zao

Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watu maarufu waliofanikiwa kwa kuwatekeleza baba zao

    1. Ommy dimpoz Jamaa amefanikiwa sana baada ya kumterekeza baba yake akiwa anatanua DSM na fedha za kuhongwa na GSM baba yake anaendesha bajaj huko sumbawanga 2.Diamond platnumz Huyu amefanikiwa sana na nyota imeng'aa kwa kumzalilisha baba yake na kumuweka mbali kabisa yeye akiwa anakula bata...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna kipi kinaendelea? Mbona kila kona malalamiko ni ndugu kupotelewa na jamaa zao?

    Mfano ni mkoani Singida, familia tatu zinawalilia ndugu zao walio tekwa na watu wasiojulikana. Familia mbili za huko Wilaya ya Iramba, zinazoishi karibu na Loya, zinalia kupotelewa na wafanyabiashara wa mazao jinsia yao ni wanaume wawili. Wawili hao inasemekana walitekwa na gari nyeupe aina ya...
  3. JamiiForums Tanzania Wengine mnaoa familia gani? Milioni 22 mahari pekeee? Nonsese

    Hivi kuna wanaume wwngine wapoje? Yaani unamuomba msamaha mwanamke mrudiane hivi unajua akili za mwanamke akijua kwamba weww mwanaume ni bwege?mjinga au mpumbavu? Ok ila nisiseme sana maana kuna watu wanasema maumivu ya mapenzi ni yanauma sana ila sijajua aisee ila wewe umewahi kupigwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Dozi 24 za kuzuia watoto wetu wa kiume wasiharibikiwe

    Dozi 24 za Kuzuia Watoto Wetu wa Kiume kuwa Mashoga! Denis Mpagaze _________________________ Ushoga unakuja kwa kasi sana! Wahanga ni watoto wetu wa kiume. Unajua kwa nini? Ni kwa sababu tumewatelekeza watoto wa kiume. Nguvu nyingi tumeelekeza kwa watoto wa kike. Kuwainua watoto wa kike ni...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Couple ya Vijana wa Tanzania inayotrend inatufanya tulio single tuteseke

    habari wadau. hii couple maarufu inayotrend sana tik tok na instagram ya vijana wanaojiita Meet Us. inafanya ma single tujione mayatima wa mapenzi. mahusiano mazuri matamu sana na muhimu hela iwepo ya ku afford standard basic needs. mwanaume ukimaliza chuo ukajipata fasta, yaani ukapata kazi...
  6. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya wasichana wa mwanza hawakumbuki namba zao za simu

    Unakutana na msichana mzuri unaomba namba hana ujanja wa kukutajia,ataanza kupekenyua simu yake su ataomba ya kwako akubeep ndio upate nsmba yake. Sasa mwanke kama huyu atakumbuka kweli tarehe yske ya kuwa kwenye period? Si ajabu kugawa namba lakini hawakumbuki hizo namba kichwani
  7. M

    JamiiForums Tanzania Krismasi na mwaka mpya ndio kipindi cha wake za watu kwenda kunyanduliwa na ma ex zao kwa kisingizio cha kula sikukuu

    Utasikia goma langu lililoolewa Dar, Mza au Dom limekuja kula sikukuu. Lilivyoniona tu likatabasamu na kug'ata kidole. Mara jamaa yangu nae kalipanga goma lake. Mara kuna goma langu nimeliinamisha fasta jana. Limekuja kula sikukuu ila limeolewa mjini. Ndo ilishabaki ishara ya heshima tu.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wajue waimba gospel wa kike ambao wamevunja ndoa zao baada ya kuwa maarufu

    Tulitarajia waimabji wa gospel waishi maisha ya kumpendeza Mungu (maisha ya kiuokovu). Lkn cha ajabu ni wahuni kama wahuni wengine tu. Gospel ni kichaka tu cha kufichia hulka zao za kiuasherati. Wafuatao ni baadhi ya waibaji wa gospel wa kike waliovunja ndoa zao baada ya kupata umaarufu:- 1...
  9. JamiiForums Tanzania Hakuna mahali watu wanaishi kwa kuigiza na kutolea stress zao kama JamiiForums

    Ukifungua nyuzi nyingi huku jamiiforums utashangaa sana kwenye section ya comment kila mtu ana-vimba mfano kama mtu amekuja kuomba msaada utastaajabu watu wanavyotoa majibu ya hovyo sana na yasiyojali utu. Jamiiforums ni sehemu ya watu kutolea stress zao, ni kawaida sana jamiiforums mtu kuanza...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Wazazi , Kaka, Dada wafundisheni Mabinti zenu na Wadogo zenu wa kike kucheza na Biological Clock zao. Mimba zinawatesa sana wanawake kupatikana

    ukweli mchungu changamoto za uzazi ni kubwa sana nowdays. sababu kuu mabinti wanachelewa kuolewa. mwanamke wa miaka 30 mimba haipati kwa urahisi kama mwanamke wa miaka 25 ama mwanamke wa miaka 18 30 yrs is a prime for women mental maturity but not for carrying and birthing a human. WAGANGA...
  11. JamiiForums Tanzania Tangu zamani najua wazaramo wanapenda ngoma lakini leo ndio nimejionea ngoma zao, kupandisha majini ni ngoma ? kwa ngoma hizi nmeanza kuwaogopa !!

