ziara

Al-Ziyarah (Arabic: الزيارة‎, also spelled Zeyareh) is a town in northern Syria, administratively part of the Hama Governorate, located 75 kilometers northwest of Hama. It is situated in the Ghab plain, on the eastern bank of the Orontes River. Nearby localities include Qarqur 7 kilometers to the north, Sirmaniyah to the northwest, Qastun to the east and Farikah, Khirbet al-Arus and al-Amqiyah Tahta to the south. According to the Syria Central Bureau of Statistics, al-Ziyarah had a population of 3,541 in the 2004 census. It is also the center of the Al-Ziyarah Nahiyah ("subdistrict"), part of the Al-Suqaylabiyah District, consisting of 25 localities and with a combined population of 38,872 in 2004.

View More On Wikipedia.org
  1. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Mgombea ubunge jimbo la Korogwe Mjini kupitia CUF chama cha wananchi Mhe. Amina Magogo afanya ziara ya ujenzi wa chama Korogwe Mjini

    MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KOROGWE MJINI KUPITIA CUF CHAMA CHA WANANCHI MHE. AMINA MAGOGO AFANYA ZIARA YA UJENZI WA CHAMA KOROGWE MJINI
  2. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Sonia Magogo aendeleza ziara yake mkoani Tanga, kata kwa kata, jimbo kwa jimbo katika ujenzi wa chama mkoani Tanga

    HABARI MBUNGE VITI MAALUM CUF PIA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA HANDENI MJINI MHE. SONIA MAGOGO AIVURUGA HANDENI MJINI, AZUNGUKA KILA KATA KUIMARISHA CHAMA. Pichani ni kata ya kidereko ambapo alifanya mkutano wa ndani na Viongozi wa kata hiyo na kukutana na Baadhi ya Wanachama katika Kata hiyo Pia...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Aibu: Ziara ya Waziri Mkuu Tunduma yageuka Mkutano wa Kampeni, Silinde na Mwambe wahutubia

    Tunaposema CCM imekufa huwa hatubahatishi, Mh Kasimu Majaliwa ambaye yuko Tunduma kwa kinachoitwa ziara ya ukaguzi wa ujenzi wa hospitali ya Mji wa Tunduma, hatimaye ametimiza kile kilichompeleka hasa ambacho ni kutafuta uwanja wa Msaliti Silinde kuhutubia baada ya kubainika kwamba, kwa sasa...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA yawasha moto Mbeya Mjini, mjumbe wa kamati Kuu aanza ziara ya kutoa semina kata zote, hii hapa ni kata ya Nzovwe

    Sitaki kuleta porojo, muda wa maneno matupu umekwisha, kwa sasa ni vitendo, ushahidi huu hapa
  5. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020: Nimeanza ziara binafsi mikoa mbalimbali Tanzania Bara. Nitawaambieni hali halisi

    Wapendwa wangu wa JF nawasalimu nyote. Kuanzia makada wenzangu wa CCM na watadi wetu wa jadi CHADEMA na wapinzani wote kwa ujumla, nawapa taarifa. Mimi Mzee Tupatupa wa Lumumba, kwa gharama zangu mwenyewe na safari zangu binafsi, leo nimeanza safari za mikoa mbalimbali hapa nchini kuangalia...
  6. Kennedy

    JamiiForums Tanzania Rais amefanya ziara Kisarawe na kuzindua Mradi mkubwa wa Maji Wilayani humo

    Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, Leo Atafanya Ziara Wilayani Kisarawe Kuzindua Mradi Mkubwa Wa Maji. Ambao Utawanufaisha Wakazi Wa Kisarawe Hadi Maeneo Ya Ukonga, Pugu Bila Shaka Tutaaambiwa Mapya Mengi Kuhusu Maendeleo Ya Nchi Yetu. Pia Wakazi Wa Pembezoni Mwa Barabara Atakayopita...
  7. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Ziara ya siku 4 ya Mwenyekiti wa CUF Taifa, Prof. Ibrahim Lipumba huko Pemba imeleta hamasa kubwa na kupokea zaidi ya wanachama wapya 723

    ZIARA YA SIKU NNE (4) YA MWENYEKITI WA CHAMA TAIFA MHE. PROF. IBRAHIM LIPUMBA HUKO PEMBA IMELETA HAMASA KUBWA NA KUPOKEA ZAIDI YA WANACHAMA WAPYA 723. Ziara hiyo imekijengea Chama Heshima Kubwa kwa kukiwezesha Kurejesha Ngome yake huko Pemba na kukiwezesha Chama kuwarudishia Hamasa wanachama...
  8. Mag3

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi ajuta na kuwaomba radhi wananchi wa Marekani kwa kuambatana na Rais katika ziara yenye utata ikihusishwa na siasa!

