zitto

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe -CHADEMA na Zitto-ACT- mnakwenda kwenye uchaguzi kupata nini?

    Mmesema ngombe atachunjwa alvyolala CHADEMA. ACT mnasema mtakwenda hivyo hivyo. mnaona yanayoendelea . Tanzania Daima limefugiwa, watashindwaje kuwapiga mabomu wakamtangaza wanayempenda hata mkikusanyika kwa maelefu, mamilioni! Wafuasi wenu watahimili mabomu? Risasi? Kama wamediriki kulifuta...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Lindi: Zitto Kabwe na Sulemani Bungara (Bwege) wakamatwa na Polisi

    Polisi wa Wilaya ya Kilwa Mkoa wa Lindi wamemkamata Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo ndugu Zitto Kabwe Pamoja na baadhi ya viongozi wengine wakati wakiwa wanaendesha kikao cha ndani cha kukaribisha Madiwani wapya. --- Kwa mujibu wa Chama cha ACT Wazalendo kupitia mtandao wa Twitter...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Zitto ukifumua bajeti hii januari kumbuka na hili la wafanyakazi

    Wakati wa Kampeni zako weka wazi kuwa Chama chenu au kama mtaunda Coalition ya Upinzani madhubuti na mkashinda basi kwenye Bajeti mtakayoifumua mtakumbka kupandisha mishahara ya wafanyakazi iMwezi huo huo Januari ili kuwapunguzi machungu waliyonayo. Msimung'unye maneno wekeni wazi wazi kuwa...
  4. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ni aibu na unafiki mkubwa wa Kidiplomasia tunaacha kuipigia kura Kenya mwana jumuiya mwenzetu wa EAC na kuipa Djibouti kura ya UN kupata kiti

    Sitaki kuamini kama ni kweli Tanzania @foreigntanzania imeipigia kura Nchi ya Djibouti dhidi ya Nchi mwanachama wa EAC Jumuiya Jamhuri ya Kenya. Kenya ni chaguo la AU @_AfricanUnion iweje Tanzania ikengeuke? Serikali inapaswa kutoa maelezo ya kina kuhusu hili. Ni tatizo kubwa
  5. J

    JamiiForums Tanzania Bulembo: Sina mkwe anayeitwa Zitto, wao wanafanya starehe zao vichakani hawezi kuwa mkwe wangu!

    Mbunge wa kuteuliwa mstaafu alhaj Bulembo amesema hana mkwe anayeitwa Zitto na kwamba " wao" wanafanya starehe zao vichakani hivyo hawezi kuwa mkwe katika familia yake. Alhaj Bulembo alikuwa akijibu swali la mtangazaji wa Clouds 360 aliyetaka kujua kama Halima Bulembo ni mke wa Zitto na...
  6. RAKI BIG

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ninasubiri kwa hamu siku 70 za kampeni, kuna takwimu za uongo tumepewa

    Aliyekuwa mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe, amesema taarifa ya serikali ndio silaha ya kubomoa hoja zote zenye matege za serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Zitto ambaye ni kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo amesema watawakaanga kwa mafuta yao wenyewe. “Ninasubiri kwa hamu sana siku 70...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Bunge linavunjwa NCCR Mageuzi ikiwa na wabunge 5 na ACT Wazalendo wabunge 2 Zitto na Bwege, CHADEMA na CUF wapoteana.

    Bunge linavunjwa huku vyama vya CCM, NCCR na ACT wazalendo vikifaidika kwa kuvuna wanachama wapya miongoni mwa wabunge na CHADEMA na CUF vikipoteza. Hongereni Mbatia na Zitto na Spika Ndugai Poleni Mbowe na Magdalena Sakaya. Maendeleo hayana Vyama
  8. B

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe 'azitoboa' bajeti 5 za serikali ya CCM Mpya

    June 14 2020 Source : Wazalendo TV KIONGOZI wa chama cha siasa cha ACT- Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, amekosoa Bajeti kuu ya serikali na kusema, kila bajeti inapaswa kutafsiri maono, malengo na shabaha, ambazo hazijawahi kuonekana tangu Rais John Magufuli, kuingia madarakani.” Akizungumza...
  9. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Sakata la Kuvurugwa Soko la Korosho: Zitto Kabwe aibua maswali mazito dhidi ya serikali.. Adai mahesabu yanagoma!

    Leo katika uchambuzi wake wa hotuba ya bajeti ya serekali iliyowasilishwa juzi bungeni, Mh Zitto Kabwe ameibua maswali vigongo ambayo yanahitaji majawabu ya uhakika kutoka serekalini. Zitto amesema mahesabu yanakataa. Hata mimi naafikiana naye.... mahesabu yanagoma kabisa! Pitia presentation...
  10. S

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU tunaomba mtupe "feedback" ya kumuhoji Zitto juu ya kashfa Leganga na Mchuchuma aliyoibua

    Nakumbuka kati ya mwaka 2017 au 2018,Zitto aliibua tuhuma kuhusu machimbo ya madini ya chuma ya Leganga na Mchuchuma tuhuma ambazo zilipelekea aitwe TAKUKURU kwa mahojiano, ila tangu ahojiwe hatujawahi kupewa mrejesho. Cha kujiuliza hapa ni je,kama tuhuma zile zingekuwa za uongo, Zitto...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Madai ya Zitto kukutana na Balozi wa Uingereza; Msajili wa Vyama vya Siasa awaandikia barua ACT-Wazalendo akitaka wajieleze

