Mwaka 1964 nchi ya Tanganyika iliungana na nchi ya Zanzibar na kuzaa nchi ya Tanzania.
Nilitarajia muungano ule ungezifuta nchi zote mbili yaani nchi ya Zanzibar na nchi ya Tanganyika ili kuwe na nchi moja tu ya Tanzania. Kinachoshangaza kwa muungano huu ni uwepo wa nchi ya Zanzibar na kutoweka...
Wakili Madeleka amesema yapo mambo ambayo yanashughulikiwana muungano wa falme za Kiarabu na yapo mambo yanashughulikiwa 'individual emirate'
Madeleka ametolea mfano wa Zanzibar isivyoweza kusain mktaba na Kenya, kuchukua mkopo japokuwa inae Rais. Madeleka amesema Zanzibar haina ubalozi popote...
Utajiri wa uswizi leo hii umechangiwa sana na namna ambavyo walitumia mwanya wa kutengeneza Sheria nzuri zilizowafanya matajiri wengi wa ulaya kupeleka fedha zao Uswizi kwa kuwa nchi za ulaya zilitengeneza Sheria kali sana za kodi baada ya vita kuu ya pili ya Dunia.
Leo hii Zanzibar wametangaza...
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imepiga marufuku tabia ya wanaume kusuka nywele na anayekamatwa faini yake ni Sh1 milioni au kifungu cha miezi sita au vyote kwa pamoja.
Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne, Julai 11, 2023, Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya Elimu na Utamaduni Zanzibar, Dk...
amavubi gfsonwin
baraza
faini
jirani
kibali
kifungo
king'asti asprin
kufunga
kukamatwa
kutoka
malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli
marufuku
miezi
milioni
milioni 1
nchi
nchi jirani
nywele
sheria
tanganyika
wanaume
wanawake
zanzibar
Serikali ya Zanzibar kupitia Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni imepiga marufuku mtindo wa Wanawake kulowesha kwenye maji nguo walizovaa na kisha kucheza nazo mziki kama ambavyo imekua ikifanyika kwenye baadhi ya sherehe ama mikusanyiko.
Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya...
"Mwanafunzi yeyote wa Zanzibar hana sababu ya msingi ya kukosa mkopo wa elimu ya juu kama ana vigezo kwasababu mwanafunzi Mzanzibar una nafasi mbili za kuomba mkopo, unaweza kuomba mkopo Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu Zanzibar (ZHELB) au Bodi Ya Mikopo Elimu Ya Juu Tanzania (HESLB) kote...
Anawaagiza polisi watushughulikie tunahaoji mkataba wa kuiuza tanganyika. Ni rasmi tanganyika tumekuwa koloni la Zanzbar.
Polisi msikubali Tanganyika iuzwe na wazanzibari. Tumieni akili zenu vizuri.
Hoteli ya The Nest iliyoko Paje Zanzibar yawaka moto, na kwa mujibu wa mashuuda ni kuwa moto huo umesambaa kwa hoteli ya jirani ya inayoitwa Maisha Matamu na unaelekea kusambaa ya tatu!
Zimamoto wamechelewa kufika huku chanzo cha moto huo kikiwa hakijulikani.
Halmshauri Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kusini Unguja imemfuta uanachama kada wake Balozi Ali Karume.
Kikao cha kumfuta uanachama Balozi Karume kimefanyika saa saba usiku wa kuamkia leo Jumamosi Julai 8, 2023 chini ya Katibu wa Mkoa wa CCM, Amina Mnacho.
Taarifa ya kumuondosha kwenye...
Kiwanja kipo eneo la Chonga wilalya ya Chake chake
Kina ukubwa sqm 850
Kipo mita 30 kutoka barabara kuu
*Kiwanja kipo karibu msikiti na hospital ya Chonga
Umeme ushafika hauhitaji nguzo
Madrasa ya Qurani yapo hapohapo
Kuna miti (3) ya mikungu, mshelisheli (1) na muembe ng'ongo (1)
Bei Tsh...
Zanzibar yazinduwa mfumo wa bima ya kiislam
Jionee mwenyewe:
Bima ya Kiislam uendeshwaji wake huitwa "Takaful: nikamuuliza AI ChatGPT anifafanunulie:
Ni nini bima ya Takaful?
Bima ya Takaful ni mfumo wa bima uliojikita katika misingi ya Kiislamu ambao unalenga kutoa ulinzi na usalama wa...
Kama hamfahamu, Rais Samia ana miliki kituo cha redio huko Visiwani na kwa tetesi zilizopo yapo maendelezo ya ghafla isivyo tarajiwa kwayo.
Inasemekana lakini, eti, kuna baadhi ya material yanatoka bara isivyo ndani ya utaratibu na kupelekwa kule.
Yawayo, yamo!
Mliopo karibu na kituo hicho...
Zanzibar hamuisikii ikiongelewa kwa kuwa yanayofanyika Zanziba sasa hivi ni tayari wapo hatua za utendaji. Mikataba imefikia hatua za kibiashara, siyo IGA tena.
Mikataba ya Kibiashara hatuwezi kuivujisha sisi lakini kwa kuwa wenyewe watendaji wamewachia, sasa hatuna "obligations" za " Non...
Nimesoma na kusikiliza hoja nyingi zilizojaa hisia kali juu ya hili sakata la DP World ya Uarabuni (Imarati ya Dubai) kukabidhiwa bandari zote za bahari, maziwa, mito na hata nchi kavu, alimradi imehusiana na bandari. Ni mambo ya ajabu sana ukitulia na kusoma kwa kutafakari.
Lakini jambo...
Siku haipiti bila kusikia malalamiko juu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulioanzishwa kwa shinikizo la Marekani na tamaa ya madaraka ya Abedi Amani Karume na genge lake la mapinduzi. Je huu mnyukano ulioibuliwa na kutaka kuwekezwa kwenye bandari zetu utatufikia wapi kama taifa? Je muungano...
Ni Askofu Severine Niwemugizi wa Jimbo Katoliki la Rulenge, Ngara ameandika kwenye ukurasa wake wa Facebook
===
Hiyo picha chini inaonyesha janga la uharibifu wa mazingira eneo la Segerea, mto Msimbazi! Miaka 27 iliyopita mto huu haukuwa mpana hivi. Palikuwa na daraja unavuka toka pale seminari...
Coders / Developers mnacode mkiwa mmejifungia chumbani au mnatembea na laptop kama mimi kwa ajili ya kubadilisha mazingira ya kazi.
Nipo zangu zanzibar nakula upepo huku kazi ikiendelea
Zanzibar wakitaka kufanya chochote wanakuta kwenye (bunge la Zanzibar) baraza la wawakilishi pale Chukwani wanatunga na kupitisha sheria taratibu kanuni kwa ajili ya Zanzibar peke yao na kuweka kwenye katiba yao kando kinachoitwa katiba ya muungano.
Na ukiingia Zanzibar katiba inayotumika ni...
Habari za mihangaiko wanajamii,
Hivi karibuni nafikiria kwenda Zanzibar kwaajili ya kuanza Maisha, pamoja na kutafuta kazi huko hasa zinazohusu tourism and hospitality.
Kwa wenyeji na wazoefu wa Maisha ya Zanzibar Je, Maisha ya utafutaji yapo vipi huko (ugumu na wepesi wa kupata kazi)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.