zitto

  1. Mayombya Jr

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Zitto Kabwe anauota urais wa Jamhuri ya Tanzania?

    Habari wana JF, Nimshauri ndugu Zitto Kabwe, kwamba raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wanahitaji zaidi kusikia habari zinazohusu katiba mpya na sio gonjera zake hizo. Wanasisasa wa nchii hii wabadilike, watangulize maslahi ya umma mbele kuliko kutanguliza maslahi yao binafsi...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania ZITTO: Lemma alilipwa fedha na mataifa ya kibeberu ili awe mkimbizi

    Mbivu na mbichi Sasa hadharani, kumbe hawa jamaa kulikuwa na mgao wa fedha waliopewa ili wawe wakimbizi! Nilishangaa Lemma eti naye mkimbizi, pengine Lissu yeye bado mkataba wake wa kuwa mkimbizi haujaisha mpaka sasa. Na Lemma alikuwa anagoma kurudi, bado yule Mzee wa maswali magumu
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe autaka Urais

    KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema dhamira yake kubwa ya kuwa kwenye ulingo wa siasa ni kuwa Rais wa Tanzania atakayeibadilisha nchi pale ilipo na kupiga hatua kubwa kimaendeleo. Zitto alitoa kauli hiyo jana Dar es Salaam alipohojiwa katika kipindi cha Super Breakfast...
  4. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Zitto zuber kabwe na chama chake ndie pekee ameonyesha ana hoja za msingi!! Wengine ni visirani na makelele TU !

    Tumeona uzinduzi wa kampeni za vyama pendwa vya siasa! Chadema wameanza ,wakaja cuf na kumalizia na act wazalendo!! Nilichojifunza ni kwamba act wazalendo wanakaa chini na kuandaa hotuba zao !! Utaona kuanzia msemaji wa kwanza mpaka wa mwisho hoja zao zimepangiliwa na zinaeleweka sana ! Zinagusa...
  5. saidoo25

    JamiiForums Tanzania MBOWE na ZITTO kwanini wameamua kuziacha hoja za wananchi mikutano ya hadhara

    MBOWE NA ZITTO KWANINI WAMEAMUA KUZIACHA HOJA ZA WANANCHI MIKUTANO YA HADHARA Nimefuatilia mikutano ya hadhara ya Chadema na ACT Wazalendo sijawasikia Mbowe wala Zitto wakizungumzia au wakipaza sauti zao juu ya mambo makubwa yanayolalamikiwa na wananchi. Mfano suala ulinzi wa rasilimali za...
  6. USSR

    JamiiForums Tanzania Zitto amsifia Hayati Magufuli kuleta nidhamu ya kazi kwa kipindi chake

    Mwangalie alivyomsifia kinafiki baada ya kubanwa maswali na wanahabari. Amekubali kuwa watanzania walitaka Rais dikteta tangu awali kutokana na ufisadi na uzembe kazini ila kwa unyonge sana. Zitto anaumia sana kuona watu hata hao wanahabari bado wanamuona Magufuli kama shujaa anakosa amani...
  7. Msanii

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ni mpinzani halisi mwenye contents. Tatizo wapinzani wanapingana

    NIlipata wasaa wa kumsikiliza Zitto kwenye mkutano wa hadhara kwanza wa ACT Wazalendo 2023 pale uwanja wa Zakhem Mbagala. Niseme kwa kukiri kwamba, kiongozi huyu ambaye ameanzia na kukulia Upinzani ana viwango vyote sahihi vya kuitwa mwanasiasa mwenye hoja. Katika kuunda hoja na kuzijengea...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Zitto hujawahi kuwa na siasa za engagement. Unatumika na CCM kuhujumu watanzania. Record zipo

    Tunajua unalipwa na CCM kuhujumu maisha ya watanzania. Ndio maana hata hko nyuma ulikamatwa live ukila milungula ili kuhujumu watanzania. Hutaki CCM iondoke madarakani Hizi porojo acha kutuletea 👇
  9. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ni kibaraka wa CCM kujinasibu kuwa ana mkakati wa kuwasaisldia watanzania ni utapeli wa kisiasa

    Kibaraka wa CCM aweze kuwasaidia watu dhidi ya CCM? Haiwezekani. 👇
  10. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe yuko wapi mjadala wa kitaifa wa Mfumko wa Bei na majibu ya Mwigulu?

