zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania "Tunajua wanapolala, wanachopanga" - IGP Sirro

    Msikilize kwa makini IGP Sirro kuanzia dakika ya 33 hadi mwisho.
  2. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu akwepa kwenda Zanzibar, hao wadhamini kawapataje?

    Leo nimemwona Lissu akitoka kwa jaji kusainisha makabrasha ya uteuzi, na kasema ameshakamilisha, sasa hao wadhamini wa Zanzibar kawapataje na lini? Huko mbona hakwenda kuziba barabara na matarumbeta? Kwa ratiba yake leo alipaswa kuwa Pwani na Kesho Zanzibar kahepa sio? Kesho tukimwona...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Je, wajumbe wa Baraza la Wawakilishi watapitishwa na CCM Zanzibar pekee?

    Nimeona zoezi la kupitisha majina ya wagombea ujumbe wa baraza la wawakilishi kule Zanzibar limesogezwa mbele kwa sababu ratiba za NEC na ZEC ni tofauti. Swali: Je, hao wawakilishi watapitishwa na NEC ya Zanzibar pekee? Maendeleo hayana vyama!
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu asisahau kuna mikoa miwili ya Zanzibar na muda ndio unayoyoma hivyo

    Namkumbusha tu kwamba katika mikoa kumi ya kusaka urais walau miwili iwe ni ya Zanzibar. Unajua sifa zinalevya anaweza kujikuta muda umekwisha bado yuko Tanganyika wanakomshangilia. Niishie hapo! Maendeleo hayana vyama.
  5. JamiiForums Tanzania Hussein Mwinyi, ilikuwaje ukawa Mbunge wa Mkuranga, mkoa wa Pwani, na sasa unaenda kugombea urais Zanzibar?

    Hili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni. Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa Pwani? Hii siielewi, anayeelewa anifahamishe
  6. JamiiForums Tanzania Je, Zanzibar inajiandaa kujitwalia uhuru kamili?

    Tangu kuasisiwa kwake mwaka 1964, mauungano wa Tanganyika na Zanzibar umeonekana wazi kugubikwa na ujanja ujanja mwingi. Ni jambo lililo wazi kabisa kuwa waasisi wa muungano walikua na malengo yasiyofanana, mwalimu Nyerere alidhamiria kuwepo na muungano kamili chini ya serikali moja huku mzee...
  7. JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi mkuu 2020: Je, masheikh wa Uamsho ndio karata ya turufu Zanzibar?

    Habari wadau, Kama ijulikanavyo, Zanzibar waislam ni 99% ya watu wote. Ni nchi yenye idadi ya watu inayokaribia 2M kwa sasa. Kikawaida kwa waislam, wao huwa ni waislam kabla ya mengine yote yaani kama ni utaifa basi wao ni waislam kabla kuwa Wazanzibari, kama ni mambo ya mipira , basi wao ni...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Zanzibar, Maandalizi ya ujio wake usipime

    Unajua kuna watu hawafahamu kwamba si rahisi kushindana na aliyejaaliwa, huyu Lissu baada ya Mungu kumfufua alimpangia kuwa Rais wa Tanzania 2020 , hili hakuna binadamu yeyote au kibwengo chochote kitakachozuia. Mara kadhaa nimefika Zanzibar kisiasa na kibiashara lakini sijawahi kukuta pilika...
  9. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi mkuu 2020 na hatma ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Kwa hali inavyoendelea na mapokezi aliyopata Maalim Seif Zanzibar uchanguzi kwa upande wa Zanzibar unaonekana utakuwa mugumu kwa CCM na Hussein Mwinyi. Kwa siasa za Zanzibar Kuna uwezekano mkubwa ACT wakashida. Hapa ndo penye shida je CCM wako tayari kukabidhi Zanzibar kwa ACT ? Je, hatma ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, akiharibu kwa Lissu na Zanzibar basi Serikali yake itapata tabu sana

    Kuna hofu kubwa huko Lumumba kuhusu upepo wa Lissu. Hawakuutegemea, walijua Lissu ataufyata kama walivyoufyata wapinzani wengine kutokana na kashkash waliyowatia ndani ya miaka hii mitano, lakini wamekuta ndiyo kwanza Lissu hapepesi macho, ndiyo kwanza anakamua tu bila wasiwasi wowote. Imefikia...
  11. JamiiForums Tanzania Bernard Membe: Nikiapishwa kuwa Rais wa Tanzania viongozi wote wa dini (mashekhe) watarudishwa Zanzibar

