zambia

Zambia (), officially the Republic of Zambia, is a landlocked country in Southern-Central Africa (although some sources consider it part of East Africa). Its neighbors are the Democratic Republic of the Congo to the north, Tanzania to the north-east, Malawi to the east, Mozambique to the southeast, Zimbabwe and Botswana to the south, Namibia to the southwest, and Angola to the west. The capital city is Lusaka, located in the south-central part of Zambia. The population is concentrated mainly around Lusaka in the south and the Copperbelt Province to the northwest, the core economic hubs of the country.
Originally inhabited by Khoisan peoples, the region was affected by the Bantu expansion of the thirteenth century. Following European explorers in the eighteenth century, the British colonised the region into the British protectorates of Barotziland-North-Western Rhodesia and North-Eastern Rhodesia towards the end of the nineteenth century. These were merged in 1911 to form Northern Rhodesia. For most of the colonial period, Zambia was governed by an administration appointed from London with the advice of the British South Africa Company.
On 24 October 1964, Zambia became independent of the United Kingdom and prime minister Kenneth Kaunda became the inaugural president. Kaunda's socialist United National Independence Party (UNIP) maintained power from 1964 until 1991. Kaunda played a key role in regional diplomacy, cooperating closely with the United States in search of solutions to conflicts in Rhodesia (Zimbabwe), Angola, and Namibia. From 1972 to 1991 Zambia was a one-party state with the UNIP as the sole legal political party under the motto "One Zambia, One Nation". Kaunda was succeeded by Frederick Chiluba of the social-democratic Movement for Multi-Party Democracy in 1991, beginning a period of social-economic growth and government decentralisation. Levy Mwanawasa, Chiluba's chosen successor, presided over Zambia from January 2002 until his death in August 2008, and is credited with campaigns to reduce corruption and increase the standard of living. After Mwanawasa's death, Rupiah Banda presided as Acting President before being elected President in 2008. Holding office for only three years, Banda stepped down after his defeat in the 2011 elections by Patriotic Front party leader Michael Sata. Sata died on 28 October 2014, making him the second Zambian president to die in office. Guy Scott served briefly as interim president until new elections were held on 20 January 2015, in which Edgar Lungu was elected as the sixth President.
In 2010, the World Bank named Zambia one of the world's fastest economically reformed countries. The Common Market for Eastern and Southern Africa (COMESA) is headquartered in Lusaka.

View More On Wikipedia.org
  1. Informer

    JamiiForums Tanzania Zambia President Edgar Lungu collapses after 'sudden dizziness'

    Sunday, June 13, 2021 Zambia President Edgar Lungu collapsed in the capital, Lusaka, during a national defence day event on Sunday, local media reported. Shortly after, Secretary to the Cabinet, Dr Simon Miti, issued a statement to reporters and the State TV, assuring the local public and...
  2. Teddy1

    JamiiForums Tanzania Zambia na Malawi wanatumia online forums ipi?

    Tanzania tunatumia jamiiforums, huko Zambia, Malawi, South Afrika, wanazo hizi locally hosted online forums? Kama zipo ninaomba link nizione please.
  3. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mke wa Clatous Chama afariki dunia

    Habari za kusikitisha kutoka zambia,mke wa mchezaji nguli wa simba sc amefariki dunia. === #ZSUpdates is saddened to learn the passing of Chipolopolo boys midfielder Clatous Chota Chama's wife Mercy Mukuka Chama. Our thoughts and prayers are with Chama and Mukuka's family.
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Wakati Kenneth David Kaunda anatimiza miaka 97, tuangalie uhusiano wake na Ally Sykes 1953

    KENNETH DAVID KAUNDA NA ALLY KLEIST 1953 Leo Kenneth Kaunda katimiza miaka 97. Nimeangalia picha ya Kenneth David Kaunda na picha hii ikanikumbusha uhusiano wa Kaunda na Ally Kleist Sykes wakati Afrika ilipokuwa katika harakati ya kupigania uhuru wake. Usiku umekuwa mwingi In Shaa Allah kesho...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania BAVICHA yaingia nchini Zambia kuwajulia hali wafanyabiashara waliokimbia unyanyasaji Tanzania

