zitto

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mzee Lowassa alisafishwa lini na Zitto alisamehewa lini?

    Amani kwenu, Leo sina mambo mengi sana, nina mambo mawili. Kwanza ni ombi Pili ni hoja ya leo ambayo kimsingi ni msisitizo wa maswali yangu yaliyokosa majibu kwenye uzi wangu wenye kichwa cha habari "wapinzani Msitufokee Watanzania Sio Wasahaulifu Kiasi Hicho". Ombi langu ni kuwa wachangiaji...
  2. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto mnafiki na ataenda motoni kwa kuwafanyia wenzake Huu Uhuni. Membe akija pata akili patachimbika

    Mwaka 2015 alimdanganya mama Anna Ngwila agombee yeye akakaa pembeni kucheck movie ya Ugombea. Lengo ajenge chama kwanza.halafu ajiwekee nafasi huko mbeleni. This time wameenda mdanganya Membe Bernard. Mgombea asiye na mvuto kuwahi kuja kutokea katika vyama vyenye wafuasi zaidi ya mil 1...
  3. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto Kabwe: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikiwaengua wagombea wa upinzani kwenye Urais & Ubunge kwa sababu za kubumba, Hapatakuwa na Uchaguzi

    Zitto kaandika kupitia ukurasa wake wa Twitter. NEC wachukue tahadhari sana wasifanye huu upuuzi ambao haujawahi kufanywa katika uchanguzi wowote mkuu huko nyuma tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Kwa muktadha wa hii tweet ya Zitto Kabwe, NEC ikifanya hivyo inaweza kulipasua taifa vibaya sana!
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto usijidanganye, Membe kaja ACT-Wazalendo kutafuta Urais siyo kumuunga mkono Tundu Lissu

    Dhambi nyingine ni za kujitakia tu, KC Zitto unaamini kabisa BKM amekuja ACT wazalendo ili amuunge mkono mgombea wa CHADEMA? Hiyo unaweza kuwadanganya watoto wadogo lakini sisi tulioshiriki uchaguzi mkuu wa mwaka 1985 kamwe huwezi kutulaghai, tunakumbuka mzee ruksa alivyokomaa na kutinga...
  5. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

    Leo Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bernard Membe, watapokelewa asubuhi hii na Wazanzibar wa Unguja. Matukio mbalimbali na picha za mapokezi tutawawekea hapa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Zitto ulitumia nguvu kubwa kwenye kupinga juhudi za Serikali kwenye mapambano dhidi ya Corona. Sasa iambie dunia kuwa Tanzania sasa ni salama

    Kati ya watu wachache waliotumia nguvu kubwa sana kuzibeza juhudi zilizochukuliwa na serikali ya awamu ya tano, pamoja na wataalam wetu wa ndani katika kupambana na Ugonjwa wa Corona (COVID-19), ni ndugu yetu Zitto Kabwe. Huyu bwana kwake hakukuwa na jema lolote lililofanywa na serikali, kwani...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Zitto ulitumia nguvu kubwa kwenye kupinga juhudi za serikali kwenye mapambano dhidi ya Corona, sasa tumia ile ile pia kuiambia dunia kuwa Tanzania sa

    Kati ya watu wachache waliotumia nguvu kubwa sana kuzibeza juhudi zilizochukuliwa na serikali ya awamu ya tano, pamoja na wataalam wetu wa ndani katika kupambana na Ugonjwa wa Corona (COVID-19), ni ndugu yetu Zitto Kabwe. Huyu bwana kwake hakukuwa na jema lolote lililofanywa na serikali, kwani...
  8. The Boss

    JamiiForums Tanzania Zitto na ACT-Wazalendo na CHADEMA kwanini mko kimya kwa haya?

    Kuna kauli zinatoka na zinahitaji kuungwa Mkono na kila mtu au kupingwa na kila mtu. Binafsi niliposikia Magufuli anasema uchaguzi wa kura za maoni CCM uwe huru na wazi nikaona hii kauli ya kuungwa mkono na kila mtu. Na vyama vya upinzani pia viunge kwa vitendo na kwa maneno kauli hii. La...
  9. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Zitto: CHADEMA walifanya makosa haya ndiyo maana Lowassa akawakimbia, sisi hatutayafanya kwa Membe

    Nimemsikiliza Zitto na sababu yake/ zake kwanini suala la Membe kuhamia kwenye chama chake halitokuwa kama ilivyokuwa kwa CHADEMA na Lowassa na Sumaye na wengineo. Sababu zake kuu ni kwamba hao waliohamia CHADEMA kipindi kile hawakujiona au hawakuonekana kuwa ni sehemu ya ‘movement’. Pia, eti...
  10. puza46b

    JamiiForums Tanzania Zitto anajua nini anafanya

    ZITTO ANAJUA NINI ANAFANYA. Mbowe alipompeleka Lowasa CHADEMA (inasadikika kidikteta) alisema wamebadilisha gia angani. Mbowe alikuwa anaamini Lowasa atashinda uchaguzi, alitegemea kuwa ile mitandao ya Lowasa italinda kura na CHADEMA kitashika madaraka. Baada ya matokeo ya uchaguzi (inasadikika...
  11. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe rasmi ACT Wazalendo, kutambulishwa kesho

    Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe katika ukurasa wake wa Twitter amepakia picha akiwa anatabasamu huku akiwa ameshika Katiba ya chama cha ACT Wazalendo . Je, inaashiria kwamba amehamia katika chama hiki? Ikumbukwe Membe amefukuzwa kwenye chama cha...
  12. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto 2015 ulikataa UKAWA, why leo utake Coalition?

