wamedanganyana kuhusu uchaguzi wa Zambia wakaumbuka, na sasa wanadanganyana kwenye hili.
Hata hivyo,
kwaajili ya usalama wake mwenyewe dhidi ya wananchi wenye hadira nae kwa kuwasababishia hasara, ulemavu na maafa kwenye familia zao, ni muhimu huyo kibaraka akaendelea kuwekwa kizuizini na kukabiliana na mashtaka mapya yenye ushahidi mpya.
Una maoni gani?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Kwako unaona raha tu watu wananopouwawa na wanapoondolewa kwenye sanduku la kura ili ccm ibaki peke yake?Ili akachochee upya ghasia uharibifu na maafa tena? Mi nadhani anawajibika kwa 100% katika kupanga, kuratibu na kuchochea ghasia, uharibifu na maafa ya 2025, ambapo sote ni mashahidi na waathirika wa matukio yale ya kigaidi aliyoyatangaza hadharani kua atakinukisha.
Lakini pia hastahili kua nje ya jela hata kwa sekunde moja, licha ya mamluki na wafuasi wake kupotoshana na kudanganyana eti atakua huru hivi karibuni. Wamedanganyana kuhusu uchaguzi wa Zambia wakaumbuka, na sasa wanadanganyana kwenye hili.
Hata hivyo,
kwaajili ya usalama wake mwenyewe dhidi ya wananchi wenye hadira nae kwa kuwasababishia hasara, ulemavu na maafa kwenye familia zao, ni muhimu huyo kibaraka akaendelea kuwekwa kizuizini na kukabiliana na mashtaka mapya yenye ushahidi mpya.
Una maoni gani?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
We jamaaa Hiv ni wakike au wakiumeIli akachochee upya ghasia uharibifu na maafa tena? Mi nadhani anawajibika kwa 100% katika kupanga, kuratibu na kuchochea ghasia, uharibifu na maafa ya 2025, ambapo sote ni mashahidi na waathirika wa matukio yale ya kigaidi aliyoyatangaza hadharani kua atakinukisha.