Zitto kuandika barua Benki ya Dunia siyo kosa ndiyo, ila kosa ni kutumia nembo ya Bunge kuiandikia Benki ya Dunia, na kusaini barua kama Mbunge wa JMT, wakati Bunge halikuwa na taarifa rasmi kuhusiana na barua yake hiyo.
Zitto alitakiwa aandike barua hiyo kama Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo...