Wanawake waongoza maambukizi ya VVU Zanzibar

Wanawake waongoza maambukizi ya VVU Zanzibar

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,926
Reaction score
6,575
Kupitia bajeti ya Wizara ya Afya Zanzibar iliyowasilishwa Mei 19, 2026 inaonyesha idadi ya maambukizi ya VVU inaongozwa wanawake. Watu waliopimwa ni 129, 741 wanaume 57, 615 na wanawake 72, 126 ambapo walipatiwa huduma ya ushauri nasaha na upimaji wa VVU na kati ya hao watu 827 ambao wanaume ni 289 na wanawake 538 walingudulika na maambukizi ya VVU sawa na Asilimia 0.6

 
I dont think hiyo ndio core reason

ni sababu pia, kama mwanamke hana uamuzi juu ya mwili wake anabakwa kama akikataa, ataambukizwa tu, lisitoshe mulisms wanaruhusu polygamy so mtu ana wanawake 4 (officially) bado michepuko na ana lala nao wote hapo kuambukizana nje nje ...
 
Back
Top Bottom