Unapingana na sheria? Utakuwa ni Mwendawazimu unatakiwa kuwahishwa Mirembe!, maana yeye angetamani hata leo atoke!! ila sheria airuhusu hivyo,sheria kitafsiriwa vyema atatoka huna chakufanya!.Nevema katika adhira ukaficha upumbavu ukabaki na ujinga utaweza kuelimishwa na ukaelimika,ila upumbavu ni kovu.Ili akachochee upya ghasia uharibifu na maafa tena? Mi nadhani anawajibika kwa 100% katika kupanga, kuratibu na kuchochea ghasia, uharibifu na maafa ya 2025, ambapo sote ni mashahidi na waathirika wa matukio yale ya kigaidi aliyoyatangaza hadharani kua atakinukisha.
Lakini pia hastahili kua nje ya jela hata kwa sekunde moja, licha ya mamluki na wafuasi wake kupotoshana na kudanganyana eti atakua huru hivi karibuni. Wamedanganyana kuhusu uchaguzi wa Zambia wakaumbuka, na sasa wanadanganyana kwenye hili.
Hata hivyo,
kwaajili ya usalama wake mwenyewe dhidi ya wananchi wenye hadira nae kwa kuwasababishia hasara, ulemavu na maafa kwenye familia zao, ni muhimu huyo kibaraka akaendelea kuwekwa kizuizini na kukabiliana na mashtaka mapya yenye ushahidi mpya.
Una maoni gani?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,Unapingana na sheria Utakuwa ni Mwendawazimu unatakiwa kuwahishwa Mirembe maana yeye angetamani hata leo atoke ila sheria airuhusu hivyo sheria kitafsiriwa vyema atatoka huna chakufanya!
Ili akachochee upya ghasia uharibifu na maafa tena? Mi nadhani anawajibika kwa 100% katika kupanga, kuratibu na kuchochea ghasia, uharibifu na maafa ya 2025, ambapo sote ni mashahidi na waathirika wa matukio yale ya kigaidi aliyoyatangaza hadharani kua atakinukisha.
Lakini pia hastahili kua nje ya jela hata kwa sekunde moja, licha ya mamluki na wafuasi wake kupotoshana na kudanganyana eti atakua huru hivi karibuni. Wamedanganyana kuhusu uchaguzi wa Zambia wakaumbuka, na sasa wanadanganyana kwenye hili.
Hata hivyo,
kwaajili ya usalama wake mwenyewe dhidi ya wananchi wenye hadira nae kwa kuwasababishia hasara, ulemavu na maafa kwenye familia zao, ni muhimu huyo kibaraka akaendelea kuwekwa kizuizini na kukabiliana na mashtaka mapya yenye ushahidi mpya.
Una maoni gani?
Hapa nimekupa njia mbadala ya kukuelimisha maana mimi by Professional ni Mwalimu kuna njia nyingi za kuelewesha mtu ambaye uwezo wake wakufiri unatumia Petium 2 na floppy disck hii ndiyo namna ya kukuelewesha sema ndiyo kama umenielewa!Gentleman,
ni muhimu zaidi kuzingatia maelezo yangu mahususi bila kuweweseka na itapendeza zaidi.
huna haja ya kuendekeza hisia kwenye mambo obvious 🐒
haya mwalimu,Hapa nimekupa njia mbadala ya kukuelimisha maana mimi by Professional ni Mwalimu kuna njia nyingi za kuelewesha mtu ambaye uwezo wake wakufiri unatumia Petium 2 na floppy disck hii ndiyo namna ya kukuelewesha sema ndiyo kama umenielewa!
Nchi hii ni yetu sote! Tunaendeshwa kwa mujibu wa sheria! Sasa kama unaishi katika fikra za Mwenyekiti utagombana na wengi sana,hasa kauri yako kusema asitoke'Yeye ndiye aliyeratibu maafa' Wakati huyo unayemtaja hakuwepo saga lote linatokea katika tume uliwahi kusikia jina lake??Je Majiaji wewe unawazidi uelewa!Au hao mashahidi walihongwa na yeye??Wakakosa kuuleta mahakamani??haya mwalimu,
but usiache kuzingatia ukweli mtupu kwenye maelezo yangu mahususi kwenye hoja mahususi mezani, itakusaidia sana 🐒
Kama atakutwa hamna hatia arudi mtaani maisha yaendeleeIli akachochee upya ghasia uharibifu na maafa tena? Mi nadhani anawajibika kwa 100% katika kupanga, kuratibu na kuchochea ghasia, uharibifu na maafa ya 2025, ambapo sote ni mashahidi na waathirika wa matukio yale ya kigaidi aliyoyatangaza hadharani kua atakinukisha.
