Sheikh anatoa nasaaha nzito akitaka kuwepo kwa uwazi kabisa kuhusu mambo ya Muungano ili kuondoa migogoro na migawanyiko kati ya wananchi wa Tanzania Bara (Tanganyika) na Zanzibar. Anatoa wito wa dhati kwa Wanasheria Wakuu wa pande zote mbili kuweka wazi na kueleza kwa kina ni mambo gani hasa...
Tanganyika ndani ya Tanzania sasa imeshakuwa kichwa cha mwenda wazimu.
Kila Mzanzibari anajifunza kunyoa Tanganyika, na hili ni kero inyoweza kuathiri kwa kiasi kikubwa mustakabali wa Tanganyika.
On a serious note, kwa matamshi tuliyosikia kutoka kwa Mawaziri ndani ya serikali ya Zanzibar...
👉 Matukio ya vurugu yaliyotokea Zanzibar baada ya uchaguzi wa mwaka 2000 ni miongoni mwa matukio yaliyoacha maumivu makubwa katika historia ya kisiasa ya Tanzania. Mgogoro huo ulitokana na mvutano mkubwa wa kisiasa ulioibuka baada ya matokeo ya uchaguzi kupingwa na baadhi ya wadau wa kisiasa...
Sielewagi wazanzibar wanakosa nini hadi wanakua walalamishi sana kwene huu muungano ingawa Tz bara ndo inaumia na kutumia rasilimali nyingi kukihudumia hiki kisiwa.
Najiuliza na nchi ambazo zina oversee territory kama France inamiliki Mayote kisiwa kilichoamua kipindi cha uhuru kubaki kua...
MAAZIMIO YA KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA CHADEMA ZANZIBAR KILICHOFANYKA PEMBA TAREHE 07 JUNI 2026.
Kamati Maalum ya CHADEMA Zanzibar ilifanya kikao chake cha kawaida tarehe 07 Juni 2026, Kisiwani Pemba chini ya uongozi wa Makamo Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Mhe. Said Mzee Said. Kikao hicho...
1. Mpaka leo wangalikiwa chama kimoja kwani vuguvugu la siasa la vyama vingi ilianzia Zanzibar
2. Biashara: Rais mwinyi ndie aliefungua biashara kwani zamani kuuza sabuni na dawa ya mswaki ilikua kosa
3. Kujiuzulu uwaziri: Mheshimiwa Mwinyi ndio kiongozi pekee aliejiuzulu kwa hiari bila ya...
Badala ya nchi ya Zanzibar kukataza watu wa nchi nyingine kama Tanganyika na Kenya kutibiwa nchini Zanzibar mimi ningewashauri viongozi wa nchi hii kuchkulia jambo hilo kama fursa ya kiuchumi ya kuingiza fedha za kigeni.
Mara nyingi nimesema humu JF kwamba katika hali ya kuwa na raisi toka Zanzibar, waziri wa fedha toka Zanzibar, waziri wa miundo mbinu toka Zanzibar nk, kumekuwa na jitihada za makusudi kuchukua mikopo mikubwa mingi mlengwa hasa akiwa ni Zanzibar. Mpango uliopo ni kwamba ule mgao wa...
Bajeti ya Tanzania Mzima ni 31 Trilion means kila mtanzania Ana ratio ya 460,000. Na wazanzibari ni 8.5 Trilion Means kwa ratio mzanzibari Ana 6,580,000 (Plus 460,000 zile za watanzania maana nao wamehesabiwa)
Kwakweli ni maajabu
Na bajet ya Zanzibar kuanzia tulipokosa mtu wa kumonitor...
Bajeti ya leo Watanganyika mmeingizwa mjini mnajiona. Ushuru wa Magari umepanda Hadi 50% huku sheria ikibadilishwa ili mruhusiwe kusajili magari Zanzibar.
Maana yake ni kwamba ili mpate unafuu mtalazimika kusajili magari Kwao ili wapate ushuru huku kwenu kukidoda. Mtachezewa mpaka lini amkeni...
Hamjambo!
Maswali kama nilivyouliza.
Kama wanaojiuza wanatoka Bara na Kenya, je wanunuzi wanatoka wapi?
Na kwa nini Zanzibar iwe soko la biashara hiyo?
Huwezi fungua soko la Dhahabu Iringa.
Wala huwezi fungua Soko la Viazi Mwadui.
Soma Pia: Waziri: Wanaojiuza Zanzibar wanatoka Tanzania bara...
Akijibu swali bungeni, Waziri amesema kuwa serikali ina mkakati madhubuti wa kufanya operesheni za mara kwa mara katika maeneo yanayodhaniwa kuwa na viashiria vya biashara ya ukahaba.
Amesema operesheni hizo hufanyika kupitia Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na idara maalum, ambapo watu...
Waweza kuingia hata tovuti za Necta kuthibitisha hayo, miaka nenda miaka rudi nafasi za mwisho huwa ni Zanzibar.
Kwa wale wanaofika vuoni ambao asilimia kubwa husomea Bara, uwezo wao ni wa kawaida sana,
Lakini kitakwimu hakuna sehemu ambayo ina watu wengi maofisi ya taasisi kubwa au kwenye...
1. Kuna watu wanapoteza mamilioni ya fedha ,zinaokotwa na kutangaziwa wenyewe na kukabidhiwa
2. Wakati wa Ramadhani, wanakula nje, wakipita wengine wanakarabishwa. Wakiristo wengi wanakula-Ushahidi wa hili nenda msikiti shurba kidongo chekundu mwezi wa ramadhani
3. Wakiristo wengi hasa J2...
Watanzania tupige kura kuhusu huu muungano au maagano
laZima muungano uwepo Kwa mahitaji ya wananchi
Andika NDIYO kama unaupenda muungano
Andika HAPANA kama huitaji Muungano
Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum ametoa ufafanuzi wa kauli yake kuhusu Kadi ya Matibabu kwamba hakutaja sehemu Watu kutoka Bara.
Mkuya ametoa ufafanuzi huo leo Juni 10, 2026 wakati akihojiwa na Mwandishi wa Habari wa DW baada ya kuibukwa kwa mjadala wakati akijibu swali kupitia...
Tamko la kuwafurusha Wabara Zanzibar linaketa, kuchukiza, kuhuzunisha , na uchokozi
Je, bado tunauhitaji muungano?
Je, bado unafaa?
Kama unafaa, unamfaa na kutomfaa nani?
Salama.
Imekua too much sasa maana imefika hatua haiwezi kuvumilika hasa kauli za viongozi kutoka Zanzibar
Mwanzo walisema wawafurushe watu wanaofanya kazi mahotelini ambao sio wazanzibar
Leo tena kama sio mzanzibar hautatibiwa bure
Sasa hizi kauli zisipothibitiwa zinaongeza uhasama na...
Kamwe hakuna chama kinachoweza kukamata dola ya Tanzania bila kuwekeza vyema kwa wafuasi wengi wa Tanzania bara na Tanzania visiwani.
Dr Wilbrod Slaa na Marehemu Edward lowassa walitambua hili na waliwekeza katika hili.
Siasa za sasa za Chadema zimeegemea bara na zimejipeleka katika kupoteza...
Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar haiwezi kugharamia matibabu kwa Watu wasio Wazanzibar.
Saada ametoa kauli hiyo Juni 8, 2026 wakati akijibu hoja kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar kupitia vikao vinavyoendelea vya kujadili bajeti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.