zanzibar

  1. D

    Hakuna sheria Zanzibar inayokataza kula mchana wakati wa ramadhani

    Polisi zanzibar ni waongo sana, hakuna sheria yoyote Zanzibar inamkataza mtu kula wakati wa ramadhani. Miaka ya nyuma kesi zote zilizopelekwa mahakamani mashitaka yalisomeka tofauti, badala ya shitaka la kula mchana wakati wa ramadhani, mashitaka yote yaliletwa mahakamani kwa kosa la uzururaji...
  2. 4

    Kwako Rais wa Zanzibar Mwinyi Jr, nipo na jambo langu na wewe

    Wakuu, andiko hili ni fupi sana na nimatumaini yangu Mungu anabariki popote mlipo. Leo nipo na ujumbe kwa Rais wa Zanzibar, na kabla ya ujumbe, kwanza nimpe pole kwa kuondokewa na baba mzazi, ambaye kwetu sisi Watanzania tunamtambua kama baba wa pili wa nchi hii. Pia, nimtakie mfungo mtukufu...
  3. R

    Serikali ya mapinduzi Zanzibar ina dini?

    Salaam,Shalom. Nadhani swali linajieleza. Kwamba Serikali ya MAPINDUZI Zanzibar Ina dini? Ikiwa Ina dini, dini Gani? Na issue ya mtu KUFUNGA ni Tendo la Siri au la hadhara? Karibuni🙏
  4. M

    Kampuni ya utalii yapigwa faini kwa kuwaruhusu Watalii kula hadharani Zanzibar

    Kamisheni ya Utalii Zanzibar imethibitisha kuipiga faini ya dola 500 kampuni ya utalii ya Organisateur Francophone Tours and Travel kwa kuruhusu watalii kula hadharani katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan. Katika taarifa Afisa wa Uhusiano wa Tume ya Utalii Zanzibar Mohamed Nassor Bajuni alisema...
  5. R

    Je, Wakristo wataruhusiwa kusherekea Sikukuu ya Pasaka Jumapili huko Zanzibar? Je, endapo watasherehekea watakamatwa kwa kula mchana?

    Kuna msuguano wa fikra mitandaoni kuhusu Katazo la kula mchana adharani huko Zanzibar kipindi hiki cha Mfungo. Lakini kwa wenzetu wakristo jumapili ni Sikukuu ya Pasaka na naamini Zanzibar kuna wakristo wengi ambao wanajiandaa kusherekea Sikukuu hiyo. Je, Katazo la kula adharani linawahusu...
  6. figganigga

    Mwalimu Nyerere: Matatizo makubwa ya Tanganyika katika miaka ya baadaye itakuwa Zanzibar

    "Kama ningeweza kukivuta kisiwa hicho katikati ya Bahari ya Hindi, ningefanya hivyo." Alisema kwamba anafikiri mojawapo ya matatizo makubwa ya Tanganyika katika miaka ya baadaye itakuwa Zanzibar. Hapana, sifanyi mzaha," alisema Aliyasema hayo katika tafrija ya chakula cha jioni jijini Dar es...
  7. Etugrul Bey

    My dear Zanzibar

    Hapana shaka kabisa Zanzibar imejibebea sifa nyingi hapa ndani katika jamhuri ya Muungano na nje ya nchi pia. Na imebeba historia kubwa ya mambo ambayo inawafanya wageni kutoka mataifa mbali mbali kwende kutembea huko na kujionea utajiri wa historia wa mambo ya Kale. Bila kusahau ukarimu wa...
  8. covid 19

    kwa haya yanayotokea zanzibar sasa ndio naelewa kwanini dunia zima ilinyamaza na kumwacha israel awanyoeshe wapalestina

    kwa akili za hawa watu ni ngumu sana kuelewa hata wakieleweshwa wanatakiwa kunyooshwaa kwa vitendo aiingii akili kumdhulu mwenzio eti kwa sababu anakula huku wewe umefunga................ yaani how mbona ni vituko hivi. hizi dini ni utumwa kabisa na za ovyo sana kuzishabikia! bahati mbaya...
  9. Suley2019

    SI KWELI Video inayomuonesha mwanaume akichapwa Zanzibar ni ya Ramadhani ya mwaka huu 2024

    Salaam ndugu zangu, Nimekutana na video ya kusikitisha ikimuonesha raia anayesemekana kuwa ni raia wa Tanzania Bara akichapwa viboko na Raia wa Zanzibar kwa kosa la kula mchana wa Ramadhani. Je video hiyo ni ya mwaka huu?
  10. Jason Bourne

    Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika

    Nimestushwa na kuogopa tena nikalazimika kuisoma Katiba ya Zanzibar mara mbili. Leo Waislamu wa Zanzibar wanawavamia na kuwapiga vibaya Wazanzibar wenzao ambao sio Waislamu kwakuwa tu wanakula kwa mama lishe mchana mda ambao wale waislamu wanakuwa wamefunga. Vipigo vimeenea kila kona ya mji wa...
  11. figganigga

    Serikali ya Zanzibar inafurahia Watu wa Bara wanavyo nyanyaswa?