    Ile Taasisi bora ya vijana barani Africa kwa sasa, BAVICHA, imewasili nchini Zambia ambako inawajulia hali Lundo la Wafanyabiashara wa Tanzania kutoka Tunduma na maeneo mengine ambao walitafuta hifadhi ya kibiashara nchini humo baada ya kukimbia manyanyaso nchini mwao. Bavicha imeongea na...
  6. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Zambia walipojaribu safari ya Mars na mwezini, na mwanaanga wao alipoishia kupata mimba (1960s)

    Haikuwa tu Amerika na Umoja wa Kisovyeti katika mbio za kuufika Mwezi na Anga za mbali katika miaka ya 1960. Kifungu cha habari katika jarida la Time 1964 kilichoelezea kuhusu uhuru wa Zambia kilijumuisha habari nyingine kuhusu mtu mmoja ambaye hakufurahi sana juu ya sherehe hizo za uhuru...
  7. luangalila

    JamiiForums Tanzania Embu mnijuze mliowahi kufika na kuishi Rwanda, Zambia

    Wadau naomba m-share experience yenu ambao mm bahatika kufika na kuishi katika nchi hizi mbili Rwanda / Zambia Napenda kufahamu mfumo wao wa maisha, mazingira ya kufanya biashara, social interaction na wageni ipoje. Karibuni wapendwa.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba: Mmechafuliwa Kenya na Zambia chukueni hatua

    Jamani sven kasema lini kwenye interview haya maneno? Nimeamini utopolo wako vizuri kwenye propaganda ila uongozi wa sasa kama mazezeta hivi ..Chukueni hatua kwa huyu blogger haraka sana First ilkuw a page ya kikenya inaitwa african sports today wao walisema tu remarks zake hazikuupendeza...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mipira ya kondomu yenye hitilafu yazua hisia kali Zambia

    Mbunge mmoja wa Zambia amelinganisha usambazi wa mipira ya kondomu nchini humo na glavu kutokana na bidhaa hizo mbili kushindwa kuafikia viwango vya usalama na ‘mauaji ya kimbari’. ‘’Kile ambacho wizara ya afya inakifanya ni mauaji ya kimbari'' mbunge Mwansa Mbulakulima aliambia BBC. Unapoweka...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) watoa msaada wa bilioni 84 kwa Tanzania kuisaidia kusambaza umeme Vijijini na kwenda Zambia

    Umoja wa Ulaya (EU) kupitia Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD), umeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 30 sawa na shilingi za kitanzania bilioni 84 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa kujenga miundombinu ya kusafirisha umeme kati ya Tanzania na Zambia. Sehemu ya fedha hizo, kiasi cha Euro...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zambia: Binti afungua kesi dhidi ya mpenzi wake kwa kuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka 8 bila kumuoa

    Gertrude Ngoma (26) amefungua kesi akidai kupotezewa muda na kuchoka kusubiri kuolewa na Herbert Salaliki ambaye wamekuwa kwenye Uhusiano wa kimapenzi kwa miaka 8 Getrude amelalamika pamoja kuwa na mtoto na Salaliki lakini bado alikuwa anaishi na wazazi wake badala ya kuungana na mumewe...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli ili TAZARA isife, ongea na China ili iunganishwe na Malawi kupitia Mbeya au Tunduma, na pia ipitie Morogoro na Iringa mjini!

