zitto

  1. M

    JamiiForums Tanzania Madai kwamba wachaga wamelitawala kanisa katoliki yapanguliwa kwa hoja. Hajaitwa mtu hadharani bali yapanguliwa kisomi

    Mwaka jana madai ya uchaga yaliibuliwa na gazeti la JAMVI LA HABARI likisema maaskofu wa kanisa katoliki huteuliwa kwa kufuata uchaga. Madai hayo haya hapa (bonyeza hapa) Mtakumbuka madai haya yaliingia hadi bungeni gazeti hili kujadiliwa. Jumatano iliyopita ina makala moja ya RAIA MWEMA...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ukuaji na ukomavu wa #MfumoMagufuli - mumeanza kuelewa?

    wakuu wanabodi nawasalimu. umepita muda kidogo sijashiriki mjadala humu lakini yote yako powa kabisa na sijatekwa kama wangine walivyodhani. tuko bize na safari ya kuhamia dodoma. miezi kama 6 hivi imepita niliandika mada kuhusu ujenzi wa #MfumoMagufuli au #MfumoJiwe. mada iko kwenye uzi huu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kinachoendelea ni dalili za kuwasili AMNESTY INTERNATIONAL

    Ghafla kumekuwa na wema kila kona. Siyo mahakamani, siyo majukwaani, Siyo makanisani kwa ujumla hizi wiki tatu ninaziita kisiwa cha amani. Sasa ni wema na kauli za wema na hotuba za ukarimu. Lakini kwa nini wema huu uje ghafla hizi wiki tatu. Hongereni JF mmejiuliza wengi kwa namna mbalimbali...
  4. E

    JamiiForums Tanzania TARURA na Yono auction mart wanataka kutudhulumu sisi wakusanyaji wa ushuru hapa Mbeya Mjini

    Kwanza nianze kwa kuwasalimu. Pili naomba hiki kilio kiwafikie mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mkurugenzi wa jiji la Mbeya, Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano na waziri wa Fedha na Mpango. Ni kuhusu sisi Wafanyakazi wa YONO AUCTION MART na TARUA hapa Mbeya. YONO AUCTION MART umeingia kama mkusanyaji wa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hivi na hili SUMATRA inalijua? Tuisaidie, pengine meno yataota

    1.Mabasi yanajaza kupita uwezo,ushahidi Upo, ni juzi tu nimesafiri kuelekea mbeya kwa basi mojawapo,wanaweka ndoo kibao. Traffic wanapewa chao mambo yanaenda kama kawaida 2. Kuna gari aina ya noa, zimebadilishwa na kuwa za abiria. Kiuhalisia ile gari ina capacity ya watu 8 ila inabeba 10...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kama tuhuma hii ni kweli, then this is The End of Zitto. Karma Ndio Itamaliza Kila Kitu!

    Wanabodi, Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "karma" ambayo ndio hukumu pekee ya haki hapa duniani!. Hii karma wakati wa kuhukumu, haina huruma kwa sababu hukumu zake ni za haki, unaweza kulipa mema, au kupigwa na mapigo ya kufidia uovu!. Karma ni powers of 'cause and effects' ambapo...
Back
Top Bottom