    Kauli hii ina maana gani kwamba ni ahadi ya Mh Membe kuwa atakaposhinda kiti cha Urais na kuapishwa basi siku inayo fuata viongozi wa dini watarudishwa Zanzibar. Hapa anamaanisha mashekhe wa uamsho ama ni viongozi wepi hao? Na je kurudishwa Zanzibar tu ama kuachiwa huru kabisa mbona ameweka...
  12. JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Maalim Seif Zanzibar, Mwili wangu umekufa ganzi

    Wakuu hongereni na majukumu ya kila siku. Najua mlio wengi hamjapata nafasi ya kuwa pahala nilipo. Ninaiita nafasi kwa kuwa ninachokishuhudia hapa LIVE kimeniletea hisia za kimwili, kiakili na kisaikolojia ambazo huwezi kuzipata kwa namna yeyote ile hata kwa kutazama pichani huko kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

    Leo Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bernard Membe, watapokelewa asubuhi hii na Wazanzibar wa Unguja. Matukio mbalimbali na picha za mapokezi tutawawekea hapa.
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu hajui historia mbinu anayotumia ya ngangari CUF Zanzibar walishaitumia haikuwafikisha popote

    Siasa za Lissu za sasa ni zile zilizopitwa na wakati ambazo akina Maalim Seif walizitumia sana kule Zanzibar zilikuwa zikiitwa siasa za ngangari Hadi kieleweke. Hadi wakaagiza visu na kufanya vitendo vya kigaidi .Mwisho was siku wakaja kugundua kuwa haziwapeleki popote wakaziacha Sasa Lissu...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kujuana kwa itikadi za CCM, undungu na Mazoea kunavyozorotesha uwajibikaji Zanzibar

    Mada inahusika. Kwa miaka mingi ndani ya Serikali ya Zanzibar kumekuwa na mazoea ya kuchaguliwa kwa itikadi, kujuana na undugu. Yaliyopita ni mengi, lakini kwa muktadha wa mada hii tuangalie hii miaka mitano kutoka 2015 - 2020. Ikumbukwe Zanzibar inahitaji kuponywa majeraha mbali mbali ya...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Je, CHADEMA itamuunga mkono Maalim Seif kule Zanzibar na Membe atamuunga mkono Tundu Lissu katika nafasi ya Urais huku Bara?

    Najua kuwa mazungumzo bado yanaendelea kati ya Chama kikuu cha upinzani nchini cha Chadema na Chama cha ACT Wazalendo ya namna ya kuachiana nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu ujao. Kwa mazingira niliyoyaona Leo kwa mgombea wa Urais wa chama cha Chadema, Tundu Lissu kuibuka kwenye mkutano...
  17. JamiiForums Tanzania Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar ahamia CHADEMA

    Naibu Katibu Mkuu wa CUF upande wa Zanzibar Mhe. Faki Suleiman Khatib , ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na CHADEMA . Haya yametokea ndani ya vikao vya CHADEMA vinavyoendelea huko ukumbi wa Mlimani City
  18. J

    JamiiForums Tanzania Wapiga kura 566,000 kushiriki Uchaguzi Mkuu Zanzibar!

    Tume ya uchaguzi Zanzibar imesema wapiga kura takribani 566,000 ndio watakaoshiriki uchaguzi mkuu mwaka huu. Idadi hiyo inajumuisha wapiga kura wa Visiwa vya Unguja na Pemba waliojisajiri kwenye daftari la kudumu Chanzo: ITV habari. Maendeleo hayana vyama!
  19. K

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Watendaji wa ZEC na Polisi kupiga kura Oktoba 27 badala ya Oktoba 28

    Mwenyekiti wa ZEC jaji mstaafu Mahmoud ametangaza uchaguzi wa Zanzibar wa Rais, wawakilishi na madiwani kufanyika tarehe 27 na 28 Oktoba,2020. Tarehe 27 Oktoba ni maalumu kwa watendaji wa tume, wajumbe wa tume na Polisi ambao watakuwa zamu siku ya tarehe ya uchaguzi. Tarehe 28 itakuwa uchaguzi...
  20. JamiiForums Tanzania Internet searches for Tanzania increase by 65 TIMES after Russian govt announces flights will soon begin

    Uperuzi wa Taifa la Tanzania mtandaoni umeongezeka mara 65 nchini Urusi baada ya Naibu Waziri Mkuu, Tatyana Golikova kutangaza kuwa nchi hiyo itarejesha safari za ndege za Tanzania kuanzia Agosti 1, 2020 Kwa mujibu wa Yandex, Ijumaa ya Julai 24, maombi ya kulitafuta Taifa la Tanzania mtandaoni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…