Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,459
- 4,384
Tlaatlaah!! Lissu akirudi uraiani haimanishiii utapoteza kazi yako ya ulinzi hapo Lumumba.
Ulinzi na kulamba matako na miguu kumbe ni biashara...?yaani niache kilimo, ufungaji na biashara kwaajili ya huyo kibaraka mropokaji gentleman?
be serious bana plz![]()
Wewe Toka usingizini Sasa hivi Id iliyoko kazini NI tilatilah umekurupukaMtu Mwenyewe ameondoa Familia yake Nchini halafu anataka achochee Machafuko ili Nchi ikiwaka Moto yeye apande ndege na kukimbilia Ulaya .
Inapaswa aendelee kukaa ndani tu
Lissu kayapiga dole machoko mahakamani hayatasahauIli akachochee upya ghasia uharibifu na maafa tena? Mi nadhani anawajibika kwa 100% katika kupanga, kuratibu na kuchochea ghasia, uharibifu na maafa ya 2025, ambapo sote ni mashahidi na waathirika wa matukio yale ya kigaidi aliyoyatangaza hadharani kua atakinukisha.
Lakini pia hastahili kua nje ya jela hata kwa sekunde moja, licha ya mamluki na wafuasi wake kupotoshana na kudanganyana eti atakua huru hivi karibuni. Wamedanganyana kuhusu uchaguzi wa Zambia wakaumbuka, na sasa wanadanganyana kwenye hili.
Hata hivyo,
kwaajili ya usalama wake mwenyewe dhidi ya wananchi wenye hadira nae kwa kuwasababishia hasara, ulemavu na maafa kwenye familia zao, ni muhimu huyo kibaraka akaendelea kuwekwa kizuizini na kukabiliana na mashtaka mapya yenye ushahidi mpya.
Una maoni gani?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Lissu kayapiga dole machoko mahakamani hayatasahauYes,
Mabwenyenye wanamkubali sana kwasababu ni kibaraka wao 🐒
Umeandika nonsense aisehiyo useless ndio kitu gani gentleman?🐒
makasiriko mnayo nyinyi vijana wa Lumumbaok relax bas na upunguze makasiriko na itapendeza zaidi 🐒