Video ikionyesha wananchi wakiwarushia mawe askari visiwani Zanzibar
Video ikiwaonyesha askari wakimshushia kipigo Mwananchi kwa madai ya kuwarushia maneno
Kwa vyovyote vile Wazanzibari ni dhahiri wameshaamua lolote na liwe, ukisikia kauli za watu wa Zanzibar, vijana hata wazee wanaonyesha hawajali tena na roho zao zimeshakinai na wako tayari kwa lolote!.
Zanzibar ya safari hii pengine ni Zanzibar iliyo bitter (uchungu) kuliko Zanzibar ya wakati...
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad hivi sasa yuko katika Kiwanja cha Mnazi Mmoja Unguja kuhitimisha Kampeni zake za kuelekea Ikulu.
Maalim Seif akiingia Kiwanja cha Mnazi Mmoja
Wanawake hawako nyuma katika shughuli ya kumpeleka Maalim Seif Ikulu...
Mkutano wa kampeni wa Jabali Maalim Seif Kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja umehudhuriwa na Umati mkubwa wa watu pengine kuliko mkutano wowote uliowahi kufanyika Zanzibar tangu mfumo wa vyama vingi uanze .
Ushahidi huu hapa
Vikosi vya SMZ jana usiku walivamia Barza ya Mwanakombo; hii ni Ofisi ya Ngome ya Vijana wa @ACTwazalendo. Vitu walivyoiba ni Tv na Viatu, pia waliondoka na Mlingoti wa Bendera.
Aidha leo hii Naibu Katibu Mkuu wetu upande wa Zanzibar ametekwa na watu wanaosemakana kuwa ni Vijana wa Jeshi...
Ndugu na jamaa wanaotarajiwa kufanya safari ya kuja Zanzibar au kwenda Bara mnapaswa kufanya safari zenu mapema kabla ya wiki ijayo ya tarehe 28.
Mkumbuke siku hiyo hakutakuwa na chombo kitakachobeba raia kutoka sehemu tajwa hapo juu.
Huyu mwanamama ametoa kauli kali sana na ya kishujaa juu ya mustakabali wa uchaguzi wa Zanzibar na Tanzania bara. Aghalabu ni nadra sana kwa wanaume wa Tanzania kujitokeza wazi wazi na kutoa kauli kama hizo.
Naona miaka hii ya 2000 wanawake ndiyo watakuwa viongozi wa mapinduzi dhidi ya tawala...
Tume ya Utangazaji Zanzibar imefungia kituo cha RVS Online TV kwa kutoa habari zisizo na uwiano kwa vyama vyote vya siasa na kurusha maudhui yanayoashiria uvunjifu wa amani.
Tume ya Utangazaji imesema ilikiita kituo kiliitwa mara ya kwanza Septemba 9, 2020 ili kujibu hoja za ukiukaji wa...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu Watanzania, eti;
Maneno haya ya kiarabu yana maana gani katika nembo ya "Zanzibar University" ilhali lugha rasmi za taifa (Bara na Visiwani) ni kiingereza pamoja na Kiswahili?
MAELEZO MACHACHE SANA KUHUSIANA NA "ZANZIBAR...
Nafahamu kwamba sheria hairuhusu mgombea urais wa JMT mh Membe kumpigia kampeni mgombea urais wa JMT mh Tundu Lissu
Hali ikoje pale Maalim Seif wa Zanzibar anapopanda jukwaa la CHADEMA na kumpigia kampeni Tundu Lissu?
Au Tundu Lissu kumpigia kampeni Maalim Seif?
Maendeleo hayana vyama!
SMZ imetangaza Oktoba 18 na 19 kuwa siku za mapumziko ili kusheherekea maulidi
Pia imetangaza siku ya Oktoba 28 kuwa siku ya mapumziko ili Wananchi waweze kupiga kura
#USAFIRI WA ANGA.
CCM inatambua kuwa usafiri wa anga ni njia muhimu na ya haraka inayounganisha visiwa vya Zanzibar na sehemu nyingine duniani. Katika Ilani hii, Chama cha Mapinduzi kitaelekeza SMZ kuongeza uwezo na ufanisi wa viwanja vya ndege kwa kuzingatia viwango vya kimataifa ili kuendana...
LEO tarehe 15, Oktoba, ni siku ya kimataifa ya unawaji mikono duniani kote, ambapo kitaifa kwa Zanzibar sherehe hizo zinaadhimishwa kisiwani Pemba.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Naibu waziri wa Afya Zanzibar Harusi Said Suleiman wakati akizungumza na waandishi wa habari ukumbi wa ZBC...
MGOMBEA wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ADA TADEA, Juma Ali Khatib, amesema anakusudia kuinua sekta ya michezo, kwa kuweka bajeti maalum ya kuendeshea ligi kuu ya Zanzibar, badala ya kusubiri wafadhili.
Alisema hayo ikiwa ni sehemu ya kampeni zake, zinazoendelea kufanyika kisiwani...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHA UMMA) ambaye pia ni Mgombea wa Urais wa chama hicho Ali Omar Juma, amewataka wanachama wa chama hicho kumpigia kura ya ndio Maalim Seif Sharif Hamad ambae ni mgombea wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT- Wazalendo katika uchaguzi mkuu...
Zanzibar ina wapiga kura wasiozidi laki 5, Tanzania bara ina wapiga kura takribani milioni 29.
Zanzibar yenye wapiga kura laki 5 watapiga kura kwa siku mbili yaani tarehe 27 na 28/10 wakati Tanzania bara yenye wapiga kura wengi 29mil. watapiga kura kwa siku moja trh 28/10 tu. Kwanini? Kuna...
Katibu mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Dkt Idrissa Muslim anawatangazia Walimu, Wanafunzi na Wananchi kua, Wizara itazifunga Shule zote za Zanzibar kuanzia tarehe 24/10/2020 na kufunguliwa tarehe 2/11/2020 kwa ajili ya kupisha Uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu...
Mkutano wa kampeni za mgombea urais wa Zanzibar, kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad jimbo la Mpendaye.
Leo tarehe 08/10/2020, Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad amefanya mkutano wa hadhara kwa kuwakutanisha...
Tangu kuanzishwa kwa siasa za ushindani wa vyama vingi mwaka 1992, Zanzibar hapakuwahi kuwa na utulivu wa kisiasa kwa muda mrefu sana. Kila uchaguzi mkuu ulifuatiwa na mikwaruzano na kusababisha mpasuko wa kisiasa wa muda mrefu kati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kilichokuwa chama kikuu cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.