    Zitto Kabwe ni Mwanasiasa mnafiki, mbinafsi, mwongo na mtu wa kumuogopa kama ukoma. Mara zote amekuwa akilenga mambo yanayompa maslahi binafsi na si umma mkubwa wa Watanzania. Mwaka 2015 wakati Watanzania tukitaka mabadiliko ya kweli, na kuunda Coalition ya UKAWA Zitto alikuwa kinyume chetu...
  13. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Picha: Benard Membe akiwa na viongozi wakuu wa ACT-Wazalendo

    Muda wowote kutokea sasa Membe atatangaza kujiunga na ACT Wazalendo. Huu utakuwa ni ushindi kwa Zitto Kabwe maana amekuwa akimuomba sana Membe kujiunga ACT.
  14. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania Majibu ya David Kafulila kwa Zitto Zuberi Kabwe kuhusu uchumi wa kati

    Julai1, 2020 ni tarehe itakayobaki kwenye kumbukumbu kama siku ya kwanza ya kuanza kwa utekelezaji wa Bajeti ya tano na ya mwisho ya kumalizia miaka 5 ya kwanza ya awamu ya tano. Siku ambayo Benki ya dunia ilitambua Tanzania kuwa nchi ya Uchumi wa kati, ikiwa ni miaka5 kabla ya kufikia mwaka...
  15. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe na Tundu Lissu katika utimilifu wa dhana ya "House nigger"

    ZITTO KABWE NA TUNDU LISSU KATIKA UTIMILIFU WA DHANA YA "HOUSE NIGGER". Leo 13:15pm 04/07/2020 Tunaye Jemedari makini,Rais John Magufuli ambae ameifanya Tanzania kuhisi kama mahala tofauti na ilipokuwa muda mfupi uliyopita,Sasa Tanzania ni Taifa kubwa lenye nguvu kiuchumi,Sasa Tanzania ni...
  16. Zitto

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanaishi Nchi ya Uchumi wa Kati?

    Watanzania wanaishi Nchi ya Uchumi wa Kati? Tangu jana nimeona shamrashamra kubwa kuhusu kinachoitwa mafanikio ya Tanzania kuwa nchi ya Uchumi wa Kati. Kuingia Uchumi wa Kati ni hatua nzuri lakini inayohitaji ufafanuzi wa kiuongozi. Hatua hii ikifanyiwa propaganda itaonekana kuwa Serikali ya...
  17. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe aripoti polisi Lindi, atakiwa kurejea tarehe 20 Julai

    Leo tarehe 01 Julai 2020, Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto Kabwe na viongozi 7 wa Chama wameripoti Kituo Kikuu cha Polisi Lindi kama walivyohitajika. Kiongozi wa Chama na viongozi hao pamoja na Mbunge wa Kilwa Kusini aliyemaliza muda wake Ndugu Suleiman Bungara walikamatwa na...
  18. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Zitto: Membe karibu upinzani

    Na Mwandishi Wetu, Kilwa Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema sasa ni wakati mwafaka kwa Benard Membe kujiunga na upinzani rasmi hapa nchini. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kilwa, Zitto alisema mwanasiasa huyo aliyewahi kuwa mbunge na waziri wa wizara...
  19. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania RC Makonda kumpiga marufuku Zitto Kabwe kuita waandishi ili kuzungumzia suala lolote la Jiji la Dar

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amempa masharti Zitto kufuatana naye kwenye ziara za kukagua miradi iliyojengwa na Serikali ya awamu ya tano mkoani humo vinginevyo atampiga marufuku kuita vyombo vya habari kuzungumzia jambo lolote linalohusu mkoa wa Dar es salaam
  20. technically

    JamiiForums Tanzania Wazee Kigoma: Askari aliyemkamata Zitto kama Jambazi aombe radhi lasivyo kukiona

    Wanasema Zitto sio jambazi na mwizi kushikiliwa vile kama alivyofanyiwa na askari aliyemkamata hawaamini kwanini alimuharasi kiasi kile. Wanasema Zitto ajavunja sheria yeyote na mikutano ya ndani haijakatazwa mpaka mtu akamatwe kama jambazi wazee wanasema wanampa muda yule askari aombe radhi.
Back
Top Bottom