zitto

  1. J

    JamiiForums Tanzania Naukumbuka Utatu wa Zitto, Deo na Kangi

    Ulikuwa ni utatu uliojikita katika uzalendo na ukweli na kamwe haukuyumbishwa na figisu za mafisadi. Lakini leo Kangi anafisadi mradi wa zaidi ya sh tririoni 1 huku Zitto akizuia mradi wa zaidi ya sh trrioni 1 ambao ungewezesha ujenzi wa madarasa 1000, maabara na nyumba za walimu. Ama kwa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Uzalendo bora ni ule wa kuikosoa Serikali kwa manufaa ya Taifa

    Akihojiwa na Zuhura Yunus wa BBC nchini Uingereza Mbunge wa Kigoma Mh Zitto Kabwe amesema uzalendo sio kuitetea serikali bali kulipenda na kulitetea taifa. Amesisitiza kuwa uzalendo bora ni ule wa kuikosoa serikali kwa manufaa ya taifa na kwamba yeye hajaomba Tanzania ifutiwe mkopo bali mkopo...
  3. Elia F Michael

    JamiiForums Tanzania Kucheleweshwa kwa Mkopo World Bank: Tumkemee Zitto Kabwe kwa pamoja

    Nimesoma kwa ufasaha Taarifa zilizoandikwa na Mwandishi Tom Wilson kwenye Gazeti la FINANCIAL TIMES akiwa Uingereza kuwa baadhi ya viongozi wa Jamii ya Tanzania wakiongozwa na Mbunge wa Kigoma Mjini Ndugu yangu Zitto Kabwe kuiomba Benki Kuu ya Dunia kuahirisha kuipa Tanzania Dollar Milion 500 za...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe na ujumbe wake watua Ulaya, shughuli imeanza rasmi

    Tayari Mh Zitto Kabwe na ujumbe wake wameanza kazi iliyowapeleka Ulaya , wameishakutana na Makundi kadhaa ya watetezi wa haki za binadamu kwa lengo la kunusuru demokrasia ya Tanzania . Sisi wapenda haki na demokrasia ambao ni Wazalendo wa kutupwa tuko tayari kuunga mkono juhudi zozote...
  5. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Benki ya Dunia wanatoa pesa wakijua Tanzania tuna msimamo gani na tunafanya nini, wapiga kelele wapuuzwe

    Rais Magufuli akiwa katika hafla ya kuwaapisha mawaziri na mabalozi Ikulu leo, amesema kwamba kuna mambo mengi yamezungumzwa na tuyapuuzie. Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia alikuja hapa, mwaka jana, kwahiyo wanatoa pesa wakijua sisi Tanzania tuna misimamo gani na tunafanya nini, hao wengine ni...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Zitto afungua kesi ya kikatiba kupinga uteuzi wa CAG mpya

    Kiongozi wa ACT Wazalendo.,Zitto Kabwe, amefungua kesi ya Kikatiba dhidi ya mosi; Sheria ya Ukaguzi namba 11 ya mwaka 2008 kukiuka Katiba na pili Uteuzi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) uliofanywa na Rais Magufuli kuwa kinyume na masharti ya Katiba. Kesi hiyo ya Kikatiba...
  7. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Zitto: Makubaliano ya Serikali na Barrick Gold changa la macho

    Kutoka Mezani kwa Zitto Kabwe, ********** MAKUBALIANO YA SERIKALI NA BARRICK GOLD CHANGA LA MACHO. __________________ Jana, Julai 19, 2019 Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Barrick Gold Corporation imetoa Taarifa kwa Umma ya kuinunua Kampuni yake tanzu ya Acacia Mining Plc kwa jumla ya Dola za...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Enzi za Mwalimu Nyerere mbunge wa Kigoma Mjini Zitto angewekwa kizuizini kwa matamshi yake

    Ananieleza Mzee Mgaya kwamba Rais Magufuli ni mkali lakini ni muungwana na mvumilivu sana. Enzi za Mwalimu Nyerere huyu Kabwe angekuwa kizuizini muda huu akichunguzwa juu ya kauli zake za mara kwa mara zilizojaa uchochezi, anaeleza MzeeMgaya. Waziri katumbuliwa na kosa lake limeelezwa wazi...
  9. technically

    JamiiForums Tanzania Aliyeyaona ya Mrema 1995-2000 hawezi kuyashangaa ya Zitto 2015-2020

    Aliyeyaona ya Mrema miaka hiyo hawezi kumshangaa Zitto wote wapo kimkakati kutumika kumaliza kabisa nguvu ya upinzani Mrema alifanikiwa kukiua CUF badala ya CCM kama ambavyo zitto anataka kukiua chadema badala ya CCM kinachoendelea kwa zitto ni mkakati wa kukiua chadema na sio CCM muda...
  10. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Bashiru: Tutalirejesha jimbo la Kigoma Mjini mikononi mwa CCM kwa gharama zozote

    Dr bashiru aahaidi kumtoa madarakani Zitto Kabwe ====== Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema chama hicho tawala nchini Tanzania kinajipanga kuibuka na ushindi wa ubunge katika jimbo la Kigoma Mjini linaloongozwa na Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo). Mwaka 2010 hadi 2015 mbunge wa Kigoma...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe adai kuna mkakati wa kumweka gerezani kabla ya uchaguzi

