zanzibar

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

    Mwaka 1964 siku thelathini baada ya uhuru wa bandia wa Zanzibar, wanamapinduzi kumi na nne wakiongozwa na mpigania uhuru John Okello aliwaongoza kwenye mapinduzi ya Zanzibar yaliyokuwa na umwagaji mkubwa wa damu. Baada ya mapinduzi kufanikiwa John Okello [kiongozi wa mapinduzi] alichukua jukumu...
  2. JamiiForums Tanzania Vijana kutoka Zanzibar wanapendelewa ajira ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama wawapo JKT

    Habari wakuu! Linapokuja suala la nafasi za kazi kwenye Vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama na kuhitaji vijana walioko makambini(jkt) vijana wa Zanzibar huwa wanabebwa kana kwamba yatima, hapa sisemi kuwa hawa vijana kutoka Zanzibar waachwe la bali ni vyema watazamwe kama vijana wengine kutoka...
  3. K

    JamiiForums Tanzania CCM ndio wameondoa hadhi ya Zanzibar kwenye Muungano. Kuna ukoloni unaendelea

    Kuhusu nadharia kadhaa za sababu ya muungano huu ikiwemo suala la Usalama wa Zanzibar baada ya Mapinduzi, Hofu ya Ukomunisti na mengine ambayo leo sio mada za mjadala huu, tunabaki kuiona nafasi ya ASP na baadae CCM katika kuidhoofisha hadhi ya Zanzibar kwenye Muungano. Tuanzie hapo. Baada ya...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Mapato ya Zanzibar yafikia shilingi bilioni 2874, sawa na trilioni 2.874 kwa mwaka. Tanzania Bara tunayo ya kujifunza kutoka Zanzibar

    Rais wa Zanzibar, Dr. Mohamed Shein, ameeleza kuwa mapato ya Zanzibar kwa mwaka yamefikia Tanzania Shillings Bilioni 2874, sawa na Trilioni 2.874. Taarifa hii inaonyesha waziwazi kuwa Tanzania Bara tukijifunza kutoka Zanzibar, mapato ya Mikoa yetu inaweza kuongeza mapato yake ya ndani kwa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA haijashiriki sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar?

    Katika sherehe za Uhuru wa Tanganyika uongozi wa Chadema ulikodi ndege ya kifahari kuelekea jijini Mwanza kushiriki maadhimisho hayo, tukawapongeza. Leo tulitegemea kuwaona jijini Zanzibar lakini tukawaona Prof Lipumba, Mzee Shibuda na wengine bila uwepo wa Mbowe wala yule mzanzibari Salumu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tunauza dagaa nyama (Dagaa kutoka visiwani Zanzibar & Mafia)

    WAKUU SALAAM... TUNAUZA DAGAA NYAMA (DAGAA MCHELE) WALIOANDALIWA KATIKA MAZINGIRA MAZUZRI KUTOKA VISIWA VYA ZANZIBAR NA MAFIA BEI KILO 7500- -TUPO DAR ES SALAAM -UNALETEWA MPAKA NYUMBANI -MIKOANI TUNATUMA -MAWASILIANO 0653916356
  7. J

    JamiiForums Tanzania Je, kiitifaki Waziri mkuu wa Tanzania ni mkuu kuliko Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar?

    Nauliza kwa wale watu wanaoelewa vizuri mambo ya itifaki. Katika sherehe za mapinduzi Zanzibar, Waziri mkuu mh Majaliwa aliingia uwanjani baada ya makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar mh Idd Seif kuwa ameshaingia na wakati wa kuondoka alianza waziri mkuu kabla ya balozi Seif. Karibu kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Wimbo wa Taifa wa Zanzibar

    Nimeona kupitia TBC1 hapa mpambano kati ya Burundi na Zanzibari. Nyimbo zao za Taifa zimepigwa, nikasikia melody ya wimbo wa Zanzibar. Hauna mfanano wowote na wimbo wetu wa Taifa. Inakuwaje mataifa kama Zimbabwe, Afrika ya Kusini wana melody inayofanana na Tanganyika wakati Zanzibar ambayo...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Sherehe za Mapinduzi uwanja wa Amani Zanzibar Rais Magufuli na Dr Shein kuhudhuria

    Sherehe hizi zitarushwa mubashara kupitia TBC, Channel ten, Azam tv, ITV nk Rais Magufuli wa JMT na Rais Shein wa Zanzibar watawaongoza maelfu ya watanzania katika maadhimisho hayo. Karibuni! Up dates; Viongozi wastaafu wameshaingia ukumbini wakiwemo mzee Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Sumaye...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wasukuma na Wanyamwezi wengi walikuja Zanzibar na kutorudi tena usukumani akiwemo baba yangu mkubwa

