A living legend: Bado namuomboleza Hayati Magufuli, Shujaa wa Afrika

Hawa watakataa unayoyasema.

1. Wale waliopotea na waliopotelewa na ndugu zao katika mazingira tata
2. Wale waliochukuliwa mali zao kidhalimu na ma-task force
3. Wale walipelekwa magerazani kwa miezi na miaka kwa kesi za kubumba
4. Walipoteza maisha katika chaguzi kama Akwilina
5. Waliopoteza biashara kama Kwanza TV na Mbowe
6. Walionyang'anywa passports kama Eyakuze
7. Waliochafuliwa wanafanya biashara za madawa na kipendwa chake bashite
8. Waliopoteza kazi zao kwa mkono na niaovu kama Fatma Karume
9. Wakulima Ambao hawakupewa pesa zao za korosho
10. Waliobomolewa nyumba zao Kimara
 
Kila mara nikikaa kuwaza au kufikiria juu ya Magufuli roho inaniumaa sana. Nawaza hivi kwa nini watu wema ndio huwa wanatangulia kuliko waovu.

Hayati Magufuli alijitahidi kutuonesha njia sisi watanzania kuwa tuna nchi ya aina gani.

Aliweza kuongea kwa ujasiri juu ya vile Tanzania imebarikiwa. Lakini hilo wasioitakia mema nchi yetu halikuwapendeza kwa kuwa alizuia maslahi yao yaliyopatikana kwa njia haramu.

Watu wengi walijitokeza kumpinga lakini yeye hilo alikumkatisha tamaa alizidi kuitumikia nchi yake Tanzania kwa uzalendo wote mpaka pale walipofanikisha adhma yake. Leo wanatamba. Eti legacy ijitetee.

Ukitazama mazingira ya kifo chake kwa kweli sio siri yanasikitisha. Ni kama vile kuna kitu nyuma yake ambayo ilikuwa a long plan ambayo ilihusisha kupoteza roho za watu wengi wasio hatia ili kutimiza lengo lao ionekana ni normal case but i think is not okay.

But i believe kama ni mipango ya watu walitakalo halitafanikiwa.
Tazama: inafikirisha sana tangu afariki Magufuli Matangazo ya Tanzia yamekwisha, is this a coincidence au? Au planned to justify someone death..??

Hapana waliohusika it's better watafutwe haiwezekani wao ndio wawe wanatuamulia nchi iweje..!

Narudia tena haiwezekani, Tanzia Tanzia Tanzia, then kimya ina maana ile Corona iliokuwa ikiua viongozi sasa imekwisha au tuingoje hata lini..? There is something fish planned and not a coincidence. Sure.

I'll always remember Hayati JPM.

I'm ready kupopolewa na Ufipa.

Muwe na usiku mwema.
Nia njema ukichanganya na uovu daima uovu hufunika nia njema. Pan africanism yes Magufuli alionesha kwa maneno na kidogo matendo. Huyu angeweza kuungana na upinzani kabisa kama asingeficha uovu mchafu katika kivuli cha nia njema.
Kwamba mabeberu wanamezea mate raslimali zetu? Ni kweli kabisa! Kwamba mikataba ya madini na mikataba mingine ni ya kinyonyaji? Ni kweli kabisa! Kwamba Africa na Tanzania inao uwezo wa kuendelea bila kutegemea mabeberu? Ni kweli kabisa!
Lakini kwa nini uue wanaokupinga bila sababu?
Kwa mara ya kwanza watu wanaokotwa ufukweni katika viroba wakiwa wametwezwa zaidi ya mbwa!
Kwamba akina Ben Saanane na azori walifanya kosa gani?
Tundu Lissu kwa mtizamo wake ninavyomfahamu ni pan africanist mzuri kabisa na angeweza kumsaidia huyu mwendazake vizuri kabisa. Kwani mfano aliposhauri tupiganie kubadilisha sheria za kimataifa kuhusu madini na raslimali zetu alifanya kosa gani la kumsababishia kifo?

Kama kweli huyu alikuwa na nia njema basi watendaji wake waliingiliwa na mabeberu kuwezesha kujenga chuki dhidi yake kwa kutenda uovu usiomithilika kwa niaba yake. Na kwani ni hakukemea hayo?
Kama mnataka tuwaelewe! Chunguzeni ule unyama na uovu dhidi ya ubinadamu mkianzia na kutoweshwa kwa Ben na Azori na baadaye kujeruhiwa kwa TAL.
Kamateni Bashite na Ally Hapi, na TISS watuambie ni nani aliyewatuma waiharibu nia njema ya SHUJAA.
 
Kwanini huamini kwenye kile unachokisema? Jenga hoja acha kijihami, tafuta kuna Uzi wa MATAGA humu unaeleza kuwa Magufuli alikiri Mara kadhaa kuwa ni mgonjwa!