    Wakati wa ziara iliyoleta utata. Mkuu wa Majeshi akiomba radhi... ==== Jenerali Mark Milley aomba msamaha kwa 'kuenda' kanisani na Trump Mkuu wa majeshi nchini Marekani amekiri kuwa alikosea kuungana na Rais Donald Trump wakati wa alipotembea kuenda kanisa lililopo karibu na Ikulu ya...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Kabudi ya kuomba msamaha ni nzuri kwa taifa

    Waziri Kabudi amekuja US kukutana na wawakilishi wa serikali ya Trump na World Bank. Kwenye World bank alikuja kwa unyeyekevu na kuwahakikishia bank kwamba Tanzania itaweka shule maalumu za kulinda watoto waliopata mimba na hii wamehakikisha kapiga sahihi kabisa. Pili amepeleka ujembe kutoka...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania James Mbatia afanya ziara mkoani Mbeya, apokelewa na Mkuu wa Mkoa na kuhakikishiwa ulinzi

    Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mh James Mbatia amefika Mkoani Mbeya kwa ziara ya kichama na Kupokelewa na RC wa Mkoa huo huku akiahidiwa ulinzi. Katika ziara yake hiyo ya kichama atafika Busokelo ambako atapokea wanachama wapya wa chama hicho kutoka Chadema. Ziara hii imekuja baada ya jana kufika...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mike Pompeo wa USA amaliza ziara yake barani Afrika, akemea viongozi wa vyama vya siasa wanaoongoza kiimla

    Waziri Mike Pompeo wa serikali ya Marekani leo amemaliza ziara yake ya nchi kadhaa barani Afrika huku akiwataka viongozi wa kisiasa barani humu kuacha mara moja tabia ya kuongoza kiimla. Pompeo amezuru nchi za Senegal, Ethiopia, Namibia na Afrika ya Kusini. Chanzo: Star Tv Habari
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania ACT - WAZALENDO kuanza ziara nje ya nchi ili kuihami demokrasia ya Tanzania

    Viongozi wa ziara hiyo inayoanza mara moja ni Zitto Kabwe na Nassor Mazrui , ambao wamepanga kuonana na watanzania walio nje ya nchi pamoja Mabeberu ili kuzuia ukandamizaji wa demokrasia nchini Tanzania ambao umefikia kiwango cha kutisha . Watanzania wote makini wako tayari kuthamini mchango wa...
  13. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba aanza ziara ya siku saba ndani ya mkoa wa Tanga

    Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Prof. Lipumba ameanza ziara ya siku saba katika mkoa wa Tanga kuanzia Leo. Mwenyekiti atatembelea katika wilaya ya Pangani, Mkinga, Tanga Mjini, Muheza, Korogwe Mjini,Korogwe Vijijini, Bumbuli, Lushoto.
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Bashiru aanza ziara Kigoma, Zitto Kabwe azuiwa kufanya mkutano

    Wakati mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe akizuiwa kufanya mkutano wa hadhara na Jeshi la Polisi mkoani Kigoma leo Ijumaa Januari 17, 2020, katibu mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally ameanza ziara ya siku tatu mkoani humo. Polisi mkoani Kigoma kupitia barua ya Mkuu wa Polisi Wilaya ya...
  15. USSR

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kufanya ziara ya siku 5 Zanzibar, kuzindua jengo la TISS Zanzibar

    Baada ya likizo ya mwisho wa mwaka, kesho Rais Magufuli ataanza ziara ya siku 5 Zanzibar ikiwa ni pamoja na kuhudhuria sherehe ya mapinduzi Zanzibar tarehe 12 mwezi huu. Pia Mh. Rais atazindua jengo la makao makuu ya Usalama wa Taifa kisiwani Zanzibar katika ziara yake Zaidi. soma: Zanzibar...
  16. nngu007

    JamiiForums Tanzania Why Obama is visiting Tanzania

    By ELISHA MAGOLANGA Tanzanias strategic position in the continent, its abundant natural resources and countering Chinas advances to Africa have been cited as some of the reasons why President Barack Obama chose to visit Tanzania in his tour of Africa next month. Mr Obama, who is the first...
Back
Top Bottom