zitto

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mwambieni Waziri Mkuu "Watu wake hawawezi kumpenda kama wana hofu ya kupigwa na kutekwa"

    “Najua kuna Maafisa wa Usalama wa Taifa hapa kwenye Mkutano wetu Ruangwa, nawatuma wakamwambie Waziri Mkuu kuwa Zitto anasema maliza hofu Ruangwa. “Watu wako hawawezi kukupenda kama wana hofu ya kupigwa na kutekwa kwa sababu tu wako vyama tofauti na wewe,” - Zitto Kabwe akiwa Jimbo la Ruangwa...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zitto: Vikao na Wanachama wataamua tubaki au tutoke SUK

    Kauli ya Zitto imetokana Rais Mwinyi kumteua Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), ambapo chama hicho kinapinga kwa madai alihsika kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020. Kiongozi huyo wa ACT Wazalendo, amesema kabla ya kuingia Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) walienda kwa wanachama na...
  3. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Rais Mwinyi ameteua mtu aliyevuruga uchaguzi wa 2020

    "Suala la Rais Mwinyi kumteua mtu aliyehusika kuvuruga uchaguzi wa 2020 kuwa Mkurugenzi wa ZEC, HALIKUBALIKI. Tumeamua kurudi chini kwa Wanachama wetu. Ni wao waliotaka tuingie kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa, wao pia ndio watakao amua hili," kauli ya Zitto Kabwe akiwa Kata ya Mchoteka...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Zitto Kabwe wazuiwa Tunduru

    Jeshi la Polisi Wilaya Tunduru limezuia msafara wa Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe likidai hawana taarifa ya ziara hiyo. Kiongozi huyo wa upinzani ambaye yuko kwenye ziara ya ujenzi wa chama mikoa ya Kusini msafara wake ulizuiwa ukitokea kata ya Namwinyu kwenda Kijiji cha...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi wavamia ufunguzi wa Tawi la ACT Wazalendo ukiongozwa na Zitto Kabwe

    Polisi Wilaya ya Tunduru wamevamia shughuhuli ya Ufunguzi wa Tawi la Chama cha ACT Wazalendo katika kijiji cha Namwinyu, Jimbo la Tunduru Kaskazini. Ufunguzi huo wa Tawi ni sehemu ya ziara ya Kiongozi wa chama, Zitto Kabwe katika Mikoa mitatu ya Kusini.
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Teuzi za Rais Mwinyi zaanza kuivuruga ACT Wazalendo, Zitto apinga wazi

    Hatua ya Rais Hussein Mwinyi kumteua Thabit Idarous Faina kuwa mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ambayo ilikosolewa na Chama cha ACT Wazalendo kilichopendekeza asiapishwe, imekichanganya kiasi cha kuitisha mkutano wa dharura kujadili hatua za kuchukua. Kikubwa kinacholalamikiwa na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Trilioni 1.5 Bwawa la Nyerere mbona Zitto Kabwe uko kimya kulikoni?

    BUNGE jana limeibua Kashfa ya upigaji wa zaidi ya trilioni 1.5 kwenye mradi wa bwawa la nyerere lakini tangu jana tuhuma hizo zimeibuliwa bungeni na mbunge wa kisesa, luhaga mpina nilitegemea zito kabwe ungetoa tamko juu ya suala hilo. Ukimya wa Zitto Kabwe kwenye mambo mazito kama haya...
  8. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kwa hoja hizi Zitto hafai kuwa kiongozi ACT.

    Sifa mojawapo ya kuwa kiongozi wa umma ni kuwa na maadili yanayokubalika kwa wananchi. Kiongozi wa chama cha siasa ni yule mtu anayesimama mbele kwa niaba ya chama chake kwenye maslahi ya wananchi wote bila ya kujali kama ni wanachama wake ama la. Kama kiongozi anaona kuawa kwa watu ni jambo...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Zitto hana chama, chama ni cha Wapemba na wafuasi wa Maalimu Seif

    ACT - Wazalendo haina wanachama wala jengo la ofisi inalomiliki Bara. ACT inategemea nguvu ya wanachama kutoka Zanzibar wengi wakiwa ni wale waliokuwa wafuasi wa CUF- Maalimu Seif. ACT -Wazalendo haina Jengo la Chama kwa maana ya umiliki, jengo walilopewa na Maalimu Seif Foundation ni lile...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Zitto: Kama hatuwezi kujenga ofisi yetu wenyewe tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma?