Nakushauri watafutie wanao ugali, Magufuli tulimpenda ila ameshapumzika, maisha lazima yaendelee na Mungu akutie nguvu utoke kwenye hii denial
Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Time will tell, nimeshajiapiza moyoni mwangu, endapo itajulikana wazi kabisa alomuua rais wangu. Basi mimi binafsi kwa juhudi zangu binafsi na kwa njia yoyote ile uchawi, ama hadharani, lazima nimuue.
Mimi sio mchawi ila nitautafuta kwa gharama yoyote popote hapa duniani ili niue ikiwezekana kwa mkono wangu mwenyewe
Sho.ga ww umuue nani nchi hii ke.nge wewe
 
Nia njema ukichanganya na uovu daima uovu hufunika nia njema. Pan africanism yes Magufuli alionesha kwa maneno na kidogo matendo. Huyu angeweza kuungana na upinzani kabisa kama asingeficha uovu mchafu katika kivuli cha nia njema.
Kwamba mabeberu wanamezea mate raslimali zetu? Ni kweli kabisa! Kwamba mikataba ya madini na mikataba mingine ni ya kinyonyaji? Ni kweli kabisa! Kwamba Africa na Tanzania inao uwezo wa kuendelea bila kutegemea mabeberu? Ni kweli kabisa!
Lakini kwa nini uue wanaokupinga bila sababu?
Kwa mara ya kwanza watu wanaokotwa ufukweni katika viroba wakiwa wametwezwa zaidi ya mbwa!
Kwamba akina Ben Saanane na azori walifanya kosa gani?
Tundu Lissu kwa mtizamo wake ninavyomfahamu ni pan africanist mzuri kabisa na angeweza kumsaidia huyu mwendazake vizuri kabisa. Kwani mfano aliposhauri tupiganie kubadilisha sheria za kimataifa kuhusu madini na raslimali zetu alifanya kosa gani la kumsababishia kifo?

Kama kweli huyu alikuwa na nia njema basi watendaji wake waliingiliwa na mabeberu kuwezesha kujenga chuki dhidi yake kwa kutenda uovu usiomithilika kwa niaba yake. Na kwani ni hakukemea hayo?
Kama mnataka tuwaelewe! Chunguzeni ule unyama na uovu dhidi ya ubinadamu mkianzia na kutoweshwa kwa Ben na Azori na baadaye kujeruhiwa kwa TAL.
Kamateni Bashite na Ally Hapi, na TISS watuambie ni nani aliyewatuma waiharibu nia njema ya SHUJAA.
hao wa viroba wataendelea kuwepo.

si kwa sababu nyumbu wanalalamika,no ni sababu ni waharifu kama wengine wa kustahili adhabu hiyo.

usichojua ni kwamba kuna mambo rais hupelekewa ripoti tu.na hana maamuzi nayo moja kwa moja kama hilo la kuua wajinga wajinga.
 
MJG and 8 Ball ndio Living Legends ,huyo wa kwenu ni Mwendazake.

MJG8BO.jpg
 
hao wa viroba wataendelea kuwepo.

si kwa sababu nyumbu wanalalamika,no ni sababu ni waharifu kama wengine wa kustahili adhabu hiyo.

usichojua ni kwamba kuna mambo rais hupelekewa ripoti tu.na hana maamuzi nayo moja kwa moja kama hilo la kuua wajinga wajinga.
Kuua "wajinga wajinga "Basi aachwe atafunwe na funza tu hakuna cha legacy wala nini. Tuliobaki tunatamka kuwa mwendazake ni wa kuchimbuliwa na kumiminiwa risasi 38 afe kabisa>
 
Ukiwa unaandika mawazo yako ujitahidi kubalance,umeongelea mazuri lakini hugusia mabaya ya kugandamiza wapinzani kuua kabisa demokrasia, mauaji , kusababisha mahusiano mabaya na mataifa yenye nguvu kiuchumi. We mnyonge kuwa muelewa.
 
Time will tell, nimeshajiapiza moyoni mwangu, endapo itajulikana wazi kabisa alomuua rais wangu. Basi mimi binafsi kwa juhudi zangu binafsi na kwa njia yoyote ile uchawi, ama hadharani, lazima nimuue.
Mimi sio mchawi ila nitautafuta kwa gharama yoyote popote hapa duniani ili niue ikiwezekana kwa mkono wangu mwenyewe
Bila shaka wew ni Musiba,sadist!!Kwamba utamuua Mungu kwa kumchukua Jiwe?Wew ni egoistic and selfish,you are mentally sick!!!Haina maana ulimpenda sana ila ulinufaika na utawala wake hakuna upendo hapa na huu ndio ukweli mnajibalaguza tu kinafiki huku mkifikiria maisha yenu baada ya yey kufa.Hivi umewahi fikiria walioumizwa na utawala wake?Wew ni mnafiki na mbinafsi
 
toa mfano mtu mmoja.

bashiru kapewa ubunge,wewe nyumbu unadhani anakwenda kuchunga ng'ombe
ubunge kitu gani we kuku wa kienyeji! Wenzio tunafurahia ukombozi ulioletwa kutoka juu mbinguni. Nchi nyingine katika hali ile huingia vitani kumwaga damu lakini siye Muumba wetu ameshuka mwenyewe kukatilia mbali muuaji mkuu! Na yajayo yanafurahisha--- Ngoja niwahi church kushukuru miye wakorintho waendeleze ukorintho aka ukahaba
 
Back
Top Bottom