zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania JKU ni JWTZ ya Zanzibar?

    Kwa kiasi fulani, vina mfanano na JWTZ kimavazi na kimuundo. Vyeo vinavyopatikana JWTZ kama SAJENT, CAPTAIN, MEJA, n.k. vinapatikana huko pia. Vina majukumu gani huko Zanzibar? Hivyo Vikosi vya JKU vinaweza kutumika Tanganyika kukitokea dharura?
  2. JamiiForums Tanzania Raia wa Zanzibar wapigwe marufuku kupiga kura ya kumchagua Rais wa Tanganyika

    Nawapongeza Zanzibar kwa kuwa na msimamo, huwezi kupiga kura ya kumchagua rais wa Zanzibar ikiwa wewe si mzanzibari. Cha ajabu serikali ya Tanganyika inaingiliwa na Zanzibar, yaani raia wa nchi jirani (Zanzibar) wanapiga kura kuchagua Rais wa Tanganyika. Jambo hilo lingekuwa na mantiki endapo...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Muungano igeni Utaratibu mzuri wa Kujiuzulu kama Zanzibar

    Salaam, Shalom! Ziku chache zilizopita, palitokea taarifa njema za uwajibikaji Kwa waziri wa Serikali ya MAPINDUZI Zanzibar Kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kuadimika Kwa Pombe visiwani humo akituhumu kubadilishwa waagizaji. Waziri aliyejiuzulu ni Waziri wa Utalii na mambo ya kale ndugu Siami...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tukiri kwamba katika mfumo wa muungano uliopo, inawezekana raisi kutoka Zanzibar akafanya kazi kwa maslahi ya Zanzibar zaidi ya bara au ya muungano

    Hili ni jambo ambalo wenye hekima wanalielewa siku nyingi, na labda wengine wengi sasa wameanza kulielewa, kwamba kutokuwepo kwa usimamizi wa kiserikali wa upande wa bara kunatokeza nafasi kwa raisi akitoka Zanzibar kuwa na uwezekano wa kufanya mambo kwa namna ambayo inatoa maslahi makubwa...
  5. JamiiForums Tanzania Masai tuliofanikiwa kimaisha Zanzibar

    1. Nimekuja Zanzibar mwaka 1999 kutafuta maisha, 2. Nikaanza kama Mlinzi hotelini, baadae msusi, kisha 3. Sasa, namiliki kampuni ya kuongoza watalii. Nimeajiri watu 9. Nimejenga nyumba ya block Longido. NB: Muungano udumu milele.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Wamasai wameshindikana Zanzibar, lipelekwe Jeshi kuwapora marungu, fimbo na sime

    Zanzibar ina sheria zake na sehemu ndogo kuna sheria za Muungano. Wamasai hawataki kufuata sheria, ni vizuri jeshi liende huko kuwakabili. Wa Zanzibar wakija Bara wanaweza kuendelezatamaduni zao sababu wanakuwepo Tanzania kimuungano
  7. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi, tengua Amri haramu ya kwamba Wamasai hawaruhusiwi kutembea na fimbo na Sime Zanzibar. Inahatarisha Muungano!

    Nina laani kwa nguvu zote kitendo cha vurugu za mgambo na watu wa jamii ya kimasai kwakupigana hadharani, Nina laani Masai kushambulia Mgambo, Nina laani kwa nguvu kubwa Mgambo wa Zanzibar kushanbulia watu wa jamii ya kimasai! Jambo hili halikubaliki kwa mjibu wa sheria za Jamhuri ya Muungano wa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Masai wakatazwa kutembea na fimbo Zanzibar; Je, Wamasai wamewakosea nini kila sehemu mnawakataa?

    Masai ni jadi yake kutembea na fimbo miaka yote. Hakuna siku tumewahi kuiona fimbo ya Masai kama silaha. Kinachoendelea Zanzibar ni mwendelezo wakupambana na kabila hili kutokana na ukweli kwamba wamejaa Zanzibar na wanaongea vibaya kuhusu ngorongoro. Ukiwakuta wakiwa na wazungu wanajadili mada...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Polisi wajitafakali, mtu anagonga mtu anaachiwa bila mawasiliano na ndugu wa aliyegongwa

    Inahuzunisha sana !Sijui ni ubaguzi au nini? Ipo hivi, Kuna kijana yupo zanzibar, kwa muda sasa. Jumapili aligongwa na gari akiwa pembeni ya Barabara, baada ya kumshusha mkewe kwenye kibaiskel chake abaki kibandani, ili yeye akafuate mzigo wa kuongeza kitandani chake. Madhara aliyoyapata...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ugomvi wa Zanzibar na wamasai ni mwendelezo wa Ubaguzi

