zitto

  1. R

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia Ackson azuia Mjadala wa Sakata la Bandari Bungeni, asema Bunge lilishatoa maamuzi

    Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amezuia mjadala wa sakata la bandari kuzungumzwa bungeni lakini akaruhusu kuwa litakapokuja kwa utaratibu mwingine wa kibunge itakuwa ruksa. Spika Dk Tulia ametoa kauli hiyo leo Jumanne Agosti 29,2023 muda mfupi baada ya kipindi cha maswali na majibu ya wabunge...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Sababu kwanini ACT Wazalendo hawazungumzii mkataba mbovu wa bandari

    Leo nilikuwa na kiongozi mmoja wa kitaifa wa ACT ambaye amenitonya haya kuhusu ukimya wao kuhusu issue ya makataba wa bandari na DP World. 1. Mapema June walikuwa na mikutano ya chama wakizinguka maeneo mbalimbali ya nchi. Ni katika kipindi hicho suala la bandari lilikuwa linaanza kushika...
  3. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Zitto amekuwa kimya? Haikupaswa iwe hivi

    Najiuliza sana huyu kijana alikuwa machachari sana kipindi cha JPM. Alikuwa hapitwi na jambo nliwahi kuamini kuwa siku za usoni atakuwa na mchango mkubwa sana. Toka miaka ile anakuzwa na Chadema. Kipindi cha Kikwete na Kikwete akimtumia vizuri pia katika hoja mbalimbali ambazo zilikuwa...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Zitto Kabwe ya kuunda Kampuni na kugawana mapato na DP World 50% kwa 50% ni ya kijinga!

    Nilimsikia Zitto Kabwe akipendekeza eti tuunde Local Company halafu tugawane mapato 50% kwa 50% na DP World ! Hivi uzwazwa huu Zitto Kabwe kausomea wapi hapa Duniani? Huwezi kujua equity yako kwenye investment mpaka kwanza ijulikane wewe umewekeza (nini) kwenye hiyo investment. Sasa sisi...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Zitto Zuberi Kabwe yuko wapi? Kweli akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki

    Nimeshangazwa na ukimya wa hali ya juu wa Zuber Zitto Kabwe mtu aliyesifika kupambani haki za Watanzania kwa ujumla wao. Walioko karibu na huyu Kiongozi wa ACT wazalendo watujulishe. Huko aliko yuko salama? DP world!
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zitto, Ludovic Utouh, Kipanya, Rosemary Mwakitwange, Aidan Eyakuze katika Mjadala wa Uwajibikaji na Bajeti ya 2023/24

    Leo Juni 19, 2023, Taasisi ya The Chanzo imeandaa tukio lilipewa jina la #TheChanzoSpecials, ambapo kunatarajiwa kuwa na mijadala mbalimbali itakayowakutanisha Wadau tofautitofauti. Tukio hili linalenga kujadili masuala matatu muhimu, kwanza tufanye nini ili kujenga tamaduni ya uwajibikaji...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Bajeti haijajibu changamoto za watu

    ACT Wazalendo wamefanya uchambuzi wa Bajeti Kuu iliyosomwa siku ya Alhamisi June 15, 2023, uchambuzi uliowasilishwa na Msemaji wa Sekta ya Fedha na Uchumi ACT Wazalendo Esther Thomas na Naibu wake Juma Hamad jana tarehe Juni 17, 2023. Wakati akihitimisha zoezi hilo Zitto Kabwe alisema hayo ndio...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Iundwe Kampuni ya Uendeshaji wa Bandari, TPA na DP World ziwe na Umiliki Sawa (50/50), Azimio sio Mkataba wa Uendeshaji

    Ameandika kupitia ukurasa wake wa Twitter, Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe "Azimio sio Mkataba wa uendeshaji (concession agreement) wala sio Mkataba wa Uwekezaji (HGA). Azimio la Bunge ni ruhusa tu ya kuanza kujadiliana hiyo mikataba mingine. Azimio hili litakufa kibudu pasipokuwa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Zitto tusaidie umeelewa nini pale Bungeni? Hiki ndicho ulichotegemea?

    Zitto Kabwe na chama chako ulikaa kimya kuhusu hoja ya bandari kwa madai kwamba unafurahia kuona hoja imepelekwa bungeni. Yamkini ungejielekeza kuchambua mapungufu unayodhani yapo ungewapa mwanga wabunge kuchangia ila uliamua kukaa kimya ukilisubiri bunge. Azimio limeshapita bila mabadiliko...
  10. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe atoa hoja nzito juu ya uwekezaji wa DP World Tanzania

    Nimesikiliza kwa makini sana alichozungumza Zitto Kabwe juu ya hili suala la DP World. Kwanza ningependa kumpongeza Zitto Kabwe kwa kazi nzuri sana anayoendelea kufanya, kwenye hili ametenda haki na ameonesha ukomavu wa hali juu kama kiongozi wa Chama cha Upinzani (ACT Wazalendo). Ameweza...
  11. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia anamwamini Freeman Mbowe kuliko Zitto Kabwe? Mbowe hajawahi kuwa na msimamo Mmoja!

