Je, muungano wa Tanganyika na Zanzibar upo kwa vigezo vipi?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,066
40,725
Naomba kueleweshwa, kinachosababisha Tanganyika na Zanzibar ziitwe nchi zilizoungana ni kipi? Nauliza haya kwa sababu

1.) Kila nchi ina Rais wake
2.) Kila nchi ina katiba yake
3.) Kila nchi inajeshi lake
4.) Kila nchi ina mamlaka yake ya mapato na mamlaka zingine zote husika katika kuemdesha nchi
5.) Kila mchi ina bunge lake

Kilichokuwa kimebaki ni katika Mambo ya soccer, lakini hata hilo nalo liko mbioni kuondoka, na kila nchi itakuwa na timu yake ya taifa. Sasa hiki kinachoitwa Muungano ni kwa vigezo vipi?

- Raia wa Zanzibar kutawala Tanganyika ila kinyume chake ni marufuku?

- Raia wa Zanzibar kumiliki ardhi Tanganyika ila kinyume chake ni marufuku?

- Mkopo kukopwa na Zanzibar ila deni kulipishwa Tanganyika?

- Kodi zikusanywe Tanganyika ila mapato yakatumike Zanzibar?

- Umeme utoke Tanganyika kwenye mgao wa umeme kisha uende Zanzibar bure bila malipo?

- Wanafunzi watole Zanzibar waje kusoma Tanganyika ila mkopo wachukue bodi ya mikopo ya Tanganyika?

- Wabunge toka Zanzibar kushiriki bunge la Tanganyika na kula posho za waTanganyika ila kinyume chake ni marufuku?

- Dereva wa Zanzibar kuendesha gari Tanganyika ila kinyume chake ni marufuku?

- Kuuza bandari (DPW) na Mbuga zote (OBC) za Tanganyika ila za Zanzibar ni marufuku?

- Utambulisho wa Tanganyika kuzikwa ilihali utambulisho wa Zanzibar unaachwa uishi?

Hicho ndio kinasababisha huu uitwe Muungano, au kuna jambo lingine?

===========================
Update: 24/04/2024

Kila nchi unamanisha ipi na ipi?Mbona Tanganyika Haina
-Raisi
-Katiba
-Jeshi
Tanganyika imepokonywa ‘identity’ yake wakati Zanzibar imeachiwa utambulisho wake, kwa sasa Tanganyika imefunikwa na shuka la Tanzania, ila kwa kuwa Zanzibar ni nchi, kinachobaki chini ya mwavuli wa Tanzania ni Tanganyika pekee. Hivyokinachoitwa Tanzania bara ni Tanganyika.
 
Tangamyika imepokonywa ‘identity’ yake wakati ZanIbar imeachiwa utambulisho wake, kwa sasa Tanganyika imefunikwa na shuka la Tanzania, ila kwa kuwa Zanzibar ni mchi, kinachobaki chini ya mwavuli wa Tanzania ni Tanganyika pekee.., hivyokinachoitwa Tanzania bara ni Tanganyika
Basi nitajie
-Raisi wa Tanzania bara
-Katiba ya Tanzania bara
 
Muungano tulionao ni wa kipekee kabisa duniani. Na unafahamika zaidi kama Muungano wa changu changu, chako changu.
Yaani Zanzibar ina haki ya kufaidi raslimali za Tanganyika, ila Tanganyika hairuhusiwi kufaidi chochote kutoka Zanzibar kwenye huo Muungano. Maajabu ya karne haya!!

Hao Wazanzibari wenyewe sasa walio wengi!! Kila siku ni kulia kulia, kudeka, kulalamika, na kunung'unika tu! Hata wapewe nini, huwa hawatosheki! Wanajifanya hawautaki huo Muungano unao wafaidisha zaidi wao! Ukiwaambia wajitoe; hawataki!!
 
Naomba kueleweshwa, kinachosababisha Tanganyika na Zanzibar ziitwe nchi zilizoungana ni kipi? Nauliza haya kwa sababu

1.) Kila nchi ina Rais wake
2.) Kila nchi ina katiba yake
3.) Kila nchi inajeshi lake
4.) Kila nchi ina mamlaka yake ya mapato na mamlaka zingine zote husika katika kuemdesha nchi
5.) Kila mchi ina bunge lake

Kilichokuwa kimebaki ni katika Mambo ya soccer, lakini hata hilo nalo liko mbioni kuondoka, na kila nchi itakuwa na timu yake ya taifa. Sasa hiki kinachoitwa Muungano ni kwa vigezo vipi?

- Raia wa Zanzibar kutawala Tanganyika ila kinyume chake ni marufuku?

- Raia wa Zanzibar kumiliki ardhi Tanganyika ila kinyume chake ni marufuku?

- Mkopo kukopwa na Zanzibar ila deni kulipishwa Tanganyika?

- Kodi zikusanywe Tanganyika ila mapato yakatumike Zanzibar?

- Umeme utoke Tanganyika kwenye mgao wa umeme kisha uende Zanzibar bure bila malipo?