    Kutembea na sime kwa wamasai haijaanzia leo ni jadi yao na wamasai hawana ugomvi na mtu. Kuna ajenda fichika juu ya operesheni inayoendelea Zanzibar dhidi ya wamasai wenye sime. Wazanzibari wamekuwa na ubaguzi sana dhidi ya watu toka bara. Wamasai wanatokea bara na wanazidi kuongezeka huko...
  11. JamiiForums Tanzania Wazanzibar wasiruhusiwe kuendesha vyombo vya moto Tanganyika bila kibali

    Kwanza nianze kwa kuipongeza serikali ya Zanzibar kwa kutuzuia Watanganyika kuendesha vyombo vya moto kwao bila kibali maalumu, yaani leseni ya udereva pekee haitoshi mpaka uwe na kibali chao. Huu ni utaratibu mzuri, Serikali ya Tanganyika iige mfano huu na raia wote wa kigeni toka Zanzibar...
  12. JamiiForums Tanzania Je, muungano wa Tanganyika na Zanzibar upo kwa vigezo vipi?

    Naomba kueleweshwa, kinachosababisha Tanganyika na Zanzibar ziitwe nchi zilizoungana ni kipi? Nauliza haya kwa sababu 1.) Kila nchi ina Rais wake 2.) Kila nchi ina katiba yake 3.) Kila nchi inajeshi lake 4.) Kila nchi ina mamlaka yake ya mapato na mamlaka zingine zote husika katika kuemdesha...
  13. JamiiForums Tanzania Ongezeko la Wazanzibar kumiliki ardhi Matombo Morogoro linatisha

    Kuna siku nilikutana na mkwamo ambao niliripoti hapa baada ya kutaka kununua kiwanja Unguja nikazuiliwa kisa mimi si Mkaazi wa nchi ya Zanzibar. Leo nilikuwa Matombo ama kwa hakika uhamiaji ni kama wamelala maana raia wa nchi ya Zanzibar wamejaa na wanamiliki ardhi. Tangu lini raia wa kigeni...
  14. JamiiForums Tanzania Wadau wa habari wahimiza kukamilika sheria mpya ya habari Zanzibar

    KAMATI ya Wadau wa Habari Zanzibar (ZAMECO) imekutana kujadili masuala mbalimbali yanayohusiana na maendeleo ya sekta ya habari, changamoto na hatua zilizofikiwa katika kuendeleza sekta hiyo muhimu katika ujenzi wa jamii inayozingatia usawa, maendeleo, haki za binadamu na inayojali misingi ya...
  15. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Hussein Mwinyi tunakutaka utuletee Maendeleo Bara kama unavyofanya Zanzibar

    Wakati Rais Hussein Mwinyi anaingia madaralani, uchumi wa Zanzibar ulikuwa kunakuwa kwa asilimia zisizozidi 5. Lakini ndani ya kipindi cha miaka 3 tu uchumi wa Zanzibar leo unakua kwa asilimia 6.8 huku wa bara ulikuwa unakua kwa asilimia 7 kabla ya kifo cha Rais Hayati JPM tena katikati ya...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Simai Mohamed Said, Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale ajiuzulu siku mbili baada ya kutangaza uhaba wa pombe kwenye hoteli na migahawa

    Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Simai Mohamed Said ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo usiku. Mhe. Simai ambaye pia ni Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, ametangaza kujiuzulu akisema ni kutokana na kile alichokiita "MAmazingira...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa biashara ya kufanya Zanzibar

    Wakuu nataka niwe na chukua Mali aidha kariakoo au bara mzigo gani unatoka nao uhakika ukivuka maji na Meli au vi boat?taratibu zake na changamoto zake ni zip?
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maalim Seif alivyoitisha maandamano Zanzibar watu wakauawa, kwenye muafaka alijikumbuka yeye, waliouawa na kujeruhiwa waliachwa bila fidia

    Akili za kuambiwa changanya na zako. Maalim Seif, gwiji la siasa za mageuzi aliitisha maandamano Zanzibar, watu wengi sana walikufa, wakajeruhiwa na wengine wakawa wakimbizi shimoni Mombasa. Ukaja muafaka, Maalim kapewa vyeo lukuki na maslahi matamu matamu. Lakini kwa nini hakuwakumbuka...
  19. JamiiForums Tanzania Video: Kijana atoa uhai wake kwa kujirusha baharini

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri Bahari Zanzibar Shekha Ahmed Mohamed, amekiri kupokea taarifa za kujirusha baharini kwa kijana huyo Mahmoud Mwalim Saleh ‘30’ wakati akiwa kwenye Boti ya Zanzibar 3 iliyokua ikitokea Pemba kurejea Zanzibar Tukio hilo limetokea majira ya saa 4:30 asubuhi...
  20. JamiiForums Tanzania Nimeona video ya kijana akijirusha kwenye boat ya Zanzibar fast ferries, nini kilijiri?

    Video hiyo hapo Update: 28/01/2024 https://www.instagram.com/p/C2kWfSMtkKS/?igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…