Mapokezi ya timu ya Taifa ya soka ya Zanzibar na Siasa za Tanzania

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,096
9,218
Baada ya mapokezi ya Bombadier majuzi kule Mwanza, upande wa pili, Rais wa Zanzibar Dk Shein aliwaalika Ikulu wachezaji wa Timu ya Taifa ya Soka kwenda kula nao chakula na isitoshe akawapa na zawadi Fedha, kwa kazi nzuri waliofanya kule Kampala katika mashindano ya CECAFA!Katka hali ya kawaida Zanzibar haikufanya vizuri katika mashindano yale, labda kama watapata awadi kama nidhamu, au unadhifu, tusubiri!

Kimsingi kumpongeza mtu hata kama ameshindwa ni jambo zuri na muhimu! Lakini kuna mazingira ya kupongeza yanaweza yakabainisha hamu ya kutaka kutambuliwa

Hii si mara ya kwanza Zanzibar kushiriki mashindano haya ,kuna wakati pia iliwahi kufanya vizuri sana ...Kenya, miaka michache iliyopita!

Mara nyingi ndugu zetu hawafanyi vizuri!)kama sisi)!

Tukio hili na namna lilivyopewa umuhimu na SMZ kwangu naliona ....limebeba ujumbe mzito wa Kujitambua na kuonesha kwa walio kuzunguka, uzalendo na hamu ya kufanya mambo yake kama Taifa.

Haya ni maoni yangu!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom