mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,855
- 8,253
Nilidhani ''watetezi wa haki za binadamu'' wangekuwa mstari wa mbele kulaani yanayotokea Marekani ,bahati mbaya hawayaoni hayo,kisa ni baba yao ndio anayafanya hayo''mazuri'' hayo yangefanyika Tanzania basi ungewasikia Zitto,Lissu,Fatuma na Maria wanaitisha press conference na kulaani kwa nguvu zote na kutaka tuwekewe vikwazo,lakini sasa ni kama hawayaoni,ningewaona wa maana kama wangembwekea bwana mkubwa kwa yanayofanyika hivi sasa huko Marekani,haki ni haki iwe Tanzania,Ulaya Marekani au hata HongKong.