zanzibar

  1. S

    JamiiForums Tanzania Zanzibar mnapaswa kudai utaratibu ndani ya CCM wa angalau Naibu Spika atoke Zanzibar ikiwa Spika ni wa kutoka bara

    Kuna mambo yanaweza yakawa hayako kwenye Katiba, lakini yakawekwa kuwa uratatibu unaokubalika. Kwa mfano, ni utaratibu wa CCM kumwachia Rais kutoka CCM kugombea awamu ya pili ya Urais bila kumpinga. Hilo haliko kwenye Katiba ya CCM lakini limekubalika kwa watu wa CCM. Kwa msingi huo basi...
  2. JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi aanza kutema cheche, amtumbua Mkurugenzi wa Bandari

    Hapa kazi tu Zanzibar
  3. JamiiForums Tanzania Rais Hussein Mwinyi ataiunganisha Zanzibar na Bara

    Amezaliwa ndani ya muungano, ameishi Zanzibar na Bara, alikuwa mbunge Bara na Zanzibar, na amekuwa Waziri wa Wizara ya Muungano. Ni mtu sahihi sana kuinganisha vema Unguja na Pemba kisha Zanzibar na Bara. Ni kijana mwenye weledi, utu na muono wa mbali sana. Kama atashindwa yeye kuwaunganisha...
  4. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Dkt. Mwinyi atembelea bandari ya Malindi pamoja na Maruhubi kwa lengo la kutatua kero ya ucheleweshwaji wa mizigo

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametembelea Bandari ya Malindi Jijini Zanzibar pamoja na eneo la Maruhubi kwa ajili ya kutafuta muwarubaini wa ucheleweleshwaji wa kutolewa kwa mizigo bandarini hapo. Ziara hiyo ya Dkt. Hussein Mwinyi ni ya kwanza...
  5. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Dkt. Mwinyi Talib Haji Ateuliwa Kuwa Mwanasheria Mkuu

    Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi amemteua Dkt Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar. Kabla ya Uteuzi Dkt. Mwinyi Talib alikuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Uteuzi huo unaanza Novemba 3
  6. C

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Hafla ya kuapishwa Rais mteule Awamu ya Nane, Dkt. Hussein Mwinyi Uwanja wa Amaan

    Leo Rais Mteule wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi anaapishwa kuyatwaa Rasmi madaraka ya kuingoza Zanzibar akimrithi Dr. Ali Mohamed Shein. Kwa sasa tayari wananchi na viongozi wameshawasili ikiwemo marais wastaafu, Ali Hassan Mwinyi na Dkt. Jakaya Kikwete. ======= 3:35 Asubuhi: Amewasili mkuu...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali na Polisi sasa waanze kujibu uzuri madai na tuhuma zinazorushwa mitandaoni na Vyombo vya Habari vya kimataifa

    Mitandao ya kijamii ni eneo pana na lenye kuweza kuwekwa picha mbambali za video iwe za miaka ya nyuma, miaka hii au hivi karibuni. Kwasababu la kiusalama inawezekana kabisa kuzuia mitandao isiwezeshe video za namna hii kutumika kueneza uchochezi na uvunjifu wa amani katika nchi yetu bila...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kutangaza maandamano pekee hakutoshi, kunahitaji maandalizi. Tujiulize kwanini maandamano ya Seif Zanzibar hayakufanikiwa

    Kuandaa maandamano ni fani kunahitaji mipango madhubuti, hata kama una ajenda muhimu huwezi kukurupuka na kutangaza leo au kesho kuna maandamano, Seif alikuwa na ajenda lakini hakuwa na mipango madhubuti aliongozwa na mihemuko, hasira na jazba. Wataalamu wa mipango ya maandamano wanasema ili...
  9. JamiiForums Tanzania Polisi Zanzibar yakiri kumshikilia Naibu Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo (Nassor Mazrui) na vijana wengine 33 wa Chama hicho

    Jeshi la Polisi la Zanzibar limekiri kumshikilia Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Bw. Nassor Mazrui na vijana wengine 33 wakiwatuhumu kuwa na mabomu na kushiriki harakati mbalimbali za kuingilia mchakato wa Uchaguzi usiku wa tarehe 28/10/ 2020
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi matukufu ya Zanzibar 1964 - Nafurahia yanayotokea leo?

    Nani alipinduliwa 1964? Ni Mfalme ni Uhuru wa Zanzibar ni kitu gani haswa? Waathirika wengi wa mapinduzi ya 1964 Zanzibar ni waZanzibari na sio Mfalme, kauli za leo kwa walio wengi zinasema yanayotokea Zanzibar ni dhulma iliyofanywa 1964 na waathirika wanasema waache wauwane au wauliwe au...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Zile Kamati za Amani na Maadili, na Viongozi wa Dini hawaoni yanayoendelea Zanzibar?