    Rais Magufuli amesema Zanzibar ni kisiwa cha raha hata watanzania bara wengi wanapohitaji kupumzika huja Zanzibar. Rais Magufuli amesema hata kaka wa baba yake alikuja Zanzibar na kubakia huko huko kama ilivyokuwa kwa wasukuma na wanyamwezi wengi. Chanzo: Channel ten
  11. J

    JamiiForums Tanzania Live ITV: Rais Magufuli anafungua Hotel ya Verde Azam Luxury Resort & SPA mtoni jijini Zanzibar inayomilikiwa na S S Bakhresa

    Ni tukio kubwa na la kihistoria kwani hii ni hoteli ya kipekee kabisa nchini Tanzania, Afrika mashariki na kusini mwa jangwa la Sahara. Karibuni!
  12. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Ni aibu Shule za Zanzibar kuwa za mwisho, Wakandarasi wakikupa 10% kula ila simamia Sheria

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema ni sa aibu kuona shule za Zanzibar zinakuwa miongoni ambazo hazifanyi vizuri pindi inapofika wakati wa kutangaza matokeo ya Shule za Sekondari. Rais Magufuli ametoa kauli hiyo wakati akizungumza kwenye uwekaji wa jiwe la...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kufanya ziara ya siku 5 Zanzibar, kuzindua jengo la TISS Zanzibar

    Baada ya likizo ya mwisho wa mwaka, kesho Rais Magufuli ataanza ziara ya siku 5 Zanzibar ikiwa ni pamoja na kuhudhuria sherehe ya mapinduzi Zanzibar tarehe 12 mwezi huu. Pia Mh. Rais atazindua jengo la makao makuu ya Usalama wa Taifa kisiwani Zanzibar katika ziara yake Zaidi. soma: Zanzibar...
  14. JamiiForums Tanzania Zanzibar kuja na sheria ya adhabu za papo kwa papo kwa madereva ili kupunguza ajali za barabarani

    SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema inakusudia kutunga Sheria ya Adhabu ‘’papo kwa papo’’ ili kudhibiti ajali, ambazo zimekuwa zikisababisha vifo vya wananchi wengi wa Zanzibar. Hayo yalisemwa na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Mustafa Aboud Jumbe wakati...
  15. JamiiForums Tanzania Daraja la Dar es salaam to zanzibar .

    Hapa ni muonekano baada ya kukamilika litakavyokuwa nimechanya maneno ya kuambiwa na wanasiasa,ubunifu Wa injinia mfugale na akili zangu nikapata kitu kama hicho samani lakini kama nimekukwaza mpinzani Wa jiwe!!!!
  16. F

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ilitoa msaada wa chakula kwa Uingereza

  17. D

    JamiiForums Tanzania Chaguzi za Zanzibar na Wabara

    Moja ya tatizo kubwa kwenye chaguzi za Zanzibar ni Wabara kuingizwa na CCM katika kupiga kura za kuchagua Rais wa Zanzibar pamoja na wawakilishi katika baraza la wawakilishi. Hili ni kinyume na taratibu kwani Wabara wanaoishi Zanzibar wanatakiwa wapige kura ya kuchagua Mbunge pamoja kumchagua...
  18. JamiiForums Tanzania Thamani ya kura yangu Tanzania na Zanzibar haipo tena ?

    Mimi kama mzanzibari niliyeshiriki chaguzi kadhaa hapa Zanzibar za kuchagua viongozi wa nchi. Lakini mwaka 2015 umenivunja moyo kabisa baada ya kuona kura yangu ikipeperuka bila kujaliwa shida iliyonipata kwa kutumia muda wangu mwingi kujiandikisha,kuhakikiwa taarifa zanzzgu na mwisho kujipanga...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Balozi Seif: Zanzibar ndio inayonufaika zaidi na Muungano wa Tanzania

    Akihojiwa na mtangazaji Marin Hassan wa TBC, makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar balozi Seif amewataka watanzania kwa umoja wao kuulinda muungano kwa nguvu zote kwani umeleta Heri. Balazi Seif amesema Muungano huu unawanufaisha zaidi wazanzibar kuliko watanganyika hivyo atashangaa sana kusikia...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya timu ya Taifa ya soka ya Zanzibar na Siasa za Tanzania

    Baada ya mapokezi ya Bombadier majuzi kule Mwanza, upande wa pili, Rais wa Zanzibar Dk Shein aliwaalika Ikulu wachezaji wa Timu ya Taifa ya Soka kwenda kula nao chakula na isitoshe akawapa na zawadi Fedha, kwa kazi nzuri waliofanya kule Kampala katika mashindano ya CECAFA!Katka hali ya kawaida...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…