zitto

  1. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Zitto: Baadhi ya mitambo ya Vyombo vyetu vya na dola mlitumika kumchafua BM

    Zitto katoa kashfa nzito kuvihusu vyombo vya dola kwa kutumika kumchafua Membe ikiwamo mitambo ya vyombo hivyo kutumika kuchapisha magazeti ya kumchafua. Maoni yangu: Hii kashfa ni kubwa mno kutolewa na mfanya siasa kama Zitto tena mbele ya Amri Jeshi Mkuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama na ni...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ulikuwa wapi Kuwakemea na Kuwashangaa walioshangilia Kifo cha Magufuli hadi Kuchukia wanaoshangilia cha Membe?

    Watoto wa Mjini wanasema tulieni Dawa iwaingie vizuri kwani Ubaya Ubayani tu. Halafu uache Ushamba kama ilivyo Desturi ya Waha ya Kuvaa Shati Jeupe Msibani.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Zitto ashauliwe, anayo fursa ya kuamua, kuzikwa pembeni ya Membe au akae kwa kutulia!

    Zitto amechanganyikiwa? Aliyoyaongea kwenye msiba wa mpendwa wetu mh Membe, yanasidifu hiki ninachosema! Aliwahi kusema kipindi cha Kifo cha Magufuli kwamba, walioumizwa sana na kifo hicho, wakazikwe pembeni yake Sasa leo tunamkumbusha tuu Haya ni marudio tu ya kile Zitto alisema pale ambapo...
  4. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Zitto akosoa wasifu wa Membe kuacha uanachama wake ACT-Wazalendo. Alaani walioshiriki kumchafua kupitia magazeti

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameonyesha kutoridhishwa na wasifu wa Bernard Kamillius Membe (69) kutogusia uwepo wake ndani ya chama hicho cha siasa. Membe ambaye alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa alijiunga na ACT-Wazalendo Julai 15, 2020 akitokea chama tawala-...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Membe alitupigania dhidi ya tabia Mbaya ya Watu wenye Mamkala kutumia Wahuni kutukana Viongozi wenzao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki ibada ya kuaga Mwili wa Marehemu Mhe. Bernard Kamillius Membe, Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika Viwanja vya Karimjee - Dares Salaam leo tarehe 14 Mei, 2023 Saa 4:00 Asubuhi...
  6. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, Ili ashinde urais mwaka 2030 lazima ashinde mikoa zaidi ya mitano

    Njozi ya Zitto Kabwe kugombea urais mwaka 2030 iko wazi baada ya mitandao ya kijamii kumnukuu akiweka wazi nia yake hiyo. Hata hivyo ili ashinde mbele yake ana kazi kubwa kwa kuwa anahitaji kupata ushindi wa kishindo ktk mikoa mitano au zaidi. Sasa swali la kujiuliza ni JE mbali na Kigoma...
  7. comte

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Zitto na upotoshaji ni kama wa damu na nyama

    Mh Zitto akichambua taarifa ya CAG ameishukia wizara ya ujenzi, waziri wake, na wakala wa barabara kwa kudai kuwa walitengewa Trilioni 2 kwa ajili ya ujenzi wa barabara 88 na hakuna hata moja imejengwa hadi kipindi cha fedha tajwa kinaisha. Ukimsikia utaona anahoja lakini ukisikiliza unaona...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Serikali ilikopa zaidi ya kiwango kilichoidhinishwa na Bunge

    ACTWazalendo imesema Deni la Taifa liliongezeka kwa 11% kutoka Tsh. Trilioni 64.5 mwaka 2020/21 hadi kufikia Tsh. Trilioni 71 Juni 30, 2022 ambapo Serikali ilichukua Mikopo kwa 30% zaidi ya idhini ya Bunge. Vile vile Mikopo ya Nje yenye masharti nafuu iliyochukuliwa na Serikali ilikuwa 33%...
  9. M

    JamiiForums Tanzania We Zitto Kabwe kibaraka wa CCM acha propaganda uchwara. Habari hizi peleka kwenu ujiji.

