zanzibar

  1. WIDERANGE AFRICAN SAFARIS

    JamiiForums Tanzania 2 Days Mikumi Safari Package from Zanzibar

    The 2 Day Mikumi Safari from Zanzibar is a fly in adventure with minimal travel time, featuring exciting game drives in Mikumi National Park to see elephants, lions, giraffes and more, guided by experts, with a quick return to Zanzibar. Packages typically start around $600 to $900+ per person...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Zanzibar futeni history ya kusema Karume ni mwanamapinduzi yenu

    John Okello alikuwa Mzaliwa wa Uganda ambaye aliongoza Mapinduzi ya Zanzibar ya tarehe 12 Januari 1964 yaliyomuondoa madarakani Sultani Jamshid bin Abdullah. Hata hivyo, baada ya mapinduzi hayo, ushawishi wake ulianza kupungua haraka. Baada ya Sheikh Abeid Amani Karume kurejea Zanzibar na kuwa...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM Zanzibar impe heshima yake John Gideon Okello

    Inajulikana kuwa aliyeongoza mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964 ni mganda aliyejulikana kwa jina la John Gideon Okello, lakini CCM Zanzibar haitaki kumtambua wala kumpa heshima yake. CCM tunawajua ni wabinafsi lakini hili la kutokumpa heshima yake aliyeongoza mapinduzi ya Zanzibar litawagharimu...
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Zanzibar kuanza kutumia magari ya umeme

    Nimeona gazeti la Citizen kuwa SMZ inataka kuachana na magari ya mafuta na kuhamia ya umeme. Uamuzi mzuri sana. Urefu wa Zanzibar ni kama kilomita 90 tu. Na upana 35km. Mazingira kama hayo yanafaa sana gari za umeme. Hakuna jabari za range anxiety. Tena nawashauri Zanzibar waruhusu na magari...
  5. radhiya

    JamiiForums Tanzania The Hills Nungwi Apartments For Sale at Zanzibar

    We are pleased to introduce The Hills Nungwi by Majestic Luxury Suites, a premium residential development located just 50 meters from the beach in Nungwi, Zanzibar. The project consists of a total of 88 units, designed to offer both lifestyle and investment value: • 56 one-bedroom apartments...
  6. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga, Azam, Singida Black Stars na Fountain Gate Academy kuhamia ligi ya Zanzibar Muda wowote kuanzia sasa

    Wataitisha press ya pamoja, baada ya hapo Azam Media limited italalamika na kusitisha matangazo ya ligi kuu Tanzania bara kwa kigezo cha kuhofia hasara baada ya baadhi ya timukujitoa. Samia anaharibu nchi, kaharibu na mpira.
  7. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi atembelea Banda la GF katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametembelea banda la kampuni ya GF katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), wakati wa hafla rasmi ya kufunga msimu wa maonesho ya mwaka 2026. Katika ziara hiyo ya heshima...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Maridhiano ACT na CCM Zanzibar ni unafki na danganya toto Watanzania kuona nchi ina maridhiano

    "Kuna, kuna, kuna, kuna unafiki ule unaofanyika Zanzibar wa kusema kitu tofauti na kufanya tofauti. Na mimi nasema mzungumzo ni moja ya nyenzo ambayo sisi kama Chadema tunaamini katika kushughulikia matatizo. Tunaamini kwenye mapambano tunaamini kwenye mazungumzo lakini sisi tumesema tunaamini...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mambo 7 Yaliyokubaliwa Katika Maridhiano ya Zanzibar

    Katika waraka wa maridhiano uliowasilishwa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Zena Ahmed Mohamed, pande zote mbili zimekubaliana kuzingatia misingi saba muhimu itakayoongoza utekelezaji wa makubaliano hayo: 1. Kuimarisha ushirikiano wa dhati kwa kuzingatia hali halisi ya...
  10. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Vile vyama Uchwara, mbona havijalalamika kutoshirikishwa Maridhiano ya Zanzibar