    Ni karibu kila mtanzania anajua sifa ya wazaramo ni kupenda ngoma ila sikuwahi kufikiria kabisa kwamba ngoma zenyewe ndio hizi. Ngoma inayopigwa hapa inaitwa dogori,
  12. JamiiForums Tanzania Wanasiasa waige Mfano wa Makonda kwenye kutimiza ahadi zao

    Katibu wa Halmshauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda , ametimiza ahadi yake ya kumchangia Tsh Milioni 10 kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mikumi na Mwanamuziki wa (HipHop) Nchini Bw. Joseph Haule Maarufu Professor Jay. Mwenezi Makonda...
  13. JamiiForums Tanzania Kikundi Cha AlQuds Brigades Chaonesha Kombe la Vita (Trophy) ililotwaa Kibabe kutoka Jeshi la Mazayuni Ghaza.

    Video ya kile kinachoitwa 'kombe la vita' imetolewa na Brigedi za Al Quds za Islamic Jihad. Video hiyo inaonyesha ndege isiyo na rubani ya Israel 'Sky Racing' iliyodunguliwa na wapiganaji wa Islamic Jihad wakati wa makabiliano ya Ghaza. Maelezo yaliyotajwa kwenye drone yalisomeka: "Sky Racing...
  14. JamiiForums Tanzania Tumemaliza mechi za pwagu na pwaguzi tunawakaribisha kwenye mechi za mabingwa wa nchi zao hapo kesho

    Leo tumemaliza kuangalia pira la pipa na mfuniko pale kwa mkapa Sasa tunawakaribisha kesho kwa mkapa kuangalia pira burudani, pira lenye Kasi, mipango, na kiufundi! Bila kusahau ni mechi zinazohusisha mabingwa wa nchi watupu, Medeama bingwa Ghana, Aly ahly bingwa Misri, Yanga bingwa Tanzania...
  15. JamiiForums Tanzania Simba na ndoto zao za Robo Fainali Mwisho leo. SImba akishinda leo ole wangu, niadhibiwe vibaya sana

    Yaani mpaka sasa ubao unasoma Wydad 2 SImba 0..... na SImba wanajitahidi kupambana sana ili wapate hata Draw. Maalimu anasema hali ni Mbaya kwa Simba sababu majini yote kwa siku ya leo yanaonekana kuwa upande wa Wageni. SImba hapati kitu le ndo mwisho wake wa kuwa na ndoto za kuenda kucheza robo...
  16. JamiiForums Tanzania Usishindwe Kufurahia Maisha yako kwa sababu ya historia au mambo yako ya nyuma

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Taikon kama Mchunguzi huru, na ambaye ninajihusisha na watu wote, nilikuja kugundua kuwa moja ya mambo yanayowafanya Watu wengi kushindwa kufurahia maisha yao ni pamoja na kuendekeza PAST na BACKGROUND zao. Basi hivi leo, ikiwa wewe ni mmoja wa Watu wa aina...
  17. JamiiForums Tanzania Vijana mlio dhulumiwa pesa na TFF gomeni, ikiwezekana chomesheni mechi

    Kuna vukundi vya wahuni wachache wao wakisikia hela wanatetemeka na kugeuka kuwa mashetani. Nimesoma sehemu mbalimbali madogo wakilalamikia kupewa buku 20, msiwe wajinga waonyesheni hamjaenda kunyonyesha watoto maziwa kama wanavyowachukulia. Muwe pamoja, onyesheni umoja kama mnamechi...
  18. JamiiForums Tanzania Video: Magaidi 70 ya HAMAS yaliyokua ndani ya hostpitali yajisalimisha na bunduki zao

    Jamaa wameamua isiwe tabu IDF airs clip of gunmen surrendering in northern Gaza hospital, says 70 handed themselves in https://twitter.com/i/status/1735253223751946703
  19. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zinajitahidi kutafuta njia zao za maendeleo

    Tarehe 18 Desemba ni siku ya maadhimisho ya miaka 45 tangu sera ya mageuzi na ufunguaji mlango ianze kutekelezwa nchini China. Katika kipindi hicho, China sio tu imefanikiwa kujiinua kiuchumi, na mafanikio yake kuwa dhahiri kwa wote, bali pia imetoa usaidizi mkubwa kwa maendeleo ya Afrika na...
  20. JamiiForums Tanzania Kinana asome alama za Nyakati, wana CCM hawamwelewi

    KINANA:VIONGOZI SERIKALINI FUATENI NYAYO ZA RAIS SAMIA KUESHIMU SHERIA, KANUNI MNAPOCHUKUA HATUA DHIDI YA WATENDAJI Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana ametaka viongozi na watenaji serikalini kuzingatia kanuni, sheria, utaratibu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…