    Kipindi cha uchaguzi kulijitokeza kamati zilizohusisha viongozi wa dini mbalimbali kuombea uchaguzi ufanyike kwa amani, kuna kamati nyingine ilikuwa inajiita Kamati ya Maadili ya Taifa kazi yake kubwa ilikuwa kutoa adhabu kwa wagombea wa Vyama vya Upinzani. Hizi kamati mbona hatuzioni wakati...
  12. JamiiForums Tanzania Siasa za Zanzibar: Hongera Dr. Mwinyi Kwa Ushindi wa Kishindo, Maalim Makamo wa I, Mteue Balozi Amina Salum Ally Awe Makamo wa II, Utoe Sare Sare Maua

    Wanabodi, Kwa vile uchaguzi wa Zanzibar pia umesababisha vidonda na bado ni vibichi, damu bado haijakauka, hivyo naomba kuanza bandiko hili kwa a healing massage ya kuponya vidonda kwa kuungana na Watanzania wengine wote wapenda haki, amani na utulivu, kutoa pole kwa wahanga wa kilichotokea...
  13. JamiiForums Tanzania Dkt. Hussein Mwinyi ashinda kiti cha Urais Zanzibar kwa asilimia 76.27

    Mgombea wa kiti cha urais wa Zanzibar kwa kupitia chama Cha CCM, Dkt. Hussein Mwinyi ametangazwa kushinda uchaguzi huo kwa kupata kura 380402 sawa na 76.27% Mpinzani wake wa karibu Mgombea urais kwa kupitia chama Cha ACT Wazalendo, Maalim Seif amepata kura 99103 sawa na 19.87% Mwinyi...
  14. S

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Ismail Jussa apigwa vibaya na vikosi vya usalama Zanzibar na sasa yuko hospitali ya Makao Makuu Polisi Zanzibar

    Member of the Central Committee of the Party @IsmailJussa has been severely beaten by the Zanzibar Armed Forces and he is currently at the Police Headquarters Hospital, Ziwani Zanzibar. @usembassytz, @GermanyTanzania, @BBCPolitics.
  15. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 toka maeneo mbalimbali

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka Zanzibar. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. ORODHA RASMI YA WAGOMBEA WANAOWANIA URAIS KWA MUJIBU WA ZEC ORODHA RASMI YA WAGOMBEA WANAOWANIA UBUNGE KWA MUJIBU WA ZEC...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 IGP Sirro: Kukaa na kulinda kura ni dalili ya kufanya vurugu, baada ya kupiga kura rudini nyumbani

    Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amewataka Wananchi kujitokeza kwa wingi na kupiga kura kesho akiwashauri warudi nyumbani na kuendelea na shughuli zao. Ameeleza kuwa, baadhi ya viongozi wamekuwa wakihamasisha wapiga kura walinde kura, kitendo ambacho amesema ni dalili ya kufanya fujo...
  17. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Zanzibar limelazimika kutumia mabomu ya machozi katika baadhi ya maeneo kutokana na viashiria vya uvunjifu wa amani

    Unguja. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi kisiwani Zanzibar limesema limelazimika kutumia mabomu ya machozi katika baadhi ya maeneo kutokana na uwepo wa viashiria vya uvunjifu wa amani. Limesema waliokamatwa ni waliochoma matairi na kuyaweka katikati ya barabara na waliokwenda katika...
  18. JamiiForums Tanzania Maalim Seif akamatwa wakati akienda kupiga kura ya mapema

    Kuna update: Update 2: Maalim Seif alazimishwa kurudi nyumbani. Vipigo vyaendelea kutembezwa - Imevuja!
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Balozi wa Marekani nchini ashitushwa na kusikitishwa na matukio ya uonevu wa Vyombo vya Dola dhidi ya wananchi Zanzibar na kwingineko Tanzania

    Nchi yetu ipo right below the microscope - hachomoki mtu mwaka huu haki ya nani
  20. S

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Vikosi vya Usalama vyapiga mabomu ya machozi, wananchi wakimbia na kuacha mitaa ikiwa mitupu. Huduma za kijamii zasimama

    Askari zaidi ya 20, wakiwa ndani ya magari yao asubuhi ya leo wanafyatua mabomu ya machozi kwa kila kundi la watu wanalokutana nalo. Katika eneo la Darajani, askari hao bila kuwepo kwa viashiria vya uvunnjifu wa amani, wamefyatua mabomu ya machozi kwa kundi dogo la watu waliokuwa pembezoni mwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…