Statistically, Zitto is the best political leader of the season

Kabulala

JF-Expert Member
Oct 13, 2019
533
1,000
Kabla hata Kura hazijapigwa, Zuberi ana uhakika wa kupata gain ya zaidi ya asilimia 1000 katika uchaguzi ujao. Kwa sasa yeye ndiye mwenye bargaining chip kuliko mwanasiasa mwingine nchi hii kwani amefanya political business nzuri sana kushinda ata CCM ambao wamesemekana kununua wabunge na madiwani wengi.

Kabwe ni kama vile amenunua the entire Political Party kule visiwani in a single scoop. Na kama hiyo haitoshi kafanya recruitment ya heavy giant kutoka Chama Tawala (ingawa tayari alikua ni free agent), BM. Kwa biashara hiyo nadiriki kusema hakuna Party leader yeyote nchi hii ambaye hana wasiwasi na performance yake katika uchaguzi ujao kwani ACT watakua better off after October so will ZITTO ZUBERI KABWE.

NOTE: Mimi si mwanachama wala mkereketwa wa ZITTO. Nimetoa maoni yangu kwa kuangalia jinsi upepo wa kisiasa ulivyo na jinsi huyu One MP party leader alivyoji-position kuneemesha chama chake na yeye binafsi kisiasa.
 

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
6,906
2,000
Anakwenda vizuri na tena anapohangaikia ushirika wa vyama vya upinzani dhidi ya ccm ndio kabisa anazidi kupendeza.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom