ziara

Al-Ziyarah (Arabic: الزيارة‎, also spelled Zeyareh) is a town in northern Syria, administratively part of the Hama Governorate, located 75 kilometers northwest of Hama. It is situated in the Ghab plain, on the eastern bank of the Orontes River. Nearby localities include Qarqur 7 kilometers to the north, Sirmaniyah to the northwest, Qastun to the east and Farikah, Khirbet al-Arus and al-Amqiyah Tahta to the south. According to the Syria Central Bureau of Statistics, al-Ziyarah had a population of 3,541 in the 2004 census. It is also the center of the Al-Ziyarah Nahiyah ("subdistrict"), part of the Al-Suqaylabiyah District, consisting of 25 localities and with a combined population of 38,872 in 2004.

View More On Wikipedia.org
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya ziara ya kushtukiza Kariakoo, Mbagala na Mwananyamala Jijini Dar

    Rais Samia Suluhu Hassan amefanya ziara ya kustukiza katika soko la Kariakoo Dar es Salaam na kuongea na wafanyabisahara wa maeneo hayo KARIAKOO Rais Samia Suluhu amewatembelea na kuwasikiliza wanyabiashara wanaofanya biashara ndani ya soko la Kariakoo, baada ya matembezi Rais Samia...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Sijaelewa: Ziara ya waziri mkuu Majaliwa pale Hazina inahusiana na ile report CAG aliyoagizwa na Rais Samia?

    Naomba ufafanuzi kwa wataalamu wa chunguzi. Hii ndio ile report ya January hadi March aliyoagiza Rais Samia au PM Majaliwa ameenda kivyake? Nasubiri ufafanuzi.
  3. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Ikulu Dar: Rais Yoweri Museveni na Rais Samia Suluhu washuhudia utiaji saini wa mikataba ya utekelezaji wa mradi wa bomba la mafuta

    Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni leo tarehe 20 Mei, 2021 atafanya ziara ya kikazi ya siku 1 hapa nchini kwa Mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Akiwa hapa nchini Mhe. Rais Museveni na Mhe. Rais Samia watashuhudia utiaji saini wa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ni lini Rais Samia ataanza ziara kusikiliza kero za Wananchi?

    Japokua hayati alikua anaendesha nchi kibabe, lakini kuna baadi yamambo aliyafanya yalitupendezea hata sisi wananchi wanyonge tunaoshi chini ya dola moja kwa siku. Ziara za sehemu mbalimbali kusikiliza kero za wananchi zilitufariji sana. Kwa heshima na taadhima tunakuomba mama yetu, Amiri...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ukifanya ziara nchini Rwanda kwa 'Genius' Kagame utafaidika na mengi kuliko ya Uganda na Kenya

    Ukienda kwa Museveni Uganda Faida kubwa huku ni Uimarishwaji tu wa Miradi kadhaa na kuendeleza Historia yetu ya Udugu kwakuwa Rais Museveni kalelewa vyema na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere. Ukiondoa haya hakuna mapya zaidi. Ukienda kwa Kenyatta Kenya Huku utapata sana 'Madili' ya...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu, tumia ziara yako nchini Kenya kuomba radhi kwa kuchomwa vifaranga na awamu iliyopita nchini mwako

    Uugwana ni vitendo, kitendo cha Serikali ya Magufuli kuchoma moto vifaranga kutoka Kenya lilikuwa jambo la kinyama lililobeba aibu ya kuifedhehesha serikali ya Tanzania kwa fedheha ya kutia aibu ambayo haijawahi kushuhudiwa tangu kuumbwa kwa mbingu na ardhi. Sitaki kurudia kusimulia unyama ule...
  7. jamii01

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia nchini Kenya, Mama anakosea

    Napenda kuandika kidogo tu kulingana na uwelewa wangu juu ya Ziara ya Mama nchi Kenya na mikataba mlio tiana sign. 1. Ujenzi wa bomba la gas kutoka Tanzania kwenda Mombasa kwa ajili ya matumizi ya viwanda nchini Kenya,hapa mama unefail pakubwa sana maana yake nikwamba bidhaa za Kenya zitakuwa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu awasili Kenya, aweka kidole Mkataba wa Bomba la gesi Dar-Mombasa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini leo tarehe 04 Mei, 2021 kuelekea nchini Kenya ambako anafanya Ziara Rasmi ya siku 2 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta. #KaziIendelee ====== Rais wa Tanzania, Samia Suluhu...
  9. Ambokile Amanzi

    JamiiForums Tanzania Ulazima wa Kiingereza cha Rais Samia ziarani nchini Kenya

    Tumesikia Bi. Samia anaenda Kenya kwa ziara ya kikazi mnamo hapo kesho. Ni matumaini yangu na fahari yangu kwamba, atatumia Kiswahili katika shughuli zote atakazoalikwa kuzifanya. Hivi majuzi tu alipoenda Uganda, tuliona anatumia kizungu kuhutubia. Wengi wa wananchi wetu nina uhakika...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kutembelea Kenya kwa ziara ya siku mbili