    Salaam Wakuu, Watanganyika Waishio au wanaofanya kazi Zanzibar tunanyanyasika sana. Hatuna Uhuru wa kuabudu, kufanya biashara, kujumuika na Jamii. Watu tunapigwa na kudhalilishwa. Mengi yanafanywa na Wateuli wa Rais wa Zanzibar. Watu wa Bara hatuajiriki, hatumiliki Ardhi. Wafanyabiashara...
  12. Mto Songwe

    RAIS YUPO KIMYA KABISA KWA YANAYO ENDELEA ZANZIBAR ? HII NCHI INAONGOZWA NA WATU GANI ?

    Kwamba Rais mpaka sasa haoni kile kinacho endelea Zanzibar ? Mnataka mturudishe kwenye fujo za mabucha ya ng'ombe wakati wa Jakaya ?
  13. Msitari wa pambizo

    TEC, CCT, CPCT Kemeeni yanayoendelea Zanzibar ili kuwalinda Wakristo waishio Zanzibar

    Kuna mambo yanaendelea Zanzibar yanahatarisha usalama wa wakristo waishio Zanzibar. Kitendo cha mtu anayekula hadharani kipindi cha mwez wa Ramadhan kuchapwa fimbo hadharani hii ni kinyume cha utu, imani, na hata haki za binadamu. Ukimtegemea kwamba Rais atasema neno ujue mtapigwa changa ka...
  14. Ojuolegbha

    Jummah Kareem

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi anawatakia Wote Ijumaa Kareem.
  15. Exile

    Haya ndo yanayofanywa kisiwani zanzibar, udini na ubaguzi

    Ndugu zetu hawaamini mtu kuwa na dini moyoni mwake wanaamini mtu akifanyia unafiki wanadamu na sio kufanya yaliyo mema kwa mungu, dini haiwezi kuenea kupitia nguvu kwa dunia ya sasa itaenea kupitia mahubiri yenye upendo. NB hii video inaonyesha mwananchi akiadhibiwa wa wayana wananchi wa...
  16. M

    Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

    Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani. Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara? Ni watu baki au ni watu wasio na haki ya kukaa Zanzibar? Maana hapo ni ubaguzi wa wazi, kupanda mbegu...
  17. sonofobia

    Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

    Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa. Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani. Je itakuwaje kwenye siku ya Pasaka ambayo inatakiwa waumini wachinje na kula na kusherekea pamoja...
  18. Mto Songwe

    Zanzibar ni dola la Kiislam ? Huu ni muungano au takataka

    Kwa haya yanayo endelea hilo li nchi ni dola la Kiislam au ?
  19. Mhaya

    Polisi wa Zanzibar kuwakamata watu kisa kuwakuta wakila mchana kipindi cha Ramadhan ni uvunjifu wa sheria za Nchi

    Zanzibar sio Nchi inayoongozwa na Sheria za Kiislamu, Zanzibar ni nchi inayoongozwa na katiba huru. Inakuwaje unamkamata mtu kwa sababu ya kutokufunga Ramadhan, ni wapi kwenye katiba wamesema kwamba usipofunga inapaswa kuswekwa Ndani. Mkianza kutuletea sheria za kiarabu Kwenye ardhi za Tanzania...
  20. U

    12 wakamatwa kwa kula hadharani Zanzibar, udini huu unazidi kuproove ni ngumu sana uislam ukienea sehemu kuweza ku co-exist na wasio waislam

    Inakuwaje watu wasioshiriki mfungo wafungwe kama sio udini ? Kwani Zanzibaar ni dola ya kiislam kama Saudi? matukio haya yanazidi kutuletea hofu kwamba its har for islam to co exist with non muslims kama zilivyo nchi nyingi za kiarabu, kwamba sehemu ikijaa waislam basi haki za wasio waislam...
Back
Top Bottom