    Hii ni kupigana midongo ya nguvu "Kama hatuwezi kujenga Ofisi yetu wenyewe, tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma na Vituo vya Afya vya kina mama zetu kujifungua kwa stara? Tutaweza kupambana na janga la umasikini wa watu wetu na kutengeneza uchumi unaozalisha ajira kwa vijana wetu?" 👇
  11. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Natamani Maalim Seif angekuwepo

    “Tangu asubuhi nimeamka taswira ya maalimu Seif inanijia na natamani leo angekuwepo hapa katika uzinduzi huu na naamini huko aliko anatabasamu na mwenyezimungu aendeleee kumuweka mahala pema peponi” - @zittokabwe , Kiongozi wa Chama ACT Wazalendo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Zitto na vijana wako acheni kuwananga CHADEMA kisa tu kufungua ofisi ya makao makuu

  13. M

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Tutaanza kufanyia kazi nyumbani, siyo kwenye jengo la kupanga

    Hawa vijana waliowahi kujiteka wanamatatizo sana. 👇
  14. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ni genius apewe heshima yake, ninyi Ufipa mtujibu kwanza maswali yetu haya

    zitto kabwe ni mwanaume kwelikweli .anahimili vishindo vyote ! Amepitia majaribio mengi ya hatari lakini hutamuona amepanikii !Pale mnaposema tumemmaliza mnajaribu kuweka sherehe mtakuta asubuhi yupo ! Anazijua siasa za ushindani ,Hana mihemuko Anaimalisha chama chake kimkakati.jembe...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ameusemea mkoa wa Kigoma kama nani? Au kasukumwa na uchawa pamoja na uCCM B?

    Mnisaidie ndugu wanaJF kulidadavua suala hili. Zitto Kabwe ni mwenyeji wa Ujiji Kigoma. Na amewahi kuwa mbunge wa huko. 2015 alihamia Jimbo la Kigoma Mjini, na kuwa mbunge wa Jimbo hilo mpk 2020 ambapo uchafuzi ulimfanya ashindwe kutetea nafasi yake. Hivi sasa Zitto Kabwe siyo mbunge, bali ni...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani mjifunze kwa Zitto Kabwe

    ZITTO KABWE anafaa kua mfano kwa viongozi wengi wa vyama vya siasa maana anajua maana halisi ya upinzania, Upinzani haina maana upinge kila kitu bali ni kupinga yasiyofaa na yanayofaa kuyaunga mkono lakini wapinzani wengine wao wanapinga kila kitu kinachokuja mbele yao. Leo katika ziara ya...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Duka la "Plea Bargain" lafungwa, Waliochukuliwa fedha zao waitwa kuhojiwa, uchunguzi waanza

    Serikali imeanza uchunguzi wa ukwapuaji wa mabilioni ya shilingi uliofanywa na Serikali ya Rais John Magufuli, kupitia alichoita, “Sheria ya Plea Bargain," Raia Mwema imeelezwa. Taarifa kutoka serikalini na baadhi ya watu walioswekwa magerezani na kutolewa kwa utaratibu huo, zinaeleza kuwa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Zitto alalamika kundi la Magufuli ndani ya CCM kuihujumu maridhiano na kuinyima ACT mbunge EALA

    Kama mnavyojua kulifanyika uchaguzi wa wabunge la Africa Mashariki na ACT kuwa na mgombea wao ambaye alikuwa Addo Shaibu Cha kushangaza ni kuwa wabunge wa CCM walimtosa Addo, ambaye ni Katibu Mkuu wa ACT na kumchagua mgombea wa CUF Imefichuliwa kuwa huo ulikuwa ni Mpango wa wabunge wahafidhina...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe yupo Lyv Ukraine anafanya nini huko wakati kuna vita? Nani anadhamini safari yake?

    Huyu kiongozi wa ACT Wazalendo mbona hasomeki?
  20. Jackbauer

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe atua Ukraine akiwa na Bobi Wine

    Kiongozi Mkuu wa ACT wazalendo akiambatana na Boby wine akiwa na Meya wa Mji wa Lyviv -UKRAINE. SWALI MUHIMU: msimamo wa ACT katika vita vya UKRAINE Unaegamia mrengo upi? CC; Pascal Mayalla Infantry Soldier Yericko Nyerere
Back
Top Bottom