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaSamia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya siku mbili nchini Kenya Anatarajia kufanya ziara hiyo kuanzia Mei 4, 2021 ambapo atapokelewa na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya Ziara hii ya Rais Samia Suluhu Hassan itaambatana na ufunguzi wa kongamano la...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara ya siku mbili Nchini Kenya kuanzia 04|05|2021

    Mwaliko uliletwa haraka haraka, kana kwamba kuna dharura! Sasa mama ameamua kuitikia mwaliko huo wiki ijayao. Haieleweki yaliyokuwemo ndani ya barua ile iliyowasilishwa kwake Dar es Salaam yalihitaji atembelee haraka hivyo; bila shaka ni ya manufaa makubwa kwao; na pengine na kwetu pia hadi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Mbowe Ikulu kama itakuwa ya kizalendo namuona Dr Tulia akikaimu Uspika na kuutwaa kabisa

    Kama Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe katika mazungumzo yake na Rais Samia ataamua kuwa wazi na kumweleza ukweli Rais namna akina Halima Mdee na wenzake walivyotinga bungeni basi ni wazi kuna kiongozi mkubwa Bungeni atalazimika kujiuzulu. Je, Mbowe ana ujasiri wa kukilinda chama na kuweka pembeni...
  13. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya ziara ya Mama Samia ya mafanikio Uganda Uhuru aiga kwa kwenda DRC

    MY TAKE Naona akiiga hata kutembelea na national carrier KQ kama Samia Suluhu na Air Tanzania! Here is what Kenyan ambassador to DRC explaining Uhuru's mission inb DRC
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ziara ya BAVICHA Magereza yaanza kuzaa Matunda. Mahakama ya Songwe yamuachia huru Moses Mwaifunga aliyesoteshwa jela kwa miezi 5

    Moses Mwaifunga ni miongoni mwa vijana lukuki wa Chadema waliobambikwa kesi za uongo karibu nchi nzima , huyu alipewa kesi ya kutunga na ya uongo ya mauaji ili kumkomoa kwa sababu za kisiasa. Sasa baada ya ziara ya viongozi wa Bavicha Taifa kwenye Magereza za Mbeya na Songwe za kuwajulia hali...
  15. Influenza

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu kuzuru Uganda Kesho Aprili 11 kwa mwaliko maalumu wa Rais Museveni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya safari yake ya kwanza ya kikazi nje ya Nchi kwa majirani zetu Uganda. Rais Museveni amemualika Rais Samia kwenye kuzungumzia masuala mbalimbali huku kubwa likiwa ni bomba la Mafuta ghafi kutoka Hoima
  16. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Raia wa Uganda wamekupenda mno hivyo ukienda Kesho katika Ziara yako ya Kwanza waambie haya..,.

    Waambie..." Tanzania ni ile ile tu anayoijua Rais Museveni isipokuwa hii ya sasa iliyo chini yako ni ya Kiustaraabu, Makini na ya Kiungwana zaidi..." Pia waambie..." Tanzania ya sasa imejikita zaidi katika Kuimarisha zaidi Uhusiano wake na Majirani zake tofauti na ile ya 25 Oktoba,2015 hadi 17...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Ziara za makundi mbalimbali zasitishwa ili kuepuka msongamano

    Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ambaye pia ni mbunge wa Mbeya Mjini ametangaza kusitisha ziara mbalimbali bungeni. Bunge limekuwa likipokea ziara za mafunzo kwa wanafunzi na makundi mengine, Naibu Spika amesitisha ili kuepuka msongamano wakati huu wa bunge la Bajeti.
  18. G Sam

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu naona katua Dar leo. Tetesi zinasema atafanya ziara kwenye taasisi kubwa mbili hivi karibuni

    Muda mfupi uliopita Rais ametua Dar na inasemekana ana lake jambo baada ya mapumziko ya Pasaka. Zipo taasisi kubwa mbili za umma zitapigwa suprize. Yani kapita shaaaa ila hakuna ule mgari uliojazwa machumachuma yanayoangalia kwa juu. Sijui ulibaki wapi!
  19. J

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu kesho kuanza ziara ya siku sita mkoani Tanga

    Makamu wa Rais mama Samia Suluhu kesho ataanza ziara ya siku sita mkoani Tanga Mkuu wa mkoa wa Tanga mh Shigekla amesema akiwa mkoani Tanga mama Samia atazindua miradi mbalimbali na programu za uwekezaji kwa wawekezaji wote. Maendeleo hayana vyama! === Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan...
  20. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Waziri Mkuu, Majaliwa kuanza ziara ya siku mbili Mkoani Mbeya, namshukuru Rais Magufuli kwa ujenzi wa Hospitali ya Rungwe

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema Waziri Mkuu, Majaliwa anaanza ziara ya siku mbili mkoani Mbeya. Akiwa mkoani Mbeya Mhe. Majaliwa atafungua Jengo la Mama na Mtoto jijini Mbeya, atafungua hospitali iliyoahidiwa na Rais Magufuli wakati wa kampeni wilayani Rungwe na atafungua kituo...
Back
Top Bottom