    TAZARA haina hali nzuri. Na sababu kubwa ni kwamba utegemezi wa Zambia kwa TAZARA umepungua sana. Kwa sasa Zambia inaweza kupitisha mizigo yao sehemu nyingine zaidi ya Dar es Salaam, kutia ndaniMsumbiji na Afrika Kusini. Lazima tuseme ukweli Wazambia kwa sasa hawana shida sana na TAZARA, japo...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Takriban watu 50 wamekatwa vichwa na wapiganaji wa Kiislamu nchini Msumbiji

    Takriban watu 50 wamekatwa vichwa na wapiganaji wa Kiislamu nchini Msumbiji, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti. Wapiganaji hao waliugeuza uwanja wa kuchezea kandanda kuwa 'kichinjio' , ambapo walikatakata miili ripoti nyengine zinasema. Watu kadhaa pia walikatwa vichwa katika kijiji...
  14. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania While Kenya keeps sleeping, Zambia clinches deal to defer Chinese debt

    Zambia clinches deal to defer Chinese debt THURSDAY OCTOBER 29 2020 Zambian President Edgar Lungu. FILE PHOTO | AFP Summary The move to defer debt comes three months after Zambia's President Edgar Lungu asked his Chinese counterpart Xi Jinping for debt relief due to the economic impact of the...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wabunge 15 wa Zambia wakutwa na virusi vya corona

    Waziri wa Afya wa Zambia Chitalu Chilufya amesema baada ya zoezi la lazima la upimaji wa virusi vya corona katika bunge la nchi hiyo, wabunge 15 wamekutwa na maambukizi. Amri ya upimaji huo ilitolewa baada ya wabunge wawili kufariki dunia juma lililopita. Mmoja miongoni mwa hao aliugua ugonjwa...
  16. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania Majibu ya David Kafulila kwa Zitto Zuberi Kabwe kuhusu uchumi wa kati

    Julai1, 2020 ni tarehe itakayobaki kwenye kumbukumbu kama siku ya kwanza ya kuanza kwa utekelezaji wa Bajeti ya tano na ya mwisho ya kumalizia miaka 5 ya kwanza ya awamu ya tano. Siku ambayo Benki ya dunia ilitambua Tanzania kuwa nchi ya Uchumi wa kati, ikiwa ni miaka5 kabla ya kufikia mwaka...
  17. M

    JamiiForums Tanzania A man is arrested over Burning and Killing two Chinese Nationals in Zambia..

    Photo Credit: Zambia Police According to reports from the Zambia Police, a 22-year old man has been arrested over an aggravated robbery and the murder of two Chinese traders in Zambia. The police and fire service of Zambia were responding to a fire outbreak in a warehouse belonging to the...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyotokea mpakani na Kenya, Zambia na Rwanda yanaonyesha haja ya umakini kwa Magufuli kuteua wakuu wa mikoa ya mipakani wenye uwezo wa kidiplomasia

    Nakumbuka katika kuteua wakuu wa mikoa muda fulani uliopita, Raisi Magufuli alisema kwamba alikuwa akiteua wakuu wa mikoa ya mipakani wengi wakiwa wanajeshi ili kusaidia katika suala la ulinzi mipakani. Lakini sasa, migongano na nchi jirani za Kenya, Zambia, Rwanda na hata Uganda zimetufundisha...
  19. Hata Sina kinyongo

    JamiiForums Tanzania Baada ya Zambia kuufunga mpaka wa Tunduma na mizigo mingi ya Congo kukawia kufika Congo wajibu mapigo;wawakatia umeme Wazambia!

    Inaitwa man to man! Congo wamekata umeme wao wanaowazalishia Wazambia hiyo ni kwa hatua ya kujibu mapigo kwa sababu ya Zambia kufunga mpaka wa Tunduma na kupelekea mizigo wa Congo kuchelewa kufika kwa wakati na hali hiyo imepelekea wafanyabiashara wa Congo kuingia hasara kubwa! Chanzo ni...
  20. Tuttyfruity

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zambia atoa amri ya kufunga mpaka wa Tanzania na Zambia

    Leo tarehe 10/05/2020 Rais wa Zambia Edgar Chagwa lungu ametoa amri ya kufunga mpaka wa Zambia na Tanzania (Nakonde) na kupiga marufuku mtu yeyote pamoja na magari au treni kuingia na kutoka Mji wa nakonde. Mji wa nakonde umepakana na mji wa tunduma ambapo ndo mpaka wa Tanzania na zambia ulipo...
Back
Top Bottom