ProMagufuli
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 219
- 235
Kila mara nikikaa kuwaza au kufikiria juu ya Magufuli roho inaniuma sana. Nawaza hivi kwanini watu wema ndio huwa wanatangulia kuliko waovu.
Hayati Magufuli alijitahidi kutuonesha njia sisi Watanzania kuwa tuna nchi ya aina gani.
Aliweza kuongea kwa ujasiri juu ya vile Tanzania imebarikiwa. Lakini hilo wasioitakia mema nchi yetu halikuwapendeza kwa kuwa alizuia maslahi yao yaliyopatikana kwa njia haramu.
Watu wengi walijitokeza kumpinga lakini yeye hilo halikumkatisha tamaa; alizidi kuitumikia nchi yake Tanzania kwa uzalendo wote mpaka pale walipofanikisha adhma yake. Leo wanatamba. Eti legacy ijitetee.
Ukitazama mazingira ya kifo chake kwa kweli sio siri yanasikitisha. Ni kama vile kuna kitu nyuma yake ambayo ilikuwa a long plan ambayo ilihusisha kupoteza roho za watu wengi wasio hatia ili kutimiza lengo lao ionekana ni normal case but i think is not okay.
But I believe kama ni mipango ya watu walitakalo halitafanikiwa.
Tazama: Inafikirisha sana tangu afariki Magufuli Matangazo ya Tanzia yamekwisha, is this a coincidence au? Au planned to justify someone death?
Hapana waliohusika it's better watafutwe haiwezekani wao ndio wawe wanatuamulia nchi iweje!
Narudia tena haiwezekani, Tanzia Tanzia Tanzia, then kimya ina maana ile Corona iliokuwa ikiua viongozi sasa imekwisha au tuingoje hata lini? There is something fish planned and not a coincidence. Sure.
I'll always remember Hayati JPM.
I'm ready kupopolewa na Ufipa.
Muwe na usiku mwema.