#COVID19 Mamlaka Nchini Zambia zahofia ongezeko la vifo vya COVID-19

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Mamlaka za Afya Nchini Zambia zimeeleza wasiwasi wake juu ya ongezeko la vifo vitokanavyo na Virusi vya Corona wakati huu ambapo Taifa hilo linapambana na wimbi la Tatu la Maambukizi

Waziri wa Afya, Dkt. Kennedy Malama amesema vifo 407 vimeripotiwa ndani ya wiki tatu za wimbi hilo. Jumla ya maambukizi yaliyorekodiwa ni 130,631 vifo ni 1,691 na waliopona ni 110,450

Imeelezwa, ongezeko la maambukizi limetokana na Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Agosti 12, 2021 ambazo zilianza mwezi Mei

======

Zambian health authorities have expressed concern over rising coronavirus-related deaths, as the country continues to battle a third wave of the infections.

Health Permanent Secretary Dr Kennedy Malama on Monday noted a reduced capacity in mortuaries saying the number of daily Covid-19 fatalities in the country was "unprecedented".

He described the third wave of Covid in the country as "devastating" - with 47 deaths having been recorded over the previous day.

"The number of daily Covid-19 deaths is unprecedented. We report 407 deaths in just three weeks of the third wave," he said in a statement.

The surge in infections has coincided with campaigns for the 12 August general election, which kicked off on 12 May.

Zambia has so far recorded 129,033 cases of coronavirus and 1,691 related deaths

Source: BBC
 
Back
Top Bottom