    Hii nimeitoa kwenye official Twitter page ya Zitto ==== Serikali ya Rais @MagufuliJP wameamua kutengeneza mashtaka ya utakatishaji Fedha dhidi yangu. Ofisi nzima ya TAKUKURU Makao Makuu imehamia Kigoma kubumba Mashtaka. Lengo ni kuhakikisha nakuwa Gerezani wakati wa Uchaguzi. CCM inatapatapa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Maalim Seif kugombea urais wa JMT, Mbowe mgombea mwenza Zitto Waziri Mkuu mtarajiwa; Lema kugombea Ubunge Hai

    Habari za chini ya carpet zinadai kuna mkakati mahsusi wa kiuchaguzi kati ya Chadema na ACT wazalendo ambapo baba wa upinzani maalim Seif anatarajiwa kugombea urais wa JMT. Mh Mbowe anatajwa kuwa mgombea mwenza huku Zitto Kabwe akiandaliwa kuwa Waziri mkuu. Godbless Lema naye anatajwa kuhamia...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe Agonga Mwamba kwa Madiwani wa ACT Wazalendo Kigoma ujiji

    Kwa kile kinachoonesha Madiwani kumchoka Zitto Kabwe, Wamchana wazi Jioni hii kwenye Ofisi za ACT Wazalendo Kigoma ujiji ambayo ni Makao Makuuu ya ACT Wazalendo Mkoa wa Kigoma, kuwa wamemchoka kwa tabia yake ya kudai 10% kwa migongo ya Madiwani lakini Mwishowe anaishia kuwapatia Madiwani...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Bashiru aanza ziara Kigoma, Zitto Kabwe azuiwa kufanya mkutano

    Wakati mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe akizuiwa kufanya mkutano wa hadhara na Jeshi la Polisi mkoani Kigoma leo Ijumaa Januari 17, 2020, katibu mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally ameanza ziara ya siku tatu mkoani humo. Polisi mkoani Kigoma kupitia barua ya Mkuu wa Polisi Wilaya ya...
  15. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Sherehe za Mapinduzi za leo ndiyo za mwisho kwa Rais Magufuli ambaye anamaliza muda wake wa Urais Oktoba mwaka huu

    Kichwa cha uzi kinajieleza chenyewe. Si kauli yangu bali ni ya mwanasiasa machachari kabisa mh Zitto ambayo kaitoa leo kupitia ujumbe wake wa twitter akimjibu JPM kuhusu kuhusika kwa TISS katika utekaji. Ni kauli nzito ambayo inahitaji mikakati mizito sana kivitendo (NEC huru, nk) ili azma...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Zitto ataka ripoti ya Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama inayohusu shambulio la Lissu iwekwe wazi

    Pia ( 2) kama Mbunge Tundu Lissu shambulio lake la risasi haliwahusishi TISS basi Ripoti ya Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama iwekwe Wazi kwa Umma. Pia Watanzania waonyeshwe juhudi zozote za Polisi kuchunguza tukio lile la kikatili kufanyiwa Mbunge nchini. Mimi ninalaumu TISS Chanzo:Twitter...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Zitto kuhusu hali ya shirika la Ndege la Tanzania(ATCL) kulingana na ripoti ya CAG

    Shirika la Ndege Air Tanzania limejitahidi kupunguza hasara kutoka TZS 15b mwaka 2017 mpaka TZS 10b mwaka 2018. Hata hivyo Shirika la ATCL kiuhalisia limefilisika kwani Madeni yake yamezidi Mali zake kwa TZS 177b mwaka 2018 kutoka TZS 173b mwaka 2017. Chanzo: CAG Audit Report Chanzo: Twitter
  18. technically

    JamiiForums Tanzania Zitto, Ukimtazama kwa jicho la tatu

    Sio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati, ACT ni chama cha dola kilichokuja kuviua vyama vya upinzani somo ni CUF inavyokufa. Ana maslahi ya kutumika bado ndani ya dola Inawezekana wanamtumia kwa kujua au yeye kutokujua. Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Zitto usipoacha uzushi Karma itakucharaza kama inavyowacharaza CHADEMA

    Heri ya Noeli wanaJF, Nimelazimika niandike makala hii ili kumuonya mdogo wangu Zitto kuacha siasa za uzushi ili kuepuka "viboko" vya karma. Nimkumbushe jinsi karma inavyowacharaza CHADEMA kwa kutoa mifano miwili; awali, sasa hivi wanamkumbuka JK huku wakibubujikwa na machozi huku wakitubu kwa...
  20. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Hekima ya Zitto Kabwe

    Na Elius Ndabila 0768239284 Zitto Kabwe ni moja ya vijana waliojizolea sana umaarufu kwenye siasa za 2005-2015.Alikukuwa ni kijana alikuwa anajenga hoja. Uzito wa hoja zake ulimpa mashabiki wengi na kujipatia umaarufu mkubwa. Ninamzungumzia Zitto yule si huyu mlopokaji, mubwatukaji na mzushi...
Back
Top Bottom