- Wanafunzi watole Zanzibar waje kusoma Tanganyika ila mkopo wachukue bodi ya mikopo ya Tanganyika?

- Wabunge toka Zanzibar kushiriki bunge la Tanganyika na kula posho za waTanganyika ila kinyume chake ni marufuku?

- Utambulisho wa Tanganyika kuzikwa ilihali utambulisho wa Zanzibar unaachwa uishi?

Hicho ndio kinasababisha huu uitwe Muungano, au kuna jambo lingine?
Nawachukia sana wazanzibar.

Muungano uvunjwe.
 
-Huyo raisi hatawali Muungano? Nitajie wa bara pekee.
-Mimi nataka katiba ya bara peke ake sio ya muungano
Nimekueleza, Tanganyika ipo chini ya mwamvuli wa Tanzania sababu identity yake iliuawa na kuzikwa, baada ya Zanzibar kujitoa na kuwa nchi kamili, kilichobaki chini ya hili shuka la Tanzania ni Tanganyika pekee, hivyo kwa sasa, ukisema Tanzania unaizungumzia ilikuwa Tanganyika. Ndio maana hata Zanzibar wanataka washiriki michuano ya CAF sababu hawapo tena chini mwamvuli wa Tanzania. Legeza fuvu hilo.
 
Kwahyo unataka utuaminishe hapa kuwa muungano umevunjika?
 
Naomba kueleweshwa, kinachosababisha Tanganyika na Zanzibar ziitwe nchi zilizoungana ni kipi? Nauliza haya kwa sababu

1.) Kila nchi ina Rais wake
2.) Kila nchi ina katiba yake
3.) Kila nchi inajeshi lake
4.) Kila nchi ina mamlaka yake ya mapato na mamlaka zingine zote husika katika kuemdesha nchi
5.) Kila mchi ina bunge lake

Kilichokuwa kimebaki ni katika Mambo ya soccer, lakini hata hilo nalo liko mbioni kuondoka, na kila nchi itakuwa na timu yake ya taifa. Sasa hiki kinachoitwa Muungano ni kwa vigezo vipi?

- Raia wa Zanzibar kutawala Tanganyika ila kinyume chake ni marufuku?

- Raia wa Zanzibar kumiliki ardhi Tanganyika ila kinyume chake ni marufuku?

- Mkopo kukopwa na Zanzibar ila deni kulipishwa Tanganyika?

- Kodi zikusanywe Tanganyika ila mapato yakatumike Zanzibar?

- Umeme utoke Tanganyika kwenye mgao wa umeme kisha uende Zanzibar bure bila malipo?

- Wanafunzi watole Zanzibar waje kusoma Tanganyika ila mkopo wachukue bodi ya mikopo ya Tanganyika?

- Wabunge toka Zanzibar kushiriki bunge la Tanganyika na kula posho za waTanganyika ila kinyume chake ni marufuku?

- Utambulisho wa Tanganyika kuzikwa ilihali utambulisho wa Zanzibar unaachwa uishi?

Hicho ndio kinasababisha huu uitwe Muungano, au kuna jambo lingine?

Zanzibar ni koloni
 
Ni suala la muda tu tutakuwa na serikali moja Tanzania. Hii ndiyo sera ya CCM. Sioni muelekeo wa CCM kuruhusu chaguzi huru kabla ya lengo lake hili kutimia. Mengine yote ni sarakasi tu.
 
Muungano tulionao ni wa kipekee kabisa duniani. Na unafahamika zaidi kama Muungano wa changu changu, chako changu.
Yaani Zanzibar ina haki ya kufaidi raslimali za Tanganyika, ila Tanganyika hairuhusiwi kufaidi chochote kutoka Zanzibar kwenye huo Muungano. Maajabu ya karne haya!!

Hao Wazanzibari wenyewe sasa walio wengi!! Kila siku ni kulia kulia, kudeka, kulalamika, na kunung'unika tu! Hata wapewe nini, huwa hawatosheki! Wanajifanya hawautaki huo Muungano unao wafaidisha zaidi wao! Ukiwaambia wajitoe; hawataki!!

Hao wala urojo walishindwa hata kumfukuza mkoloni hadi jamaa kutoka uganda ndipo akaunda jeshi kuwatimua wakoloni
 
Kwenye ile match kilimanjaro stars na zanzibar heroes

Zanzibar waliimba wimbo wao , sisi tukaimba wimbo wa tanzania 😄😄

Na vikosi vikawa kila mtu kivyake wachezaji
 
Kwahyo unataka utuaminishe hapa kuwa muungano umevunjika?
Niambie ni kipi kinachofanya Tanganyika na Zanzibar ziitwe zina Muungano , mfano tuambie kuna tofauti gani Kati ya (Tanganyika na Zanzibar) na (Tanganyika na Burundi) kwa mfano, yaani eleza kinagaubaga tuone kipi hasa kinasababisha Tn na Zn ziitwe zina Muungano..
 
Burundi anaweza kumpigia kura rais wa Tanzania?
 
Back
Top Bottom