zitto

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe adai barua yake kwa Benki ya Dunia inapotoshwa. Asema hajazuia mkopo kwa Tanzania bali amewatetea watoto wanaopata ujauzito wakiwa shuleni

    Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo), amedai kuna upotoshaji kuhusu barua aliyoiandikia uongozi wa Benki ya Dunia (WB) kuhusu mkopo wa Dola za Marekani milioni 500 ambao Tanzania imeomba kwa benki hiyo. Akiwa mjini Toronto, Canada juzi, Zitto alidai si lengo lake kuzuia misaada...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Rwakatare hajashangilia Zitto kuuawa acheni kumzushia

    Baadhi ya waumini wa Mikocheni " B" Assemblies of god wamesema Mchungaji wao Askofu Rwakatare hajawahi kuingia bungeni hivyo madai ya kushangilia mbunge wa Kigoma mjini auawe ni uzushi. Waumini hao wamesema kuna tofauti kubwa kati ya Mchungaji Rwakatare na mbunge Rwakatare japokuwa ni mtu yule...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kisa cha mtoto wa shehe na paka; Bulembo, Mama Lwakatare na Zitto; Mdomo huumba na mdomo uliponza kichwa

    Wakati tunasoma shule alikuwepo mtoto mmoja baba yake alikuwa Shehe. Mtoto yule Kuna siku aligombana na sisi wanafunzi wenzake wote bwenini. Kwa bahati mbaya Sana alitutishia kwamba baba yake ni Shehe na anafuga majini hivyo usiku atakuja kwa njia ya paka akiwa Kama jini. Basi sisi tulilala...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Zitto calls on the international community to use its influence to help Tanzanians have a free and fair elections

    By : Zitto Zubeir Kabwe For generations, Tanzania has been a beacon of peace and stability in a region characterised by civil unrest. It has stood out as a wise kid among more restless neighbours. In 1979, for instance, the town of Moshi hosted critical Ugandan talks that led to elections in...
  5. J

    JamiiForums Tanzania RAS mpya wa Mwanza yawezekana ndiye Mbunge mtarajiwa wa Kigoma mjini atakayemrithi Zitto Kabwe

    Kama ilivyokuwa kwa Harmonize yawezekana kabisa huyu RAS mpya wa Mwanza ndiye chaguo la CCM kwa Kigoma Mjini. Wakati wa kumuapisha, Rais Magufuli amesema anampeleka kijana huyo mtaalamu wa masuala ya fedha jijini Mwanza ambako ni jirani na kwao Kigoma lakini hategemei kama atatumia ukaribu huo...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo

    Kwa kweli inabidi kama kuna wauaji wachangiwe tu pesa na hawa wabunge wa CCM maana kujenga hoja hawawezi tena. Zitto kaandika barua katoa hoja zimeeleweka na World Bank na nyie jibuni basi mpangue hoja zake, mnashindwa nini? Mnakimbilia kuua ua tu kama mlivyotaka kumfanya Lissu So pathetic...
  7. Interest

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe asubiriwa na Bunge kueleza lengo la barua yake Benki ya Dunia kuzuia mkopo wa kuboresha Elimu (SEQUIP)

    Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai amesema kama kulikuwa na tatizo la kisera, ni mambo ya kujadiliwa bungeni. Sio mara ya kwanza kutokea sera zikawa na udhaifu au zinahitaji maboresho. Anasema Zitto alipaswa awasilishe maoni yake na mapendekezo kuhusu ubovu wa sera ya elimu kisha litazamwe. Ndio...
  8. Consigliere

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Kigoma wasimama na Zitto na kutoa tamko dhidi ta Spika na Bunge

    Baadhi ya wazee wa Kigoma siku ya leo mbele ya waandishi wa habari wametoa tamko kulaani vitisho vya mauaji vilivyotolewa ndani ya bunge na mbunge Bulembo. Bulembo alitoa kauli hiyo na kutoa wito wa zitto kuuawa kwani ni msaliti kwa nchi. Kauli ya bulembo ilishangiliwa sana na wabunge wa CCM na...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wiki yenye utata: Tulianza na Dr Kigwangalla akaja Kangi Lugolla akafuatia Zitto halafu RC Makonda na sasa ni Mtume na nabii Mwamposya aliyekamatiwa !

    Kiukweli wiki hii ilianza kwa makashikashi ya kisiasa na kumalizika na huzuni ya kuwapoteza watanzania wenzetu zaidi ya 18 katika tukio la kiibada. Tulianza na Dr Kigwangalla na tangazo lake la kuingia vitani kisha akaja Mzee Kangi Lugolla na Ilani yake ya CCM then akaja Zitto na Wazaxi...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Tumshughulikie Zitto kama Bunge la Marekani linavyomshughulikia Rais Trump

    SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kama Bunge la Marekani linamshughulikia Rais wa nchi hiyo, Donald Trump kwa vitendo vya kukosa uzalendo, kwa nini isiwe kwa mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe ambaye amefanya kitendo cha kuisaliti kwa nchi. Spika Ndugai amesema...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Zitto Kabwe kutumia " ubunge" wake kuikosesha serikali mkopo wa WB kimethibitisha kauli ya Prof Assad kwamba Bunge si Imara