    Kuna vyama vilishiriki uchaguzi Mkuu, vinalalamika kwamba CHADEMA Asifanye maridhiano na CCM bali maridhiano yafanywe na vyama vyote. CHADEMA anataka uwajibikaji kabla ya maridhiano na Msamaha. Vyama Uchwara vinadai CHADEMA Wasisikilizwe kwani nao wana haki kama chadema. Sasa mbona Zanzibar...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Makubaliano ya Maridhiano baina CCM na ACT Wazalendo - Julai 9, 2026

    Hii hapa: Jambo Tv https://www.youtube.com/watch?v=44nfO46PvfU
  12. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ni sehemu zipi wanauza potassium

    Nipo kisiwa cha unguja Bado sijapata direction, ni sehemu gani hapa naweza nunua potassium, please isiwe shamba, naombeni maelekezo hususani hapa mjini magharibi
  13. Freyzem

    JamiiForums Tanzania Je ni rahisi Timu ya Azam, kuhama ligi ya Tanzania Bara, na kuhamia Zanzibar?! Tupitie hapa Tuone...

    Baada ya mechi kati ya Simba na Azam, mengi yameibuka..kubwa zaidi likimuibua mmiliki wa Azam na kutoa ya moyoni hasa kuhusu marefa, na kupelekea kusema ataiondoa Azam Bara na kuipeleka Zanzibar. Sasa tuone je hilo linawezekana au vipi. Tuanze; Ndiyo, inawezekana, lakini ni nadra sana na...
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania Jamal Bakhresa: TFF imeharibu mpira wa Tanganyika. Azam FC nitaihamishia Zanzibar

    Mmiliki wa Azam FC, Jamal Bakhresa, amesema yupo tayari kuiondoa timu hiyo katika Ligi Kuu Tanzania Bara na kuihamishia Zanzibar, akidai kuwepo kwa ukosefu wa haki katika uendeshaji wa ligi. Bakhresa amesema uamuzi huo unatokana na kile alichodai kuwa ni waamuzi kutotenda haki katika baadhi ya...
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Simba haiwezi chukua Ubingwa kwa Azam Zanzibar

    Nilisema na nasema tena. Simba haimfungi Azam Zanzibar. Kupeleka kule ni mkakati Maalum Azam kwao ni Zanzibar kama hamjui. Nimekaa hapa
  16. radhiya

    JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zipo

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga tatu. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 3,000/= tu. Delivery...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kilio cha Watumishi Hospitali ya Mkoa Lumumba (Zanzibar): Madudu, Dhuluma ya Masaa na Ubaguzi wa Kampuni ya NSK

    Wana-JamiiForums, Naleta mada hii mbele yenu nikiwa na masikitiko makubwa na dhumuni langu ni kuomba ushauri, lakini pia kufikisha sauti yetu kwa mamlaka husika juu ya ukiukwaji mkubwa wa sheria za kazi na haki za binadamu unaofanywa na Kampuni ya NSK, ambayo inasimamia Hospitali ya Mkoa ya...
  18. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania CRDB FED. Fainali ikipelekwa Zanzibar Simba hatoboi. Nawaambia kabisa hili Muelewe. Simba hamfungi Azam Zanzibar

    Mpango wetu ulienda kama ambavyo tulipanga. Scratch my back and i will scratch yours. Azam atufunge Shirikisho apite akapambane na Simba akachukue kombe akashiriki Kimataifa. Maana amewekeza sana kwenye usajili. Ni aibu akikosa shiriki CAF. Na ushindi wake kwetu usingemsaidia kitu kwenye ligi...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Nani anamnyonya mwezake? Tanganyika au Zanzibar? Kwanini Watanganyika hawateuliwi kuwa viongozi Zanzibar? Tanganyika ipo wapi?

    Naona dalili za Muungano kuvunjika zinanukia. Kila kona ya Tanganyika ni minog'ono juu ya Wazanzibari kuwanyonya Watanganyika kwenye kila sekta. Mfano, teuzi nyingi kwa sasa wanapewa Wazanzibari hata kwenye masuala ambayo sio ya muungano. Mbaya zaidi Watanganyika hawateuliwi kuwa viongozi...
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Chanzo Cha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na Sura Yake 1964 - 2026

    https://youtu.be/MMjqlioWkrE?si=s4JlXcHPmN_pZzjq
Back
Top Bottom