Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,997
- 7,552
Kwanza nianze kwa kuipongeza serikali ya Zanzibar kwa kutuzuia Watanganyika kuendesha vyombo vya moto kwao bila kibali maalumu, yaani leseni ya udereva pekee haitoshi mpaka uwe na kibali chao.
Huu ni utaratibu mzuri, Serikali ya Tanganyika iige mfano huu na raia wote wa kigeni toka Zanzibar wazuiliwe kutumia barabara zetu bila kibali maalumu. Huenda tukapunguza matukio ya ajali za barabarani.