    Baada ya Gazeti la Jamvi la Habari kuandika habari iliyodai Zitto alikutana na Balozi wa Uingereza nyumbani kwa Balozi huyo,kuna barua mitandaoni(twitter) inayodaiwa kuwa ni ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini akiwaandikia barua ACT-Wazalendo akitaka wajieleze. Kulingana na barua hiyo,Msajili...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Silinde na Lijualikali jifunzeni kwa Zitto

    Zitto alikuwa ni one of the Big Guns za CHADEMA, yaani kwenye top 3 unamkuta Mbowe, Slaa na Zitto; kipindi hicho hawa wengine kama kina Lissu, Lema na wengineo hawajaibuka kiivo, Kiufupi alikuwa moja kati ya Pillars za chama alipofutiwa uanachama Zitto aliendelea kuwa muungwana sana kwa namna...
  13. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Zitto, hili swali lako ni zuri sana - lakini umeliuliza ukihitaji nani haswa alete ufumbuzi wake?

    Hapa chini ni swali ambalo Mh Zitto Kabwe ameuliza kupitia ukurasa wake wa Twitter. Sina uhakika amelilenga kwa nani lakini binafsi naona si sahihi kwa ACT, Chadema na/au vyama vingine serious vya upinzani kuuliza swali hili in the first place. In fact, ni sisi wananchi ndiyo ambao kwa miaka...
  14. CCM MKAMBARANI

    JamiiForums Tanzania Mkambarani-Morogoro: Wizi, hujuma na ufisadi usiochukuliwa hatua na viongozi kuhusu mradi wa maji

    Habari zenu wakuu wangu?.(Mh.Lowata Ole Sanale- Mkuu wa mkoa),Mh.Regina Chonjo-Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Katibu Mkuu wizara ya Maji Mh.Kitila Mkumbo na wote mnaohusika bila kuwasahau Wana-JF mtakaounga mkono uzi na andiko hili muhimu. Bila shaka ni wazima wa Afya Kuhusiana na kichwa cha...
  15. mfianchi

    JamiiForums Tanzania Zitto na Lissu mko wapi kulaani yanayotokea huko Marekani

    Nilidhani ''watetezi wa haki za binadamu'' wangekuwa mstari wa mbele kulaani yanayotokea Marekani ,bahati mbaya hawayaoni hayo,kisa ni baba yao ndio anayafanya hayo''mazuri'' hayo yangefanyika Tanzania basi ungewasikia Zitto,Lissu,Fatuma na Maria wanaitisha press conference na kulaani kwa nguvu...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamtia hatiani Zitto Kabwe katika kesi yake ya Uchochezi. Atakiwa kutotoa matamshi ya Uchochezi kwa mwaka 1. Asema kukata Rufaa

    Leo ikiwa ni siku ya Hukumu ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Waandishi wenye Press Cards wamekataliwa kuingia kusikiliza hukumu ya Zitto kwa maelezo kwamba si waandishi wa Mahakama. UPDATE Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto ameachiwa huru kwa sharti kwamba asitoe matamshi ya uchochezi...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Angalia: Zitto na dadaye, Lissu na dadaye, Ndesa na mwanawe, Dr Slaa na mkewe, Ndesa na mkwewe. Je, Viti Maalumu CHADEMA huzingatia mahusiano?

    Najaribu tu kuwakumbusha wale wanaomwandama Mbowe kwamba aliwanyanyasa kijinsia baadhi ya wabunge wa viti maalumu Chadema. Kiukweli mnamuonea bure kabisa mwenyekiti. Utaratibu wa kuwapata wabunge wa viti maalumu umekuwa na sintofahamu tokea chama hicho kiasisiwe. Nitoe mifano michache ya...
  18. Zitto

    JamiiForums Tanzania Korona: Watanzania Tujilinde, Serikali inajali Uchumi kuliko Uhai wenu - Zitto

    KORONA: HATUA ZA SERIKALI NA UMUHIMU WA KUJILINDA WENYEWE UTANGULIZI Ndugu wananchi wenzangu, Kama mnavyofahamu, sisi ACT Wazalendo tumekuwa tukiuchukulia kwa uzito wa juu kabisa ugonjwa wa Virusi vya Korona (Covid 19). Sio tu kwa sababu tunaamini kwamba ugonjwa huu kama janga la dunia...
  19. J

    JamiiForums Tanzania David Silinde: Nilivutiwa sana na aina ya siasa za Dkt. Slaa na Zitto Kabwe ndipo nikajiunga CHADEMA

    Mbunge wa Momba mh David Silinde yuko mubashara Star tv katika kipindi cha medani za siasa akizungumzia sintofahamu ya uanachama wake ndani ya Chadema. Up dates; Silinde amesema yeye siyo mwanaharakati hata Mbowe analijua hilo na kwamba yeye na Zitto ni marafiki lakini baadhi ya viongozi...
  20. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Zitto: Serikali imepika data ili kupata fedha kutoka IMF

    Kwenye website ya IMF Tanzania Jana imeupdate taarifa yake lakini inaonekana kama imepikwa kwa sababu hakuna serikali imefanya kwenye kuhakikisha uchumi hautetereki hasa kwenye SME. Angalia nakala ambatanishwa. TANZANIA Background. Tanzania has reported 480 positive cases, and 16 deaths of...
Back
Top Bottom