Lakini pia hastahili kua nje ya jela hata kwa sekunde moja, licha ya mamluki na wafuasi wake kupotoshana na kudanganyana eti atakua huru hivi karibuni. Wamedanganyana kuhusu uchaguzi wa Zambia wakaumbuka, na sasa wanadanganyana kwenye hili.
Hata hivyo,
kwaajili ya usalama wake mwenyewe dhidi ya wananchi wenye hadira nae kwa kuwasababishia hasara, ulemavu na maafa kwenye familia zao, ni muhimu huyo kibaraka akaendelea kuwekwa kizuizini na kukabiliana na mashtaka mapya yenye ushahidi mpya.
Una maoni gani?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,Hujitambui sasa kama mharifu mmemfungulia kesi na amewqshinda wote mawakili wa serikali mpaka wakakodi watu watoe ushahidi wa uongo lkn bado kawanyoosha kama rula na akitoka tu rasmi CCM itazikwa
Sasa gentleman,Nchi hii ni yetu sote! Tunaendeshwa kwa mujibu wa sheria! Sasa kama unaishi katika fikra za Mwenyekiti utagombana na wengi sana,hasa kauri yako kusema asitoke'Yeye ndiye aliyeratibu maafa' Wakati huyo unayemtaja hakuwepo saga lote linatokea katika tume uliwahi kusikia jina lake??Je Majiaji wewe unawazidi uelewa!Au hao mashahidi walihongwa na yeye??Wakakosa kuuleta mahakamani??

Unaongeleaje documentary ya Larry Madowo?Ili akachochee upya ghasia uharibifu na maafa tena? Mi nadhani anawajibika kwa 100% katika kupanga, kuratibu na kuchochea ghasia, uharibifu na maafa ya 2025, ambapo sote ni mashahidi na waathirika wa matukio yale ya kigaidi aliyoyatangaza hadharani kua atakinukisha.
Lakini pia hastahili kua nje ya jela hata kwa sekunde moja, licha ya mamluki na wafuasi wake kupotoshana na kudanganyana eti atakua huru hivi karibuni. Wamedanganyana kuhusu uchaguzi wa Zambia wakaumbuka, na sasa wanadanganyana kwenye hili.
Hata hivyo,
kwaajili ya usalama wake mwenyewe dhidi ya wananchi wenye hadira nae kwa kuwasababishia hasara, ulemavu na maafa kwenye familia zao, ni muhimu huyo kibaraka akaendelea kuwekwa kizuizini na kukabiliana na mashtaka mapya yenye ushahidi mpya.
Una maoni gani?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Siku yakukute ndio dishi liache kusoma chenga!huo ni uamuzi wako gentleman,
but nchi hii mkiuka sheria anawajibishwa vizuri tu 🐒
Huoni yanavyotongozana na mbwa mwenzieWe jamaaa Hiv ni wakike au wakiume
Ndugu mdau wa JF,Unaongeleaje documentary ya Larry Madowo?
Samia ni muuaji na hasafishiki kamweNdugu mdau wa JF,
pamoja na uongo, uzushi na porojo walizopotoshwa akina Ted Cruz wa bunge la seneti ya Marekani na David McAlister wa bunge la EU na vibaraka wao humu nchini, wote hawa pamoja na Larry Madow mkalenjini wa Eldoret Kenya, wanaostahili tuzo na tunzo za uongo duniani dhidi ya umoja, amani na usalama wa waTanzania wote.
hata hivyo,
la muhimu zaidi ni kwamba, kibaraka ana kesi ya kujibu, na kwahivyo ataendelea kusota korokoroni 🐒