zanzibar

  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Tunawakumbuka: Mapinduzi ya Zanzibar Kipindi Cha Kwanza

    https://youtu.be/_p4-XBxMbBc?si=GhBz__6hPQu9Dj3s
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Japo Tanzania na Zanzibar ni Nchi Moja, Lakini Kwenye Utoaji wa Haki, Zanzibar Wametupiga Bao!, Wameanza Mchakato wa Kuelekea Kwenye Smart Justice

    Wanabodi, Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye sehemu mbili, Tanzania Bara iliyokuwa Tanganyika na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar. Zanzibar sio nchi, bali ni sehemu ya JMT yenye kujitegemea kwa utawala wake ndani. Mfumo wa utoaji haki unaongozwa na...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu wa Tanzania ni wa Tanganyika pekee au ana mamlaka hadi Zanzibar?

    Mbona huwa sijawahi kuwaonea wakina Majaliwa na Mwigulu wakienda kutoa maelekezo, maagizo na kufanya mikutano ya kutatua changamoto za wananchi Unguja au Pumba? Hii nafasi ya waziri mkuu wa Tanzania mamlaka yake yakoje katika nchi ?
  4. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kama Zanzibar ni nchi huru,Je Tanzania ina muungano na nchi gani? Rejea katiba ya Zanzibar.

    Hivi leo ACT wanaojiita Wajamaa na Wazalendo leo wanapigania Uzanzibar! kule Zanzibar,kwa nini wasipiganie na Utanganyika huku Tanganyika,ila wamekaa kimya kwa upande wa Tanganyika nao wanaiita Tanzania,sasa Tanzania kwa sasa ni muungano wa Tanganyika na nchi gani ? Montevideo Convention ya...
  5. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Mapungufu yetu kama Taifa yalianzia hapa 1984 tulipobadili katiba ya Zanzibar

    MAPUNGUFU YETU KIMAADILI YALIANZA KWENYE MICHAKATO HII Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 1984 na 1992 upande wa Jamhuri pia Uandishi wa Katiba ya Zanzibar mwaka 1984 na mabadiliko yalofuatia mwaka 2002. Mwaka 1984 tuliona mabadiliko kwenye katiba ya Tanzania na Zanzibar,kama leo hatuitaki katiba...
  6. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Wazanzibari wanajifanya hawaelewi kinachoendelea Tanzania bara?

    Naona Wazanzibari wanasema sisi ni wabaguzi eti kwa sababu Rais ametoka Zanzibar. On paper Samia ni Rais wa Muungano, yani wa Tanzania yote, lakini Zanzibar ina Rais wao tayari kwa hiyo wana Marais wawili, Rais wa Zanzibar na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Lakini kwa kuwa Samia ni...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jussa: Rais katoka Zanzibar imekuwa nongwa, Rais alipokuwa wa kwao hawakuona Tanganyika imeuliwa

    Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Ismail Jussa, amewashukia baadhi ya wanasiasa wanaokosoa mfumo wa Muungano na uwepo wa Rais kutoka Zanzibar, akisema wameanza kukumbuka "Utanganyika" wao kutokana na chuki binafsi dhidi ya viongozi waliopo badala ya kusimama kwenye misingi ya kisheria na...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Zanzibar na Maprofesa wetu

    Tumefika hapa. Na bado Haya twende kazi
  9. T

    JamiiForums Tanzania Butiku: Viongozi wote wa Zanzibar walikuwa wanamuunga mkono Seif kulinda Zanzibar ila Tanganyika mambo yao yote wameyaweka kwenye muungano

    Mzee Butiku anasema kwenye Ile tume ya katiba walipowahoji viongozi wote wa Zanzibar walionyesha kuwa na uchungu sana na nchi Yao na hapo viongozi wote walikuwa wanakubaliana na maalim Seif. Kwa upande wa bara wao mambo yao yote wamesalimisha kwenye muungano. Amesema hayo akihojiwa na mtaalamu...
  10. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Othman: Zanzibar haitonyooka bila Baraza madhubuti la Wawakilishi

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman, amesema Zanzibar haitofikia maendeleo ya kweli pasi na kuwepo Baraza makini la Wawakilishi, linalosimamia maslahi ya Umma na matakwa ya Wananchi. Amesema Zanzibar katu haitonyooka hadi kuwepo na Baraza madhubuti la Wawakilishi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Panapokuwa na Rais wa Bara Muislam panaweza kuwa na makamu mkristo kutoka Zanzibar ?