    Zitto Kabwe ni moja ya wanasiasa wachambuzi wazuri wa Uchumi, kwenye hoja inayotikisa taifa kwa sasa ni Mfumko wa Bei za bidhaa na ugumu wa maisha hadi watu kushindia kukoroga uji kwa mujibu Dk Bashiru kwa kushindwa kununua unga wa ugali. Jambo la kusikitisha mjadala huu mpana unaogusa masilahi...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe kuachia Uongozi wa Chama (ACT Wazalendo) Machi 2024

    Zitto amesema kiongozi yeyote ambaye hatengenezi mrithi wake, basi huyo ni kiongozi ambaye amefeli. Anasema tayari chama chake kimetengeneza vijana wengi wenye uwezo wa kuongozi hata yeye asipokuwepo. “Muda wangu wa uongozi unakwisha Machi 30, 2024. Kama hatujengi watu wa kutosha, nani atakuja...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Zitto wewe ni kibaraka wa CCM, hakuna siasa mpya utakazowaletea Watanzania

    Eti kutatua kero za watanzania. Mpyu.... 👇
  13. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Zitto acha kutafuta kiki, mbona hukushitaki hao washirika wako CCM leo unashoboka?

  14. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe na Mbowe wanaharibu maisha ya watanzania kwa kutanguliza matumbo yao na kufanya siasa za kihuni

    Taifa lolote ili liweze kuendelea lazima liwe na upinzani madhubuti. Upinzani madhubuti utairekebisha serikali inayotawala pale inapokosea na kukandamiza wanaotawaliwa. Eti maridhiano! Maridhiano wakati wananchi wanaishi maisha magumu? Tozo,kodi na gharama za maisha juu. Ni tatizo...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Natamani vijana wa CHADEMA wajifunze kwa Zitto

    Nikiangalia fact anazoongea Zitto Kabwe natamani vijana wa CHADEMA wangejifunza kwa Zitto siasa ingeimarika sana nimemsikia leo akisema, "Wanasiasa tusijenge mazingira ambayo yataturejesha kule ambako kulipelekea mikutano kuzuiwa, tufanye siasa ambazo zitaweza kupeleka nchi yetu mbele." Zitto...
  16. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Rais Samia ametembea kwenye maneno yake, haikuwa rahisi

    Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuzungumza na viongozi wa vyama vya siasa leo Januari 3, 2022, (Rais Samia: Vyama vya siasa ruksa kufanya Mikutano ya hadhara ) kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametoa neno: "Wakati Rais Samia anakula kiapo kwa mara ya kwanza aliahidi kukutana na...
  17. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nimeufunga mwaka 2022 kwa kupokea zawadi nzuri na tamu kutoka kwa Zitto Zuberi Kabwe. Mitandao ya kijamii itumiwe vyema

    Nianze Kwa kuusema ukweli, Nimewai kupata zawadi nyingi sana Mosi ni uhai kutoka Kwa Mwenyezi Mungu. Pili ni zawadi ya Elimu kutoka msingi mpaka Chuo kikuu namshukuru sana Mama yangu Mzazi. Zawadi ya Tatu ni penzi Tamu kutoka kwa Mke wangu mpenzi (likivurugika naweza kuwa mwehu Bure). Zawadi...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali na Zitto warudishana Mahakamani tena kwa kesi ya CAG Prof. Assad

    Wakati Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe akijiandaa kukata rufaa kupinga sehemu ya hukumu ya kesi ya kikatiba ya utumishi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), Serikali imemtangulia na kuweka kusudio la kukata rufaa. Mahakama Kuu katika hukumu yake ya Desemba 5, mwaka huu chini ya...
  19. comte

    JamiiForums Tanzania Zitto sawa wahudumu walifungua mlango, je waliwapa abiria wao maboya?

    Kwa wanaijua na waliowahi kusafari na ndege watakubaliana na ukweli kuwa milango ya ndege inaweza kufunguliwa na mtu akiwa ama nje ya ndege au ndani ya ndege. Wahudumu wa ndege wamefundishwa kufanya kazi hiyo wakati wa kawaida, dharura na hatari. Kumekuwa na mabishano yasiyo na tija na...
  20. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kuna Mvutano Mkubwa kati ya Wakulima na wafugaji Mkoani Lindi na Tunduru

    Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kuwa kuna mvutano mkubwa baina ya wakulima na wafugaji mkoani Lindi na Wilaya ya Tunduru kwa kile alichobainisha kuwa ni kukosekana kwa mipango ya matumizi sahihi ya ardhi kama ilivyokusudiwa. Kupitia chapisho lake aliloweka kwenye...
Back
Top Bottom