  10. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zitto Kabwe anakwepa kuwagusa vigogo waliotajwa ripoti ya CAG

    Zitto Kabwe kwanini anakwepa kuchambua uzembe, ubadhirifu na upigaji mkubwa uliofanywa kwenye Wizara ya Nishati, Wizara ya Mawasiliano, Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Maji. Ripoti ya CAG imeibua madudu mengi na ya kutisha kwenye wizara hizo lakini jambo la kushangaza Zitto ameshindwa kuchambua...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli Shujaa alifanya makosa kutomfunga Zitto Kabwe kwa makosa ya uchochezi aliyofanya. Kufuga wanafiki ni dhambi kubwa

    Mtu alipotosha hadharani kinyume na sheria ya takwimu na sheria ya cyber
  12. JackisonDubai

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, Mbowe, Lissu hamuioni ripoti ya CAG?

    Ni masaa sSasa yamepita toka report ya CAG isomwe mbele ya Rais na kuibua madudu kibao lakini mpaka Sasa wanaojiita wachambuzi na wapinga ufisadi wa Serikali ya awamu ya tano wako kimya. Twitter Zitto Kabwe yuko kimya kabisa au ndiyo kusema asali tamu sana?
  13. B

    JamiiForums Tanzania Zitto, ACT na wengine pana ka Ukweli hapa

    Mtu huvuna alichopanda: Ukipanda bangi huwezi kuvuna nyanya. Ni muhimu wanasiasa kujifunza umuhimu wa kutokuwakatisha tamaa wananchi ambao ndiyo mtaji wao. 'Ni wazi hili la kikosi kazi lilikwàza watu." Wanajitokeza vipi watu kwenye shughuli zenu kama pana mambo ya msingi tu mnayo wakwaza...
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wajirudi kuitambua TCD. Wamkubali Zitto

    Leo tarehe 28 Machi 2023, kikao cha wakuu wa vyama wanachama wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kilifanyika katika Hoteli ya Serena, Dar es Salaam. Kikao hicho kilikuwa na lengo la kujadili jinsi ya kuendeleza mageuzi ya kisiasa nchini. Katika kikao hicho, Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha...
  15. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Zitto kabwe na genge lako kama mnatuonea wivu na nyie ombeni asali mulambe. Mbona mnamsakama Mbowe?

  16. M

    JamiiForums Tanzania Nani anamlinda Zitto Kabwe? Kwanini hakamatwi na kushitakiwa pamoja na kueneza uongo na uchochezi?

    Aliwahi kutamka hadharani kuwa shamba lake la korosho na nyumba yake vilichomwa na serikali chini ya hayati JPM. Aliwahi kusema kuwa serikali imenunua ndege Mbovu na moja tu ndio inafanya kazi. Aliwahi kusema kuwa serikali ina njama za kumuua. Juzi katamka wazi kuwa serikali iliua viongozi wa...
  17. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Madai ya Zitto ya vijana wa Usalama wa Taifa kuua viongozi wa dini msikitini ni mazito sana. Ukweli ujulikane isijekuwa anataka sifa za kiha

    Hizi tuhuma ni nzito sana. 👇
  18. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Naona kuna Mkakati wa kum-underestimate Zitto Kabwe na ACT Wazalendo. Ni kama wamemdharau

    Why linapokuja suala kubwa la upinzani ni CCM na CHADEMA tu? ACT Wazalendo ni kama haipo kabisa. Lengo ni nini? Tunamuona Rais na Mbowe kila wakati. Wakizungumzia upinzani na siasa ni ccm na chadema tu. Je ni makusudi kumdogosha Zitto au zitto junior na akina Zitto wengine? Au bado zile pesa...
  19. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Haya anayofanya Freeman Mbowe ni unafiki mkubwa kuwahi kutokea. Angefanya Zitto Kabwe wa ACT moto ungewaka

    Kwakweli nimechoka na siasa za bongo. Miezi michache iliyopita Zitto Kabwe alikuwa anashambuliwa Kila Kona kwa sababu ya ruzuku. Wakamwita msaliti na matusi chungu nzima. Leo Chadema chini ya Freeman Mbowe wamechukua ruzuku na wamekausha kimyaaa. Unafiki! Miezi michache iliyopita...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Samahani Rais Mwinyi lakini kwenye hili umekosea

    Na Zitto Kabwe MAONI: Suala moja lililoibuliwa katika mikutano ya hadhara ya chama cha ACT Wazalendo inayoendelea katika visiwa vya Unguja na Pemba ni uendeshaji (ground handling) wa ‘Terminal 3’ katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar. Katika mkutano uliofanyika...
Back
Top Bottom