    Mfano kipindi cha Kikwete alilazimika kuwachagua Ali Mohamed Shein na Mohamed Gharib Bila
  12. F

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali hii imeshindwa kueleza kwanini Saruji imeadimika kiasi hiki?

    Serikali hii imeshindwa kueleza kwanini cement imeadimika kiasi hiki? Tunaona mchanga kwa millioni ya tonnes yanapelekwa Zanzibar, , Miradi mingi Zanzaibar inafanywa kwa pesa za kodi toka bara, wakati barabara za Tanganyika zimejaa mashimo, AU ni wakati wa mama kujenga KIZIMKAZI? Ujenzi...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tujihoji: Inawezekana njama kufanywa na mtu mmoja? Alafu akapanga kuzunguka Tanganyika na Zanzibar kuchoma majengo ya serikali?

    Kwa mujibu wa sheria yetu ya kanuni ya adhabu. Njama au conspiracy kwa kiingereza inaweza kufanywa na mtu mmoja? Yaani mtu mmoja apange njama. Yeye mwenyewe peke yake apange kuchoma moto vituo vya polisi, Ikulu ya Tanganyika na Zanzibar. Achome mashule. Wakati huo huo apande boti aende Zanzibar...
  14. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Kumbe inawezekana kujenga barabara kutoka Zanzibar kuja Tanzania Bara?

    Baada ya kuangalia ramani inayoonesha kina cha bahari, nimegundua ya kwamba kuna eneo la magharibi ya Zanzibar ambalo lina mwambatano wa kina kifupi sana cha bahari na visiwa vidogo vidogo ambavyo inanipa ishara kwamba huko mbeleni miaka ijayo inaweza kufanyika land reclamation ya kujaza vifusi...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Fifa waandikiwe barua nyingine ili Tff wapewe adhabu. Huwezi kupeleka mechi ya ngao ya hisani Zanzibar wakati Zanzibar wana ZFf na ligi yao.

    Kwa ujumla huku ni kuleta siasa kwenye mpira. Na ni kinyume na misingi ya Fifa inayozuia kuingiza siasa kwenye soccer👇
  16. radhiya

    JamiiForums Tanzania Hills Nungwi New Apartments For Sale at Zanzibar

    We are pleased to introduce The Hills Nungwi by Majestic Luxury Suites, a premium residential development located just 50 meters from the beach in Nungwi, Zanzibar. Pricing: • One-bedroom apartments: USD 148,500–198,000 (77sqm) • Two-bedroom apartments: USD 165,000–220,000 (89sqm) •...
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Wakazi Jaws Corner: Muungano wa Tanganyika na Zanzibar una manufaa mapana

    Wakazi wa eneo la Jaws Corner, Mji Mkongwe Zanzibar, wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa ziara yake katika eneo hilo, wakisema imewapa faraja na kuthibitisha kuwa ni kiongozi anayewathamini na kuwajali wananchi wa Zanzibar. Wakazi hao...
  18. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Amenaswa na maneno ya kinywa chake mwenyewe; Asema - Zanzibar hakuna "aliyenyukuliwa". Watanganyika "Tulinyukuliwa" kwelikweli...!!

    ================= Tumuulize Bwana Kamusi tujue exactly maana ya neno "nyukua" na mnyambuliko wake... Na hii ndiyo maana yake... NYUKUA: Ni kitenzi cha Kiswahili kinachomaanisha kufinya, kunyofoa, au kung'oa kwa ghafla kwa kutumia vidole, na kitu chenye ncha kali: Mnyambuliko wa Maana na...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Zanzibar watu mil 1 wabunge 50, kila mmoja mshahara Mil 500 kwa mwaka sawa na Bil 25, Dar watu Mil 7-8 wabunge 10 tu!

    Zanzibar inatunyonya sana jaribu kufikiria eti wabunge 10 wanawakilisha watu milioni 7 hadi 8 na wazanzibari wapatao 50 wako bunge la Dodoma kuwakilisha wazanzibari wapatao milioni 1. Hapa nimeongelea wabunge tu lakini kama tujuavyo mbali ya wabunge tuna watendaji wengi wa ngazi mbalimbali za...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Zanzibar na ukoloni

    Yaniuwia vigumu kukaa kimya napoitazama Zanzibar ya leo. Kuna hali ya kibaguzi kwa baadhi ya Viongozi wa vyama vya Siasa na Serikali ya Zanzibar ambao kama kwamba bado wanaishi karne ya 15. Nasema haya kwa sababu sielewi sababu ya wao kusifia Utawala wa kifalme wa Sultan kama kwamba Zanzibar...
Back
Top Bottom