    Bunge limemtaka AG ambaye pia ni mbunge kuchunguza kama kitendo cha mbunge wa Kigoma mjini mh Zitto kutumia nyaraka za bunge kuishtaki serikali huko benki ya dunia hakina chembe chembe za Jinai ndani yake. Hapa nina maswali mawili: Mosi, Jinai inachunguzwa na mwanasheria mkuu wa serikali...
  12. Superbug

    JamiiForums Tanzania GE2020 Namshauri Zitto asirejee Tanzania aombe political asylum hali si shwari sana

    Namtahadharisha ZITTO awe makini huku nyumbani si shwari walimkosakosa sana sasa sio ajabu wanamtengenezea sherehe kamili. Hatungependa ya Lissu yajirudie tena maana makovu yale hayaponi. KWANINI ZITTO ASIREJEE KWANZA 1. Inaweza kuwa system imemchoka hivyo substitution by elimination ikawa...
  13. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mkopo wa Benki ya Dunia kuboresha elimu, Serikali ililenga kuinufaisha CCM kwa kununua vyuo vilivyo chini ya chama hicho

    Tazama mahojiano ya BBC jinsi Kiongozi wa ACT Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe anavyopangua propaganda dhaifu za CCM na Serikali ya Rais Magufuli kuhusu kusogezwa mbele kwa maamuzi ya Benki ya Dunia (WB) kuipa mkopo wa elimu Tanzania kutokana na hoja zilizotolewa na Zitto na wanaharakati wa Tanzania...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Baba Askofu Mwamakula: Sakata la Zitto, Serikali na Benki ya Dunia litufungue macho kuhusu umuhimu wa maridhiano ya kisiasa nchini

    SAKATA LA MHESHIMIWA ZITTO, SERIKALI NA BENKI YA DUNIA LITUFUNGUE MACHO KUHUSU UMUHIMU WA MARIDHIANO YA KISIASA NCHINI Nimeona barua iliyoandikwa na Mheshimiwa Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini kwenda Benki ya Dunia kuiomba Benki hiyo izuie au iahirishe kutoa mkopo kwa Serikali ya Tanzania...
  15. G Sam

    JamiiForums Tanzania Nitaendelea kushirikiana na Zitto Kabwe pamoja na Lissu kuichoma Serikali ya Tanzania

    Mimi siyo mnafiki ila kiukweli ninayajua na kuyafahamu mengi yanayofanywa na Serikali ya Magufuli. Serikali kusema kweli imekuwa ikifanya mambo ya ukandamizaji na haya yanayohubiriwa hakuna lolote lile. Sasa basi mimi nitaendelea kutoa ushirikiano kwa wadau wanaotaka mambo yaende sawa. Kusema...
  16. CalvinKimaro

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe sasa umefika wakati wa kuambiwa ukweli

    ZITTO KABWE SASA UMEFIKA WAKATI WA KUAMBIWA UKWELI. Na David maphone Nilikuwa kimya kwa muda katika mitandao ya kijamii lakini upotoshaji wa ZITTO na siasa zake za kinafiki umenifanya nirejee kwa afya ya nchi yetu. Ukisoma maandiko ya ZITTO au ukisikiliza maelezo yake mbalimbali utagundua...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Naukumbuka Utatu wa Zitto, Deo na Kangi

    Ulikuwa ni utatu uliojikita katika uzalendo na ukweli na kamwe haukuyumbishwa na figisu za mafisadi. Lakini leo Kangi anafisadi mradi wa zaidi ya sh tririoni 1 huku Zitto akizuia mradi wa zaidi ya sh trrioni 1 ambao ungewezesha ujenzi wa madarasa 1000, maabara na nyumba za walimu. Ama kwa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Uzalendo bora ni ule wa kuikosoa Serikali kwa manufaa ya Taifa

    Akihojiwa na Zuhura Yunus wa BBC nchini Uingereza Mbunge wa Kigoma Mh Zitto Kabwe amesema uzalendo sio kuitetea serikali bali kulipenda na kulitetea taifa. Amesisitiza kuwa uzalendo bora ni ule wa kuikosoa serikali kwa manufaa ya taifa na kwamba yeye hajaomba Tanzania ifutiwe mkopo bali mkopo...
  19. Elia F Michael

    JamiiForums Tanzania Kucheleweshwa kwa Mkopo World Bank: Tumkemee Zitto Kabwe kwa pamoja

    Nimesoma kwa ufasaha Taarifa zilizoandikwa na Mwandishi Tom Wilson kwenye Gazeti la FINANCIAL TIMES akiwa Uingereza kuwa baadhi ya viongozi wa Jamii ya Tanzania wakiongozwa na Mbunge wa Kigoma Mjini Ndugu yangu Zitto Kabwe kuiomba Benki Kuu ya Dunia kuahirisha kuipa Tanzania Dollar Milion 500 za...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe na ujumbe wake watua Ulaya, shughuli imeanza rasmi

    Tayari Mh Zitto Kabwe na ujumbe wake wameanza kazi iliyowapeleka Ulaya , wameishakutana na Makundi kadhaa ya watetezi wa haki za binadamu kwa lengo la kunusuru demokrasia ya Tanzania . Sisi wapenda haki na demokrasia ambao ni Wazalendo wa kutupwa tuko tayari kuunga mkono juhudi zozote...
Back
Top Bottom