    Nilishangaa sana na ninashangaa mpaka Leo mamlaka kumfanya Mbowe ni special opposition leader? Mbowe muda mwingi yupo ikulu tofauti na wapinzani wengine ..ninani alimuongopea rais amwamini Mbowe kuliko Zitto na wapinzani wengine? Mbowe hajawahi kueleweka na ndio maana Kuna panda shuka Kila mwaka...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Zitto unatuambia Mkataba unaenda Bunge gani?

    Zitto amegoma kukosoa content za mkataba alichoona yeye ni mjadala wa Bunge kwamba ndiyo mara Kwanza. Lakini hataki pia kutuambia kinachokwenda bungeni ni Muswada, sheria au mkataba. Anashindwa pia kutuambia kwanini Bungeni liende azimio na madhara ya kuazimia yanawezaje kubadili signature...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Bandari inauzwa kwa waarabu, Gesi LNG inauzwa kwa uingereza, Mbowe, Lissu, Zitto mko wapi kupaza sauti?

    Tumesikia ishu ya bandari kuuziwa mwarabu, mradi wa LNG nao mkataba wake haueleweki wa namna Tanzania itakavyonufaika, barabara ya kibaha moro dodoma kuendeshwa na mwekezaji na kulipiwa tozo kila ukipita, madudu yote yanaendelea lakini Zitto, MBowe na Lissu wako kimya kupaza sauti kuhusu ishu...
  14. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Rais Samia aondoe hati ya dharura kwenye Muswada wa Sheria ya Usalama wa Taifa, pia TISS ikaguliwe matumizi yake ya fedha

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akizungumza katika mkutano wa hadhara Ktavi, amesema; "Tulivyopata taarifa kuwa muswada wa sheria ya usalama wa Taifa umefichwa - fichwa tukasema, wametusikia na sasa wameuweka wazi kwamba sasa wataujadili.Hii ndiyo faida ya vyama vingi kwamba...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Maafisa usalama wa taifa wanalaumiwa kwa mambo mabaya. Wanaua , wanateka watu na kutesa watu

  16. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mikutano ya Act wazalendo sio kama ya Chadema na vyama vingine. Sisi tunaeleza kero na namna ya kutatua.

  17. M

    JamiiForums Tanzania 2025 Rais wetu ni Lissu. Mbowe ni sawa na Zitto, wote Mamluki

    Mbowe anazunguka na Chopper. Mbowe amepewa Landcruiser V8 mbili na Samia. Ana msafara wa V8 kumi nambili, Huku Makamu mwenyekiti wake anabaguliwa. Hana hata gari moja Nadhani ni dhahiri kwamba Samia anataka Mbowe agombee 2025 ili auze ushindi. Watanzania hawatakubali. Chadema siyo mali ya Mbowe...
  18. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe akitajwa kokote au akasifiwa, CHADEMA hukosa raha. Kwanini roho za kutu?

    Poleni kwa msiba wa Benard Membe na William Malchela. Najiuliza tu na kuwauliza tu kwamba kwanini Zitto Kabwe akitajwa na kusifiwa kwa jambo lolote hawa ndugu wa CHADEMA hukosa raha? Ni kwa sababu; (a) Walitegemea atakufa na kupotea kisiasa baada ya njama yao ya kumtimua CHADEMA? (b) Wanaona...
  19. Msanii

    JamiiForums Tanzania Kama mzee Makamba alirekebishwa kauli, kwanini kauli nzito ya Zitto dhidi ya TISS imebarikiwa?

    Jana katika ibada ya kumuaga mpendwa wetu Bernard Kamilius Membe pale Karimjee, watu mbakimbali walipata fursa ya kutoa maneno ya rambirambi kwa familia na jamaa wa Marehemu Membe. Kiongozi wa ACT Wazalendo alipata fursa ya kutoa rambirambi zake. Lakini ndani ya content aliyoisoma pale...
  20. comte

    JamiiForums Tanzania Zitto Watanzania hatujasau mlivyomtosa Membe kwenye Urais 2020

    Zitto akosoa wasifu wa Membe kuacha uanachama wake ACT-Wazalendo Kauli yake inakuja baada ya Mwenyekiti wa ACT – Wazalendo Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad kumuidhinisha Tundu Lissu (Chadema) kuwa mgombea wao wa urais wa Tanzania...
Back
Top Bottom